Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Ni tatizo kubwa nchi hii, halaf liko ugnored. Yaan hapo ni taasisi moja, ukitembelea taasis zingine level of incopetency si ya nchi hiiShida ni kwamba watu wetu wa vyeti vya kufoji only way unaweza pata matokeo kama hayo ni uwezo mdogo mno.
Precision Air ananunua ndege mtumba lakini huwezi kuona zimepaki, hapa kuna utapeli mtupuCcm haijawahi kufanikiwa kwa jambo lolote.
Kwanini Precision Air wananunua ndege used na hazipaki? kuna ufisadi mkubwa sn kwenye huu mradiUnunuaji wa ndege kwa kukurupuka tena kwa cash ilikuwa ni idea moja ya kijinga sana l. laiti hizo pesa zingelekezwa hata kwenye kilimo au ufugaji raia wengi wangekuwa up lifted kutoka kwenye umasikini wa vipato.
KWa nchi serious hambi kama hili kibatosha kuwapumzisha hawa CCM, shida sasa nchi imejaaa wajinga
Wataitana Hyatt-Regency Dar kwenda kudajili hoja za CAG siku 5 kila mjumbe 500K@ kwa siku, bodi watu 20, ukumbi kwa siku 5M nje na chakula, hapo zitapigwa kama 60M kujadili hoja za CAG. Kimsingi nchi inaongozwa na majangili tupu yamejaa kwenye mfumoDeni hilo kila mtanzania atashiriki kulilipa na viongozi posho zetu za vikao inazidi kuongezeka kwahiyo watanzania tunaomba mjitokeze sana katika kulipa kodi , mnavyokwepakwepa kodi mnatuathiri viongozi tunataka tubadilishe magari kila mwezi na kununua Mansion USA
Enzi ya Dikteta Magu angalau zisingebaki sahivi maza ukimuuliza hata idadi ya ndege hajuiTumenunua midege kwa keshi.
Hizi ni heraa zetu.
Sisi ni matajiri, nasema uongo ndugu zangu?
TutapandaTutaanza kuogopa kuzipanda hizi ndege sasa.
Ni kukosa maarifa walio wengi tuliowapa/wanaopewa dhamamana hawana elimu ya ujasiriamali kidogo wanaweza wakawa wana elimu ya biasharaView attachment 3306981
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.
Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi ya bilioni 20 kwa matengenezo.
Kwa miaka sita mfululizo, ATCL imeshindwa kulipa tozo za ukodishaji wa ndege, na sasa inadaiwa shilingi bilioni 369.13 na Wakala wa Ndege wa Serikali.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amependekeza hatua za haraka za kukabiliana na changamoto hizi kwa kufanya mapitio ya mikataba, tathmini ya aina ya ndege, na mpango wa urejeshaji wa madeni.
Zaidi tembelea //habarileo.co.tz
Maoni yangu:-
Tatizo walianza kununua ndege ndipo wakaandika business plan (mpango kazi).
Nchi kama la mapumbavu!White elephant Projects
Wateja wenyewe ndo hao hawana allowance ya likizo wala overtime kila.mtu anahangaika na Kodi ya meza,mapedeshee wote wamefilosika hebu mtutueView attachment 3306981