Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Andika kwa utii basi tuupate ujumbe wako ipasavyo,🤔 au yupo anayekukimbiza
 
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Ulichoandika hapa ni kama kuna mtu alikuwa anakufukuza hivi!
 
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
R.I.P Magufuli
 
Nichukue nafasi hii kuwakaribisha kwenye usafiri wetu pendwa wa mabasi na treni.
 
Kichwa cha Habari umeamua kuitukana taasisi ya serikali au ?
 
Q0f.jpg
 
ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
We ni mungo nd maana hata keyboard imekusaliti😀😀
 
Mimi kiukweli ninaposikia habari ya ndege hizi naumia sana maana hizi ndio zilinifanya nimkubali Magu haswa.

Nakumbuka miaka ya 2009 nikiwa kwenye operesheni sangara tukiwa pale viwanja vya NMC arusha kipindi hicho chadema ikiwa moto wa kuotea mbali Mbowe alisema hivi" hii nchi ya ajabu sana, nchi haina ndege hata. Leo ukitaka kwenda China inabidi upitie kenya wakati wafanyabisahara kila siku wanaenda guangnzhou."

Ni moja ya kauli iliyogusa sana moyo wangu na nikahisi kabisa si rahisi chini ya ccm kuja kuwa na ndege labda waingie chadema. Khaa ! nikashangazwa mno na maajabu ya Magu alipoingia.
 
Hata huku Mbeya,now ni wiki mbili kila nikiangalia mawinguni naiona ile ndege ya rangi ya fanta mkiani,sijui bombadiee zimekutwa na nini?!!!
 
Hata SGR itakuwa hivyo hivyo,bora wawaruhusu watu binafsi wanunue mabehewa yao na vichwa vya treni wafanye biashara, TRC na serikali wabaki kuwa owner wa rail tracks na stations wachukue fees na kodi , au wanaweza nao kuwa trains zao lakini lazima waruhusu trains za watu binafsi pia hapo ndio tutaona faida ya hii reli mpya na kila mtu kufaidika la sivyo itakuwa kama ATCL, TANESCO etc na mashirika mengi tuu ya serikali yaliyojifia
 
Jiwe alikuwa rais wa hovyo sana,lkn katika kudhibiti taarifa za kiboya kama hizi nilimsifu....
Lakini watu walisafiri mbona mamb mengine yalikua clear tu acha chuki yeye mseme kwenye democrasia tu
 
Tangu lini serikali ya Tanzania ikafanya biashara na ikafanikiwa? Haiwezekani tu kwa sababu nature ya mwajiriwa wa serikali wengi wao wanawaza matumbo yao na siyo future ya taasis.

Ni suala la muda tu, hata pale bandarini kwenye TICTS watashindwa kuendesha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom