Mtwara ilishaondolewa. Abiria wa ATCL waliotakiwa kusafiri na ndege hiyo toka Mtwara kwenda Dar, tarehe 7 Disemba 2022, saa 1 na dk 30 asubuhi, baadhi walisafiri kwa Precisionair. Tena baada ya maongezi marefuATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
NakaziaMkuu, embu tulia uandike vizuri.
Hata ukilegezea, ukweli ndo huo almost route zote zimefutwaNakazia
Ndege tatu zimekamatwa jaman mnaushahidi??ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Pengine ushahidi huko kufutwa kwa safari almost zoteNdege tatu zimekamatwa jaman mnaushahidi??
Kufutwa safari ni jambo moja na kutoa taarifa kuwa ndenge tatu za atcl zimeshikiliwa ni kitu kingine ndio maan nimeuliza huyu mtoa post anaushahidi wa kushikiliwa kwa hizo ndege 3 au chanzo alichopata habari hizo anauhakika nacho.??Pengine ushahidi huko kufutwa kwa safari almost zote
Nakuelewa sana. Sema kwenye heading ilibidi aweke neno tetesi. Ingawa kwenye maelezo yake amesema INASEMEKANAKufutwa safari ni jambo moja na kutoa taarifa kuwa ndenge tatu za atcl zimeshikiliwa ni kitu kingine ndio maan nimeuliza huyu mtoa post anaushahidi wa kushikiliwa kwa hizo ndege 3 au chanzo alichopata habari hizo anauhakika nacho.??
Hilo shirika,watu wanakula mishahara Bure tu,halina mapato,mijitu imejaa pale tunailisha Bure bila kufanya kazi,ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika na ujinga huu?
Samahan mkuu kama zipi vileHata ukilegezea, ukweli ndo huo almost route zote zimefutwa
Mtoa mada kashasema, nami nimeongeza route ya Mtwara. Kwa Mtwara, ndege ya mwisho ilikuwa tarehe 28 Novemba 2022.Samahan mkuu kama zipi vile
Sikweli, mimi nimepanda juzi nikashukia chatao nikiwa naelekea ngara.Safari za kwenda chatto hamna tangu march 17 2022
Weka ushahidi la sivyo unajikaza kumtetea marehemuSikweli, mimi nimepanda juzi nikashukia chatao nikiwa naelekea ngara.