Athari za kubeti

Kuna kipindi nilikuwa nabeti inabaki mechi moja nishinde hela kibao goli linasawazishwa dakika ya nyongeza,bet inaweza kumpa mtu ugonjwa wa moyo
Na hili wengi hawalijui, wanachukulia mzaha mzaha.
Zile stress za kula au kuliwa, kusubiri kwa au matokeo, zile presha zina athari kwa afya ya Moyo.

Unaweza pata ugonjwa wa Moyo kwa rahisi sana.Ukaja kuhangaika na matibabu, ni bora kujiepusha tu.

Maana mwisho wa siku Kampuni ndo zinanufaika.

Mimi ni mzoefu; zamani nilikuwa nabeti Games za asubuhi,mchana,Jioni, usiku...na pia nilikuwa naweka mkeka wa kulalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Too bad.

Now nimepunguza, na ninaendelea kuacha.
 
Sasa kama umeweka stake milioni ay kuanzia 100k.lazima upate ugonjwa wa moyo ila kama umeweka jero kama mimi hapo huo ugonjwa wa moyo unaupata wapi.
BET KIASI UNACHOWEZA KUKIPOTEZA. KAMA PESA UNAYOHONGA MWANAMKE, YA PIA, YA BANDO ETC
 
Sasa kama umeweka stake milioni ay kuanzia 100k.lazima upate ugonjwa wa moyo ila kama umeweka jero kama mimi hapo huo ugonjwa wa moyo unaupata wapi.
BET KIASI UNACHOWEZA KUKIPOTEZA. KAMA PESA UNAYOHONGA MWANAMKE, YA PIA, YA BANDO ETC
Sasa kwenye kubeti si unakuwa unataka kula hela!? Ile hamu ya kutaka kula, ile hali ya wasiwasi "je nitakula ama"?! Ile hali ina athari sana. Regardless of hela kiasi gani umeweka.

Vijana hatujui tu.
Miaka ijayo, maradhi yatakuwa mengi sana. Mungu atuepushilie mbali[emoji120]
 
Mbona simpo tu,km hasingetupia ningekuwa nimepigwa.Ila sasa ndo hvyo katupia na nimempiga UNASEMAJE HAPO!!!
BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE
Ila ungepigwa usinge leta hiyo story humu,right?
 
Hahahaahha vijana wa Dar nyie acheni uzembe ndo mana tunaskiaga mnajinyonga kisa dem kakutumia sms mbaya.
MOSI;Kama mwanaume tugemea mikimiki na stress kibao za maisha,wee ukitaka maisha yasiyo na stress kubali kuolewa.
PILI;Ukizoea kutokuwa na stress km unavotaka huwezi kuwa rational investor ata siku moja kaka,jifunze kuhandle mambo no matter what
TATU;Naamini kubet kunawapa hari flani wabetiji ya kufight na kupambana mpk tone la mwisho of which to me its good thing mana one day wanaweza kufanikiwa kwa hari iyo(Betting inaitaji akili na sio vinginevyo)
MWISHO;Investor wote wakubwa kiuhalisia ni wabetiji tu(Unanunuaje share leo ili utegemee baada ya miaka 10 au 15 kampuni itakuwa inafanya vizuri.)
YAPO MENGI ILA CHUKUA AYO MACHACHE
 
Mi naongea kwa ukweli, ila wewe unaongea kiushabiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125]
Shauri yako.
 
Mi naongea kwa ukweli, ila wewe unaongea kiushabiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125]
Shauri yako.
Ushabiki ndio nini kaka!mbona nimeongea uhalisia tu,nadhan tatizo ni kuwa mnabeti ili mtoke kimaisha hapo hakika lazma ufilisike aseee.Ata mimi nilikuwaga hvohvo mpk nilipotuliza akili ndo nikagundua janja iko wapi.Cheza game moja tu ukishinda au ukipigwa husicheze tena.Jaribu hii afu unipe majibu siku zijazo.
 
Sawa Mkuu.
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hamna kazi hapo,we umepumzika ligi zikirudi tutakuwa pamoja
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hamna kazi hapo,we umepumzika ligi zikirudi tutakuwa pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata me kubet siachi kauli mbiu ni stake what u can afford to loose so unabet hela unaliwa unashindwa hata kulla
 
Haya umeyajua kabla au baada?
 
mrembo wema sepetu nieleze segerea palivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…