Athari za kubeti

Umewahi bet mkuu
Daah acha tu kweli kwa mtu ambae hajawahi kubeti aache kabisa huu mchezo!! tunaliwa ila kupoteza ni kwing zaidi..jana tu nimetumbukiza ka hela kama twenty kameenda kote.😥..na huwa naweza cheza wiki nzima siku nyingine nawala ila natamani kuendelea kucheza..hela ukipata majanga mengine yanakuja hapo hapo kanaisha kote.
 
Dah! Eti kubet ni kufight?!
 
Sasa kama umeweka stake milioni ay kuanzia 100k.lazima upate ugonjwa wa moyo ila kama umeweka jero kama mimi hapo huo ugonjwa wa moyo unaupata wapi.
BET KIASI UNACHOWEZA KUKIPOTEZA. KAMA PESA UNAYOHONGA MWANAMKE, YA PIA, YA BANDO ETC
mkuu umeonge ukweli ni bora ni bet kuliko kuhonga mwanamke..nimeacha kuhonga sijui nisidie elfu 30, 20... bora nibetie...na siku nyingine huwa nawapiga..!!
 
Mkuu Mimi nilitenga million na laki 2 kuanzia January ili nione kama bet ni good thing,

Nikawa nabet kidogo kidogo elfu 2,1,hata 500.
Kweli wakati mwingine nakula Ila mhindi anachukua nyingi zaidi.

Kuvikia April hiyo hela ilikuwa imeisha yote!!

Mbali na hivyo bet inaharibu personality tamaa ya pesa inaongezeka na hasira za kuliwa na matumizi ya ovyo ya muda.
 
Dah! Eti kubet ni kufight?!
Nani kasema kubet ni kufight,soma vzr iyo post.
".....Naamini kubet kunawapa hari flani wabetiji ya kufight na kupambana mpk tone la mwisho ...." wazungu wanasema SPIRIT
 
Nani kasema kubet ni kufight,soma vzr iyo post.
".....Naamini kubet kunawapa hari flani wabetiji ya kufight na kupambana mpk tone la mwisho ...." wazungu wanasema SPIRIT
Sioni tofauti
 
mkuu umeonge ukweli ni bora ni bet kuliko kuhonga mwanamke..nimeacha kuhonga sijui nisidie elfu 30, 20... bora nibetie...na siku nyingine huwa nawapiga..!!
Mkuu bora hiyo hela ungeielekeza sehemu ingine hata kusaidia ndugu na watoto yatima
 
Kama ulibet ili utoke kimaisha ni halali yako kupigwa tena naomba Mungu upigwe haswaaaa.OVER
 
Upo sahihi kiongozi..umechukua hatua gani kuacha!! vipi ume Uninstall app za betting? au umeamua kutumia simu ya tochi.. ? maana kuacha betting ni ngumu kiongoz
 
Kama ulibet ili utoke kimaisha ni halali yako kupigwa tena naomba Mungu upigwe haswaaaa.OVER
Wala sikuwa na nia hiyo nilikuwa nafanya for fun ila the negative is true.betting is a destructive game
 
Upo sahihi kiongozi..umechukua hatua gani kuacha!! vipi ume Uninstall app za betting? au umeamua kutumia simu ya tochi.. ? maana kuacha betting ni ngumu kiongoz
True!, kuna ugumu mno kuacha ni kama kuacha masturbation![emoji23]
Sijafuta chochote nimeacha kama ukumbusho wa machungu na kila nizionapo apps hizo nazichukia zaidi!

Pia nikipata temptation ya kubeti nasoma vitabu au kufanya kitu kingine muhimu
 
Wala sikuwa na nia hiyo nilikuwa nafanya for fun ila the negative is true.betting is a destructive game
Sasa km ni for fun unapagawa nini hapo na mapovu kibao,its for fun right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…