Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Nondo…tumsuburi Mokaze
 
shida ya kua non-religious ni inabidi utoe maelezo kila saa unapomuambia mtu mwenye dini. Mwishowe mnagombana..... tusioamini tuendelee, wanaoamini waendelee.... mwisho wa siku ukifa hamna mahali unaenda. Hakuna tofauti
 
shida ya kua non-religious ni inabidi utoe maelezo kila saa unapomuambia mtu mwenye dini. Mwishowe mnagombana..... tusioamini tuendelee, wanaoamini waendelee.... mwisho wa siku ukifa hamna mahali unaenda. Hakuna tofauti
Umerudi pale pale.
 
NINGEPENDA WATU WAJUE HILI.

God is rather TRUTH than REALITY. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hiyo misamiati, na maelezo/uthibitisho wake unatolewa na FACTS na LOGICS.

Twende Pamoja...

REALITY inatangulia; je ni kitu gani?
Reality ni uhalisia unaothibitishwa na macho. Macho ni (Empirical source) ama chanzo kikuu cha shuhuda duniani. Macho yanaweza kutoa taarifa nyingi kwa milango takriban yote ya fahamu. Tazama, kwa kukiona kitu unaweza kukadiria sauti yake, hisia zake (ngozi), ladha na harufu. Tofauti labda na kusikia harufu, bila kuona, hakuwezi kutoa taarifa ya kitu hufanana vipi AT FIRST PLACE.

Reality doesn't need explanations at all since its empirical and everybody can talk about it. Therefore, the talk about reality is called FACT.

FACTS- ni maelezo kuhusu reality. Aidha ufafanuzi ama maelezo tuu. Mfano; wewe ndiye unatumia simu yako, unaiona kwa rangi, jina, pamoja na ukubwa. Hiyo ni reality, huhitaji maelezo kujua ulichoshika ni kitu gani, na kama ukianza kutoa maelezo hayo yanaitwa FACTS.

Umenipata sio?

TRUTH- Truth ni Kipande cha REALITY ambacho hakionekani kwa macho. Truth is likely to be told, but reality has to be seen. Wanadamu wanafahamu nguvu ya macho yao, lakini hawawezi ku 'deny' hadhi, kazi na nguvu ya viungo vingine kama Masikio katika kujenga na Kulinda Ufahamu. Hapa ndipo inapatikana TRUTH. Hatuwezi kusema jambo, ama kitu fulani hakipo ati kwa sababu hatujawahi kukuiona. NO!

Mfano; most people know the TRUE you, not the REAL you. Hatusemi kwamba, the real you doesn't exist ati kwa sababu hatujawahi kukuona. Mfano, wewe ni Mzinzi, na ndiye wewe unafahamu,'real you' sio kwa sababu hatujakuona basi wewe sio mzinzi, NO! logics zitathibitisha, kwa sababu tabia ni ngozi. Ngozi huonekana na haibadiliki.

Sasa, maelezo kuhusu TRUTH yanaitwa Logics. Itabidi, mtu huyu aseme logics ili zikae akilini. Kumbuka kila ambacho milango yetu ya fahamu mathalani macho inapokea na kuweka akilini. Hivyo, LOGICS zitazungumzwa ili kujenga knowledge.

Hatuwezi kusema God is not real, ati kwa sababu hukuwahi kumuona. No!! Don't be Clunk.

Sayansi imezungumza mambo mengi ambayo hatuwezi kuyaona, mathalani Hormones, nerve pulses, n.k.

Labda nikuulize, UNAAMINI KUNA UMEME? Umewahi kuuona? Usiniambie umeme ni huo Mwanga wa taa ya hapo chumbani kwako, huo mwanga. Upo hata kwenye nyota.

Watu wanaotaka ushahidi kuhusu Mungu (Muumba) wataka kufahamu kuhusu nini kitaridhisha macho yao, na usipowapa hawaamini, wakati huo wanadai HAWAAMINI. Hivi unaelewa maana ya kuamini na kutoamini? Unasema huamini halafu unataka evidences. Maana yake wewe ni Muumini wa EVIDENCE.

Mark Manson kwenye kitabu chake cha Everything is Fucked anasema, 'Hakuna asiye amini' Yes, ni kweli. Atheists ni waumini wazuri wa Sayansi, hivyo WANAAMINI katika Evidence. Nigger! Believing is human tenet. Very natural from the deep self.

Narudia tena WATU. Don't be fooled. Mungu yupo na anatupenda. Usiwe mtumwa wa uhuru wako. Keep the focus.

Hiyo Atheism ni Tamanio la Kutowapo Mwenyezi Mungu ili binadamu alishe bila kikwazo matamanio ya nafsi yake.
 
Hta wew umeshindw kuthibitish kuw hakun Mungu ispokuw umejarib kujudge tu
Tatiz lak unachangany faith and theorem
You can't prove presence or absence of God by science instead by faith only
 
Nadhani kuna tofauti ya kutoamini kitu na kukataa uwepo wa hicho kinachoaminiwa. Kitu ambacho najua na nina uhakika kuwa hakipo basi siwezi kusema siamini uwepo wake bali nitasema hicho kitu hakipo maana hakina nafasi ya imani kwangu.
 
Yap sahihi Mkuu.., Most of Scientific Theories hasa zinazohusu origin ya Ulimwengu na viumbe zime base kwenye Imani zaidi.
Mfano utasikia statement kwamba "It's believed that Billions of years ago Mitochondria was not part of a Cell"..... ukiangalia utaona kabisa hiyo ni Imani maana hakuna Scientific evidence yoyote inayothibitisha kwamba Mitochondria haikua sehemu ya seli miaka Billions iliyopita.
 
Belief ni sehemu ya muundo wa ubinadamu wetu, watu wanapuuza tu. Lakini, suala la Kuamini evidence. Ni imani pia.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Mimi na Mungu iko hivi..
Huwa mimi na yeye Tunazungumza.
Namuuliza swali ananijibu, ananimbiaga hapendi nini na anapenda nini na kuna vitu kanipa na kuna vitu kaniahidi atanipa.

Sifa yake kubwa yeye ndie kaniumba. na Kaumba dunia yote na ulimwengu.
Hua mnazunguza kwa lugha gani? Na hua unamuwekea kigoda akae wakati mnapiga story au huwa ana simama tu?
 
Kiini cha mwisho cha misingi ya mambo yote duniani ni 'NAFSI' kuiridhisha nafsi, binadamu kwa asili yake hulisha nafsi kuliko chochote kile.
Kwanza naomba uelezee kwa vithibitisho nafsi ni nini?
Narudia tena, The so called Atheist hawataki kusikia kuhusu Scripture, yaani holy writs. Kwa sababu, zina control nafsi.
Nafsi ni nini?
Hapo kwenye bold ni imani gani unazungumzia? Imani ya kuamini kuwa Yanga wakivaa jezi nyeusi wanashinda ugenini?
Bila shaka ni imani ya Mungu. Sasa hiyo imani ya Mungu kumbe ndio imeleteleza Johad na crusades.
Maana hao johadists na crusaders hawakupigania imani ya kimpira ila ni imani ya Mungu
Rudi kwenye Mungu, unaniambia nikupe ushahidi ambao huuamini? Watu wanakwambia Wana Amini.
Umenipa huo ushahidi nikasema siuamini? Lete kwanza huo ushahidi ili sote na JF nzima tuuchambue kama una mashaka au la!
Wewe unataka ushahidi wa Kulisha na kutosheleza macho yako.
Wapi nimeweka masharti kuwa ushahidi lazima uwe wa kuona kwa macho??
Unarudi kule kule 'Feeding the self' hutoki zaidi ya hapo.
Bado sijui self unamaanisha nini? Na hiyo self inakulaje? Ina mdomo?.
Yaani elezea what are you trying to argue here? Feeding self ndo nini?
Kuamini ni kuwa na hakika. Ukiniambia kuhusu shuhuda hautazipokea, kwa sababu mbali na kulisha macho yako no far pace you can make.
Sasa kuwa na uhakika na kitu usichokuwa na shuhuda nacho ni ujinga. hauna tofauti na anayeamini Superman,Vampires,Zombies,Fairies,Santa claus,Mizimu,Majini,Spiderman, wapo in real life.
Watu wanatamani Mungu asingekuwapo, ili watosheleze nafsi zao, ni pamoja na hao wanaodai kueneza dini kwa mtutu na vita. Hakuna MUNGU ilitaka hivyo, vita ilikuwa ni Battle of Civilizations.
Sawa
HAO ni watu gani na wananihusu nini mimi?
Maana mimi ninatamani Mungu angekuwepo ili nikifa isiwe mwisho nikutane na mama yangu kwenye bustani za dhahabu na maziwa ya maziwa (Lakes of milk) tuanze kuruka ruka na kuogelea kwenye mito ya pombe na asali pamoja na mabikra zangu 72.
Lakini sasa hakuna ushahidi huo wa uwepo wa hivyo vitu na huyo Mungu na ndomaana natoka kwenye matamanio narudi kwenye uhalisia.

Hapa sasa patamu umeanza kuja baada ya kuzunguka sana... unasema mungu amezuia hayo unaweza kutupa ushahidi kwanza A) huyo mungu yupo B)Huyo mungu alikataza hayo
Atheism ni uthibitisho wa namna Binadamu amezidiwa na Mamlaka yake, na amekuwa mtumwa wa uhuru wake.

Again, DON'T BE FOOLED.
Binadamu amezidiwa mamlaka gani? Aliyopewa na nani? Una ushahidi wa uwepo wa huyo nani?
Unawezaje kuwa mtumwa wa uhuru? Yani ni sawa na kusema uwe na mali nyingi sana mpaka ukawa masikini.
Ni contradiction
 
Shida ni kwamba unaona anaeamini habari za Mungu ni mjinga,... WaKati huo wewe unaamini habari za Evolution Theory.
Naomba nieleweke, Humu sijaja kupinga na kuleta mbadala wa theory ya creation(uumbaji) na Mungu
Huu uzi nimekuja tu kusema kuwa hatuna uthibitisho wowote wa hiyo theory.
Sasa huo mbadala wa evolution ni mfano mmoja tu wa theory tofauti na hii ya Mungu.
Zipo theories nyingi sana kama Tunaishi kwenye simulation, haya maisha ni ndoto ya kila mtu.yani wewe umelala au ni ubongo mahali unaota kila kitu/Mtu unachoki/mjuA
Again hata kama Evolution sio kweli, sio uthibitisho kuwa Mungu yupo.
Kuna uzi wa Evolution labda uje huko nikupe facts zako kuhusu evolution
NB:- Ni Bora Imani kwamba Kuna Creator who designed &brought all things into Existence...... Kuliko Imani kwamba Ulimwengu na viumbe ulitokea accidentally by chance from nowhere through natural selection.
Again hii false dichotomy fallacy. Yani unaact kama option ni hizo mbili tu wakati kuna infinite number of possibilities.
Na hiyo huwezi kuitumia kama proof ya uthibitisho wako kuwa kuna Mungu eti kwakuwa vitu haviwezi kuja by chance.
 
Ila ubishi wenu niwakijinga sana sasa kama darslam imepangiliwa haijajipanga sasa kwann tusiamini dunia pia ilipangiliwa?
Darsalaam imepangiliwa ila kwa bahati tu. Yani hakuna mtu miaka 1000 tu iliyopita alipanga kuwa kutakuwa na jiji kubwa kama hilo hapa Tanzania na litakuwa na bandari, mwendokasi na madaraja makubwa. Ni by chance tu watu wamekusanyika wakajenga na wanaendelea kulijenga jiji la Dar.
Watu wengi wamefanya vitu vingi hapa dar bila kuwasiliana yani mfano mlima matikiti aliyemuuzia mfanyabiashara aliyemuuzia Kiongozi aliyekula hilo tikiti likampa nguvu ya kuwaza jinsi ya kujenga bandari ya dar hawakujuana. Lakini ni kweli jiji limejengeka na kukamilika likiwa na bandari.
Haya wew unamuamini Yesu kumbe Mungu wa kweli ni Allah na anawachoma mnaomuabudu Binadamu Issa...Au unamuamini Allah kuambe Mungu wa kweli ni wa wahindu?
Bado haujasolve kitu.
Hiyo ya bora kuamini sijui ili ukimkuta mtu anaweza kutumia hoja hiyo kukuaminisha kitu chochote kile (Vqmpires,Zombies etc.)
 
People don't want to stand that theories are just well explained beliefs.
Nadhani unachanganya mafaili. Na inaonekana hujui maana ya scientific theory unaichanganya na theory kwenye history.
Ni sawa na mtu anaposema Dj wa leo hana energy halafu hiyo energy ukadhani ni ile ya kwenye Physics.
Okay kwanini umefanywa ni mjinga? Unapinga hilo kwa sababu/ hoja zipi?
Halafu ukija kwenye asili ya dunia ndio utacheka, usiombe kujifunza kuhusu Fission theory. Mambo ya kuniambia Mwezi ulitoka baharini, halafu unaniambia It's just theory. Damn!
Again, hata kama hizi theorie za evolution na bigbang ni za uongo bado sio ushahidi wa kuwa Mungu yupo.
False dilema
 
Hta wew umeshindw kuthibitish kuw hakun Mungu ispokuw umejarib kujudge tu
Tatiz lak unachangany faith and theorem
You can't prove presence or absence of God by science instead by faith only
Mimi wala sijaja kuthibitisha kuwa hakuna Mungu na wala sijasema Hakuna Mungu. Hivi umesoma hata post kweli?

Faith is beleiving without evidence. Basically Faith is gullibility and stupidity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…