Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
 
Mtwara ilishaondolewa. Abiria wa ATCL waliotakiwa kusafiri na ndege hiyo toka Mtwara kwenda Dar, tarehe 7 Disemba 2022, saa 1 na dk 30 asubuhi, baadhi walisafiri kwa Precisionair. Tena baada ya maongezi marefu
 
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Ndege tatu zimekamatwa jaman mnaushahidi??
 
Kufutwa safari ni jambo moja na kutoa taarifa kuwa ndenge tatu za atcl zimeshikiliwa ni kitu kingine ndio maan nimeuliza huyu mtoa post anaushahidi wa kushikiliwa kwa hizo ndege 3 au chanzo alichopata habari hizo anauhakika nacho.??
Nakuelewa sana. Sema kwenye heading ilibidi aweke neno tetesi. Ingawa kwenye maelezo yake amesema INASEMEKANA
 
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Hilo shirika,watu wanakula mishahara Bure tu,halina mapato,mijitu imejaa pale tunailisha Bure bila kufanya kazi,
Dawa ni kuliuza tu,outsourcing kama ilivyo kwa Kenya airways,
Lakini mi ccm,kwa kuogopa aibu,na kupenda propaganda,inaona ni Bora likae hivyo hivyo
 
ATCL INAIZDIWA NA PRECISION ILIYO NA NDEGE 6 LAKINI INAIZIDI UFANIS ATCL ILIYO NA NDEGE 11 INGAWA KATI YA HIZO TATU ZILIKAMATWA KWA KUAHARIBIKA NJINI NA SUALA LA SUKARI BAGAMOYO
 
Back
Top Bottom