ATCL shusheni bei ili mtengeneze soko kubwa la ndani, kwa namna hii mtapata faida. Kumbukeni the higher the price...

Hata kama ikiwa 13k mpaka 15k afadhali,kuliko wanavyofanya sasa.
13k yaani nauli ya ndege iwe elfu 13 au hujui hiyo 'k' ni nini, kuna charges ambazo kila abiria analipia uwanja wa ndege zinazidi hata hiyo 13k kuna gharama za wakala kukatisha tiketi hapo hapo.
 
13k yaani nauli ya ndege iwe elfu 13 au hujui hiyo 'k' ni nini, kuna charges ambazo kila abiria analipia uwanja wa ndege zinazidi hata hiyo 13k kuna gharama za wakala kukatisha tiketi hapo hapo.
Mia 30k, sorry mama.
 
Sijui kama umeangalia swala la operational costs. Ndege kuruka ina gharama kubwa sana. Fuel, Pilots (ndege ikiruka na kutua wanalipwa), kuna flight attendants, Hanger Costs, Maintenance Cost. Hiyo narrative ya uchumi "lower the cost, demand iongezeke" haipo applicable kila sehemu.

Ndege nayo inaunywaji mafuta, the bigger the engine the more fule it consumes.
 
Fastjet mbona waliweza? Hata Usa na EUROPE kuna low price airliners kibao na zinafanya kazi kwa faida.
 
Fastjet mbona waliweza? Hata Usa na EUROPE kuna low price airliners kibao na zinafanya kazi kwa faida.
Ndio ndege za low budget Ulaya zipo, ila wame-minimize costs of operations na nyingi za hizo ndege wamepunguza cabin space. Fastjet hawakuwa na positive balanced accounts na ndio maana mwisho wa siku, the business operations siezed na Tanzania wakaondoka kabisa.

Kwa ndege zilizopo za ATCL hakuna bei inaweza pungua.
 
Umefuatilia ripoti ya CAG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…