kwa hiyo kumbe namba 1 ni mnazi wa yanga?Simba wakaze tu kimataifa mpira huu wa yanga ni mali ya chama na unakuja na maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo kumbe namba 1 ni mnazi wa yanga?Simba wakaze tu kimataifa mpira huu wa yanga ni mali ya chama na unakuja na maelekezo
😁😁 inaweza kuwa mkuu .kwa hiyo kumbe namba 1 ni mnazi wa yanga?
Nyinyi badala ya kuwaita Mbumbumbu FC, sasa tutawaita Visingizio Fc!! Maana kila kukicha, mnakuja na visingizio vipya.Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli.
TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake .
Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu
Shirikisho napo ni kimataifa? Wale wa kilabu bigwa waitweje?Simba wakaze tu kimataifa mpira huu wa yanga ni mali ya chama na unakuja na maelekezo
Unaelewa maana ya kimataifa ? Au ushabiki tu🤔Shirikisho napo ni kimataifa? Wale wa kilabu bigwa waitweje?
Mnachukua wachezaji wengi sio vipaji mnataka kulazimisha angalia wale Yanga anatoka mtu anaingia mtu ule mfaulo wa Babu Chama hata ulikua haueleweki kama unatoka au unaingia ndani...Simba ina imarika sio rahisi kuunganisha timu kwa haraka ,angalia Chelsea walivyosubiri kwa mda mrefu.
Basi tufanye sisi hatuna wachezaji ni timu ya kuokoteza tu.Mnachukua wachezaji wengi sio vipaji mnataka kulazimisha angalia wale Yanga anatoka mtu anaingia mtu ule mfaulo wa Babu Chama hata ulikua haueleweki kama unatoka au unaingia ndani...
Kolo Utalia sana, Mpira ni Kiwango, Yanga wana ViwangoUnaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga.
Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu.
Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake. Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto.
Kama vile siasa za Tanzania ambavyo zimepoteza mvuto ndivyo mpira nao unapoteza mvuto.
Imagine kwa hapa ligi ilipo tayari Simba hawana tumaini la ubingwa Na hali hii itafanya hâta ushindani upotee kwa zaidi ya miezi saba ligi itakosa ushindani.
Ni kama vile siasa zilivyo dorora tu.
Marefa wanakuja na maelekezo ya kumfurahisha mkuu.
Mnapigwa mara nne harafu unaona una Timu hapo mkuu mbona nakuamini unaferi wapi..hata ingekua Yanga anakufa kila akikutana na Mnyama ningesema sina Timu kabisaa.Basi tufanye sisi hatuna wachezaji ni timu ya kuokoteza tu.
Kocha mnamfukuza lini? Au tayari tamko limetoka? 🤣🤣🤣Kwamba nyie hamjawahi kulaumu !!!!! jina utopolo limetokea wap?
Mkuu sema Real Madrid ni kama Yanga wapinzani wa Yanga wapo Klabu Bingwa huko..Simba msipime kikosi chenu kwa kujifananisha na Yanga(mko vizuri)
Ubora wa Yanga kwa sasa ni sawa na Real Madrid
Wameshasajili Wachezaji 34 msimu huuMnachukua wachezaji wengi sio vipaji mnataka kulazimisha angalia wale Yanga anatoka mtu anaingia mtu ule mfaulo wa Babu Chama hata ulikua haueleweki kama unatoka au unaingia ndani...
Soma threads nyingine watu wanalaumu mchezaji mmoja mmoja. mechi iliyopita hadi kuna mliowatuhumu kuwa wamehongwa walikuwa hawajitumi pia.Simba ipo vizuri hakuna anae sema kikosi cha simba nikibovu .
Kosa ni kocha kumtoa mshambuliaji Kibu aingie Kijili kuzuia wasifungwe ndio maana walishambuliwa sana zile dakika na wala sio kosa la kipa..Kwahiyo Mama Samia ndio alimtuma Camara arudishe ule mpira miguuni kwa Pacome kisha akamuelekeza na Kanjili sijui Kijili ausindikize golini?
Naelewa Sana ila shirikisho siyo pa kumtishia mwezako na kutamba kwamba ujikite kimataifa maana hilo kombe ni la waliofeli...wanaume wa soka wapi kilabu bigwa Nako ndo kimataifa maana ni michuano ya mabigwa tupu.Unaelewa maana ya kimataifa ? Au ushabiki tu[emoji848]
Wamesajiri wanaokota okota tu mkuu hawamuoni Eng watu anaowaleta pale Yanga wao kila kukicha kumpiga Mo ndio madhara yake hayo..Wameshasajili Wachezaji 34 msimu huu
😁Hatufukuzi mtu simba tumecheza vizuri sana , na timu inaendelea kuimarika mno kufungwa ni sehemu ya mchezo.Kocha mnamfukuza lini? Au tayari tamko limetoka? 🤣🤣🤣
Mistake imeanza walipomtoa Kagoma, Kiungo yote ikamilikiwa na Mafundi na Mabingwa wa mpira Yanga, Makolo hawana Midfielder / Holder wa mpira katikatika......Mabeki wakipata mpira ni kupiga tu mbele na kukimbia 🤣🤣🤣Kosa ni kocha kumtoa mshambuliaji Kibu aingie Kijili kuzuia wasifungwe ndio maana walishambuliwa sana zile dakika na wala sio kosa la kipa..
Huo ndio ushabiki sasa😁Hatufukuzi mtu simba tumecheza vizuri sana , na timu inaendelea kuimarika mno kufungwa ni sehemu ya mchezo.