Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

Fact check: Safari ni mara mbili tu kwa week - Alhamisi na Jumamosi.
 
Unakuta na wewe unafamilia inakutegemea kama kaka yao, mjomba wao, baba yao na pengine ukute ni mme wa mwanamke 1 hapa duniani😂😂..

Sawa bana ndio maana ya utanda- wazi.
Wajinga kama nyie mlitakiwa kunyweshwa sumu pindi mnazaliwa
Sumu hatunywi, ila hilo liuwanja halina tija. Hata hao abiria wachache wanaoteremkia hapo ni wa Ngara, Muleba na Karagwe.

Mwendazake alifuja sana Kodi zetu kwa kuwekeza kipumbafu Kijijini kwake
 
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.

Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.

YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.

Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.

Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi.
 
Hiyo account ya Air Tanzania itakua ya hapo ufipa.

Verified account ya air tanzania twitter haina hiyo taarifa.
Soma #4 hapo juu, uwe na uhakika unachoandika, hata hivyo CDM haijawahi kuwa rafiki na ushalabaghala wa Chato na Magu
 
Hata Mwendazake alipokufa mlikanusha na Majaliwa alisema yuko ofsini anapitia mafaili. Lisemwall lipo, ngoja tumsubiri tu
Hivi baada ya uwongo wote ule Majaliwa bado yuko ofisini? Ndio maana hawa wakina KIGOGO wanazunguka tu na helicopter bila kuogopa kama kuna KIRANJA MKUU!!! Hawa vijana wakina KIGOGO hawamuheshimu Kassim Majaliwa kabisa heri yake angejiuzuru!
 
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.

Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.

YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.

Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.

Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi

KIWANJA CHA CHATTLE ni International na sio LOCAL airport kama za Iringa na Sumbawanga!!!We are highlighting misallocation of resources of astronomical proportions here!
 
Air Tanzania flight TC 131 to Mwanza inatua kwanza Geita then inaenda Mwanza mara 2 kwa wiki kila Alhamisi na Jumamosi.
 
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
==
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato
Air Tanzania flight TC 131 to Mwanza inatua kwanza Geita then inaenda Mwanza mara 2 kwa wiki kila Alhamisi na Jumamosi
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate...
Kuna airport kubwa tu Nachingwea, tangu enzi za Nyerere saa hizi wanaruka kunguru tu
 
Unakuta na wewe unafamilia inakutegemea kama kaka yao, mjomba wao, baba yao na pengine ukute ni mme wa mwanamke 1 hapa duniani[emoji23][emoji23]..

Sawa bana ndio maana ya utanda- wazi.
Wajinga kama nyie mlitakiwa kunyweshwa sumu pindi mnazaliwa
Sasa bahati mbaya sumu alikunywa baba yako the late, wa Chato. Mpumzike kwa Amani.
 
KIWANJA CHA CHATTLE ni International na sio LOCAL airport kama za Iringa na Sumbawanga!!!We are highlighting misallocation of resources of astronomical proportions here!
Chato sio international airport kwa vigezo vya kimataifa, sema ina runway inayoweza kutua ndege kubwa, kikwetu bongo that constitutes international airport.

Hiyo local airport hapo niliyoweka ni kubwa kushinda Chato international airport.

Ngoja nitafute international airport kubwa usa iliyokuwa abandoned wakati ilijengwa kwa billions of dollars; japo bado inatumika with small commercial airlines ila kwa week kuna ndege mbili au tatu; for the most part sasa hivi zinatua ndege za jeshi na cargo tu.

Najaribu kukumbuka ni state gani na mji gani walibugi kutengeneza international hub wakati ilikuwepo tayari mji mwingine kwenye state hiyo hiyo au ya jirani. Lakini bado hiyo airport wameipatia shughuli nyingine.

Sasa Chato hapo mnataka kusema hakuna biashara ya ndege kwa mikoa jirani with the right planes given its small market size.
 
Air Tanzania flight TC 131 to Mwanza inatua kwanza Geita then inaenda Mwanza mara 2 kwa wiki kila Alhamisi na Jumamosi

Kuna airport kubwa tu Nachingwea, tangu enzi za Nyerere saa hizi wanaruka kunguru tu
Wangekuwa na small plane inayopeleka watu kutoka geita to mwanza; halafu wana connect wangekuwa wanapata abirikia kila siku ata kama wote 30 kutokea geita awaendi Dar ndege ingejaa abiria wanaoshia mwanza.

Kandege hako hako kamgekuwa kana piga route za airport ya kanda ya ziwa masaa yaliyobaki.

Ni hivi kufungwa kwa airport yoyote Tanzania ni poor management ya ATCL.
 
Chato sio international airport kwa vigezo vya kimataifa, sema ina runway inayoweza kutua ndege kubwa, kikwetu bongo that constitutes international airport...

Unfortunately, hakuna biashara itakayo justify investments in smaller planes sehemu ya Kule.
 
Wangekuwa na small plane inayopeleka watu kutoka geita to mwanza; halafu wana connect wangekuwa wanapata abirikia kila siku ata kama wote 30 kutokea geita awaendi Dar ndege ingejaa abiria wanaoshia Mwanza...
ATC walikuwa na hiyo system miaka ya 80, na ilikuwa effective ila si ndio tukauza shirika lote!!
 
Unfortunately, hakuna biashara itakayo justify investments in smaller planes sehemu ya Kule.
Biashara kubwa ya ndege kwanza ni abiria. Kama mabasi yapo yanafanya safari kila siku kuwapeleka point A to B, basi biashara ipo.
 
Nchi kubwa duniani kama US, Canada, Australia, Russia na China zina airport kibao ambazo sio busy zingine kubwa Chato cha mtoto; na bado zina operate.

Kushindwa kupeleka ndege Chato issue aiwezi kuwa uwanja auna economic benefits; it’s just that shirika la ndege lina business plan mbovu.

YouTube ina documentary nyingi sana interesting for free, ebu tutumie free time kujifunza mambo mbali mbali duniani sio kuangalia tu kuna umbea gani unao trend.

Huko Alaska kuna bush airports zinatua ndege za watu 20-30 na zipo busy, ukienda Canada shirika kubwa la ndege linamiliki mpaka beech 1900 planes kwa mazingira yao ilikuchukua abiria wachache maeneo yasiyo busy kuwapeleka miji mikubwa for connection flights or connecting people within small cities. Chato inaweza kutumika na ndege kama hizo kwenda mwanza, musoma, kagera, tabora etc.

Ikitokea Chato kufungwa au airport yoyote Tanzania ni weredi wa management ya ATCL, halafu ata Sumbawanga Magufuli kawapa airport, Iringa alikarabati na maeneo mengi tu Tanzania; mbona hizo airport aziongelewi.

Plan mbovu Dogo business plan iko wapi?
 
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.

=====
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.

Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina uthibitisho wa Tangazo wanalolisambaza. ATCL haijatoa kauli yoyote ya kufuta safari kuelekea Geita.

Tunandika taarifa hizi tukiwa tumewasiliana na ATCL ambao wamesema safari ziko tatu kwa wiki kama ilivyokuwa awali na ndege hutua uwanja wa ndege wa Chato
Je kama hawakufuta wanampeleka nani ?
 
Biashara mipango na ATCL hawana.
ATCL walikuwa na LONG TERM BUSINESS PLAN ambayo Ilikuwa viable lakini ikaja kuvurugwa baada ya Magufuli kuliweka shirika directly under White House control. Wakaanza kununua ndege bila mpango ,hata bila kujua zingekwenda routes gani!!! Hawawezi kwenda routes nyingine kwa kuogopa madeni hence the planes are underutilized.
 
Back
Top Bottom