ATCL yadaiwa Tsh 369 Bilioni wakati ndege zimeegeshwa miaka 7 bila kuruka

Deni hilo kila mtanzania atashiriki kulilipa na viongozi posho zetu za vikao inazidi kuongezeka kwahiyo watanzania tunaomba mjitokeze sana katika kulipa kodi , mnavyokwepakwepa kodi mnatuathiri viongozi tunataka tubadilishe magari kila mwezi na kununua Mansion USA
 
Ununuaji wa ndege kwa kukurupuka tena kwa cash ilikuwa ni idea moja ya kijinga sana l. laiti hizo pesa zingelekezwa hata kwenye kilimo au ufugaji raia wengi wangekuwa up lifted kutoka kwenye umasikini wa vipato.

KWa nchi serious hambi kama hili kibatosha kuwapumzisha hawa CCM, shida sasa nchi imejaaa wajinga
Kwanini Precision Air wananunua ndege used na hazipaki? kuna ufisadi mkubwa sn kwenye huu mradi
 
Deni hilo kila mtanzania atashiriki kulilipa na viongozi posho zetu za vikao inazidi kuongezeka kwahiyo watanzania tunaomba mjitokeze sana katika kulipa kodi , mnavyokwepakwepa kodi mnatuathiri viongozi tunataka tubadilishe magari kila mwezi na kununua Mansion USA
Wataitana Hyatt-Regency Dar kwenda kudajili hoja za CAG siku 5 kila mjumbe 500K@ kwa siku, bodi watu 20, ukumbi kwa siku 5M nje na chakula, hapo zitapigwa kama 60M kujadili hoja za CAG. Kimsingi nchi inaongozwa na majangili tupu yamejaa kwenye mfumo
 
View attachment 3306981

DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.

Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi ya bilioni 20 kwa matengenezo.

Kwa miaka sita mfululizo, ATCL imeshindwa kulipa tozo za ukodishaji wa ndege, na sasa inadaiwa shilingi bilioni 369.13 na Wakala wa Ndege wa Serikali.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amependekeza hatua za haraka za kukabiliana na changamoto hizi kwa kufanya mapitio ya mikataba, tathmini ya aina ya ndege, na mpango wa urejeshaji wa madeni.

Zaidi tembelea //habarileo.co.tz

Maoni yangu:-
Tatizo walianza kununua ndege ndipo wakaandika business plan (mpango kazi).
Ni kukosa maarifa walio wengi tuliowapa/wanaopewa dhamamana hawana elimu ya ujasiriamali kidogo wanaweza wakawa wana elimu ya biashara

In entrepreneurship we learn how to do business not about business

Kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza jinsi ya kufanya biashara, siyo kuhusu biashara
 
View attachment 3306981

DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.

Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi ya bilioni 20 kwa matengenezo.

Kwa miaka sita mfululizo, ATCL imeshindwa kulipa tozo za ukodishaji wa ndege, na sasa inadaiwa shilingi bilioni 369.13 na Wakala wa Ndege wa Serikali.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amependekeza hatua za haraka za kukabiliana na changamoto hizi kwa kufanya mapitio ya mikataba, tathmini ya aina ya ndege, na mpango wa urejeshaji wa madeni.

Zaidi tembelea //habarileo.co.tz

Maoni yangu:-
Tatizo walianza kununua ndege ndipo wakaandika business plan (mpango kazi).
Wateja wenyewe ndo hao hawana allowance ya likizo wala overtime kila.mtu anahangaika na Kodi ya meza,mapedeshee wote wamefilosika hebu mtutue
 
Back
Top Bottom