Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Dhumuni kuu?kwa hiyo watu wenye matatizo ya uzazi hususani ugumba na wanajitambua kabisa hawana uwezo wa kupata watoto kwa njia ya kujamiiana waache kabisa?
BTW mimba huweza kutungwa hata bila tendo.
Siamini kama unamaanisha unachosema

Namaanisha ninacho kisema wala sio vinginevyo.

Tumeongelea "utakatifu" na hapo kimsingi tumeshaingia kwenye imani, sasa kiimani tendo hili linafahamika kama tendo la ndoa, tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzaliano baina ya watu ambao tayari wamekwisha oana.

Sasa nyie kama ni wagumba na mme amua kufanya, fanyeni tu hakuna anaewazuia sula la nyie kushindwa kuzaa hilo ni juu yenu.

Ni kweli mimba inaweza kutungwa hata bila tendo lakini hiyo ni njia ya ililetwa na binadamu mwenyewe.
 
Wanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa maji ya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.

nimecheka km mazuri[emoji3]
Same to me calendar ilinipatia baby boy[emoji2][emoji2]
Ila sasa niko makini vibaya mno
 
Haya jumapili njema.
 

[emoji2][emoji2]kwa utamu huo,mtoto wa4 yuko njiani[emoji23][emoji23]
 

Akapime mimba pia wkt anasubiria period
 
Utaijaza dunia Mkuu....ohh!!
 
mimi nafikiri 90% ya wanaotumia hiyo midawa ni malaya asilimia iliyobaki ndio mambo mengine
 
You are very intelligent.
 
Nilitumia njia ya uzazi wa mpango ya kijiti ikawa inaniletea period ya mara kwa mara, nikajaribu sindano duuh ikawa ndiyo shida zaidi.
Ni miaka 2 sasa natumia calendar, kikubwa ni kuelewana na mwenzi wako haziheshimu siku za hatari.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…