shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
13k yaani nauli ya ndege iwe elfu 13 au hujui hiyo 'k' ni nini, kuna charges ambazo kila abiria analipia uwanja wa ndege zinazidi hata hiyo 13k kuna gharama za wakala kukatisha tiketi hapo hapo.Hata kama ikiwa 13k mpaka 15k afadhali,kuliko wanavyofanya sasa.