Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

Nyinyi badala ya kuwaita Mbumbumbu FC, sasa tutawaita Visingizio Fc!! Maana kila kukicha, mnakuja na visingizio vipya.
 
Mnachukua wachezaji wengi sio vipaji mnataka kulazimisha angalia wale Yanga anatoka mtu anaingia mtu ule mfaulo wa Babu Chama hata ulikua haueleweki kama unatoka au unaingia ndani...
Basi tufanye sisi hatuna wachezaji ni timu ya kuokoteza tu.
 
Kolo Utalia sana, Mpira ni Kiwango, Yanga wana Viwango

Mpira sio usajili usio na tija

Sasahivi AZAM ndio Mpinzani wetu mkubwa, ninyi ni Wateja wetu...tumeshachoka kuwafunga kila mara 🤣🤣🤣🤣

Cry More
 
Kwahiyo Mama Samia ndio alimtuma Camara arudishe ule mpira miguuni kwa Pacome kisha akamuelekeza na Kanjili sijui Kijili ausindikize golini?
 
Simba ipo vizuri hakuna anae sema kikosi cha simba nikibovu .
Soma threads nyingine watu wanalaumu mchezaji mmoja mmoja. mechi iliyopita hadi kuna mliowatuhumu kuwa wamehongwa walikuwa hawajitumi pia.
Sasa jamani hebu chagua moja. tunaroga, tunahonga, tunabebwa, kocha mbovu, wachezaji wabovu au refa ndiye shida au mo analeta janja janja?
Chagua moja maana mara timu mnaiponda, mara tunabebwa hamweleweki ndio maana mnakuwa kama mfa maji.
 
Unaelewa maana ya kimataifa ? Au ushabiki tu[emoji848]
Naelewa Sana ila shirikisho siyo pa kumtishia mwezako na kutamba kwamba ujikite kimataifa maana hilo kombe ni la waliofeli...wanaume wa soka wapi kilabu bigwa Nako ndo kimataifa maana ni michuano ya mabigwa tupu.
 
Kosa ni kocha kumtoa mshambuliaji Kibu aingie Kijili kuzuia wasifungwe ndio maana walishambuliwa sana zile dakika na wala sio kosa la kipa..
Mistake imeanza walipomtoa Kagoma, Kiungo yote ikamilikiwa na Mafundi na Mabingwa wa mpira Yanga, Makolo hawana Midfielder / Holder wa mpira katikatika......Mabeki wakipata mpira ni kupiga tu mbele na kukimbia 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…