Shirika la ndege halifufuliwi kwa kununua ndege mpya tena kwa cash. Wala tatizo la ATC halijawahi kuwa kukosekana kwa ndege. Serikali inajua vizuri sana miaka mingi tu kilichofanya ATC ishindwe kufanya biashara.Kwanini Precision Air wananunua ndege used na hazipaki? kuna ufisadi mkubwa sn kwenye huu mradi
Watakuwa wanaitafuna haswa ATCLShirika la ndege halifufuliwi kwa kununua ndege mpya tena kwa cash. Wala tatizo la ATC halijawahi kuwa kukosekana kwa ndege. Serikali inajua vizuri sana miaka mingi tu kilichofanya ATC ishindwe kufanya biashara.
Watu wanajitoa fahamu ili waongeze spidi ya kleptocracy kupitia "ununuzi wa ndege" bila aibu kwa vile tu raia wengi hawana uelewa na hawapendi kujua mambo ya kitaaluma. Wana mfano wa Precision Air lakini hawataki kujiuliza inakuwaje? Badala yake imekuwa ni mambo ya ushabiki kwa viongozi wa kisiasa na porojo zao za kitapeli.
Yeye ndiye chanzo cha tatizo kununua mindege mingi bila mipango.Enzi ya Dikteta Magu angalau zisingebaki sahivi maza ukimuuliza hata idadi ya ndege hajui
CCM wao wanawaza uchaguzi tu na wizi wa kura ili waendelee kutawala huku nchi inateketea.
Tanzania upumbavu ni kipajiNchi kama la mapumbavu!
Zitto alisema zinahusishwa na umtumba terrible teensView attachment 3306981
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.
Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi ya bilioni 20 kwa matengenezo.
Kwa miaka sita mfululizo, ATCL imeshindwa kulipa tozo za ukodishaji wa ndege, na sasa inadaiwa shilingi bilioni 369.13 na Wakala wa Ndege wa Serikali.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amependekeza hatua za haraka za kukabiliana na changamoto hizi kwa kufanya mapitio ya mikataba, tathmini ya aina ya ndege, na mpango wa urejeshaji wa madeni.
Zaidi tembelea //habarileo.co.tz
Maoni yangu:-
Tatizo walianza kununua ndege ndipo wakaandika business plan (mpango kazi).
Na kuzitumia ndege kama mali binafsi (private jets) bila kujali hasara kwa vile hakuna wa kuhoji wala kujali.Watakuwa wanaitafuna haswa ATCL
Wauziwe tu wenye akili wafanye biashara, sisi tukapambane na Tundu Lissu na kuandika kura maporini tu ndio tunachokiweza kwa ufanishi mkubwa hadi nchi jirani zinakuja kufanya consultancy, maisha yaendeleeHilishitik lingeendeshwa kwa PPP , gov imefeli kabisa operashion za hili shirika
Huku kwetu nchi ipo kwenye kampeni kila sikuNa kuzitumia ndege kama mali binafsi (private jets) bila kujali hasara kwa vile hakuna wa kuhoji wala kujali.
Ethiopian Airlines wana fleet ya ndege mpya za kisasa zaidi ya 150 na wanazidi kuleta mpya na kuondoa za zamani kila wakati bila kutumia hela nyingi bali kwa biashara iliyochangamka sana.
Wanabadilisha fleet kila wakati kutegemeana na biashara inavyoenda. Wana mikataba na mabenki makubwa na makampuni ya ndege (Boeing & Airbus) inayowapa unafuu sana wa kupanga fleet yao kulingana na mahitaji ya business plan yao. Wanaingia mikataba na nchi mbalimbali za Afrika kutumia route zao za kimataifa (traffic rights) na kupanua business plan yao. Hapa kwentuH
Huwezi kupata maendeleo kutwa nzima unawaza uchaguzi pekeeWauziwe tu wenye akili wafanye biashara, sisi tukapambane na na Tundu Lissu na kuandika kura maporini tu ndio tunachokiweza kwa ufanishi mkubwa hadi nchi jirani zinakuja kufanya consultancy, maisha yaendelee
Exactly...Huwezi kupata maendeleo kutwa nzima unawaza uchaguzi pekee
Nchi ya hovyo kabisaExactly...
Tunafufua shirika Kwa kuna ndege 🤣🤣View attachment 3306981