Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.
Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.
YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.
Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.
Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi.