Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nishafaulishwa sana hata kabla hawajatangaza kufuta.Waendelee kupokea abiria wafaulishe kwenye ndege nyingine wanakwama wapi hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishafaulishwa sana hata kabla hawajatangaza kufuta.Waendelee kupokea abiria wafaulishe kwenye ndege nyingine wanakwama wapi hawa
Economic hitmen wapo kazini. Kazi zao ni kutengeneza matatizo ya umeme, usafiri wa anga. Lengo ni kuhakikisha nchi inatembelea kiuno! Na bado maana zile ndege za cash wapinzani walimzodoa Dkt MagufuliATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Safari ya jana saa saba Bukoba to Dar imetimia leo jioni. Aliyetakiwa kufika jana saa kumi kasoro jioni kafika leo saa kumi na mbili jioni. Hali ya hewa ilichangiaBukoba hali ya hewa mbaya leo. Nimesubiri mtu akanambia wamepelekwa hotelini hawawezi kuondoka mpaka kesho. Kulikuwa na mvua kubwa