Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Tuiweke hivi;
Agnostics wanaamini kuwa Haijulikani na haiwezi kujulikana kama Mungu yupo au la.(unknowable)
Atheists hawaamini kama hawa miungu wanaohubiriwa kwenye dini za duniani wapo.

Mimi pia siamini hawa Mungu wanaohubiriwa kwenye dini wapo kwasababu hakuna Ushahidi,siku ushahidi ukipatikana na ikathibitika nitaamini.
Agnostics wanasema haiwezi kujulikana kama Mungu yupo/hayupo…Mimi naamini inaweza kujulikana, huenda ipo siku huyo mungu akaja wote tukamuona au ipo siku sayansi itagundua kila kitu kuhusu chanzo cha ulimwengu..Sema hiyo option ya pili naona ni more likely.

Kwahyo labda uniweke kwenye box la agnostic atheism (kinda sio 100%), siamini Mungu na naamini kuwa kwasasa haijulikani kama Mungu yupo au hayupo,, lakini mimi sio 100% agnostic kwasababu siamini kama ishu ya mungu haiwezi kujulikana..mi naamini inaweza kujulikana
Since you think you're so intellectually sophisticated and brainy, why not start your own philosophy about the existence of God? You could articulate your beliefs, facts, evidence, logical arguments and whatnot the way your mind leads you to. It's a free world, always has been.
 
The difference is you and I know that both sharks and camels exist.
you and I are not sharks.
And sharks can beleive There are other sharks on land when they dont exist
it's not about you &I...its about how you can convince Sharks that Camels exist?

Ishu ni kwamba Sharks hata wakiambiwa kuna Wanyama wanaishi Nchi kavu wanaitwa Ngamia Wana Nundu zinazohifadhi virutubisho vya fati Ili kuwawezesha kukaa siku/wiki za kutosha bila kula au kunywa maji hawatakuamini.


Mfano huo wa Sharks& Camels,.. nimeutoa Ili ujue kwamba Sharks wasipoamini kwamba Camels Wana exist hiyo haimaanishi kwamba Camels Hawa exist.., nadhani umeelewa.
 
I am truthful by saying I don’t know. I won’t lie to you by pretending I know. Plus I want to discuss on things I know of and not things I beleive.
Tha age of beleiving is gone, now it’s the age of knowing.

It is like finding a house in the forest, you’ll be sure it exists because you see ot but you can’t be sure who constructed it or when. Same thing with the Pyramids and the Universe.

We can come with different theories of who built the house in the forest, you can say its Aliens,angels,Satan,God,or just human beings.
Although I won’t be sure of who it is exactly, but I will go with the theory with less assumptions.
And that would be Humans


That is the exact point over which I want you to ponder i.e you passed in a forest whereby you found a house which you believed it must be BUILT by a certain being whom you don't know, here rises another simple question; what made you to believe that the house Must have been built (by a certain aliens etc whom you don't know) ??-- to save time let me answer the question, the answer is; "Nothing disciplined can made or create itself"-- a disciplined body, matter, thing, entity etc is such a thing which functions or it is arranged in such a way that its arrangements make it functions a disciplinary work or saves a fruitful work.

Coming to the question in hand, as I said earlier, the issue here is not whether you know or don't know a builder of the house only what matters is; "the house was built", knowing the builder is none of our business or let make it be another issue to be discussed later.

Here comes clue for the crux that even the world or to be precise the universe in which we live exhibits and executes disciplines, any thing which functions disciplines MUST have been created therefore a creator Must be some where despite not knowing "Him" or its whereabout however it exists the same as the builder of the forest house exists or existed.
 
Since you think you're so intellectually sophisticated and brainy
I don’t think this, ukisoma andiko langu utagundua kuwa I think quite the opposite of this.
I’m not like theists who think they know everything and don’t need to question anything
, why not start your own philosophy about the existence of God? You could articulate your beliefs, facts, evidence, logical arguments and whatnot the way your mind leads you to. It's a free world, always has been.
Wasn’t planning on that, but I guess this thread is a good start
 
it's not about you &I...its about how you can convince Sharks that Camels exist?

Ishu ni kwamba Sharks hata wakiambiwa kuna Wanyama wanaishi Nchi kavu wanaitwa Ngamia Wana Nundu zinazohifadhi virutubisho vya fati Ili kuwawezesha kukaa siku/wiki za kutosha bila kula au kunywa maji hawatakuamini.


Mfano huo wa Sharks& Camels,.. nimeutoa Ili ujue kwamba Sharks wasipoamini kwamba Camels Wana exist hiyo haimaanishi kwamba Camels Hawa exist.., nadhani umeelewa.
Kwanza sharks hawana upeo wa kifikra wa kuweza kuongea nao na kuwaelezea chochote na hawana uwezo wa ‘kuamini’ chochote, so mfano sio hai.

Ni sawa na kusema ukiliambia jiwe kuwa wewe ni jiwe halitakuamini yes..kwasababu halina uwezo wa kuamini.

Tolea mfano kwa sisi binadamu tulioevolve complex neuro system inayotuwezesha kutafakari vitu, kuchambua, kuamini na kuwasiliana.

ndiyo, kutoamini kitu haimaanishi hakipo automatically, mtu asipoamini kuna mmea unakamata na kula wadudu haitamaanisha automatically huo mmea haupo.
Ni jukumu langu ninayeamini huo mmea upo kumuonesha uthibitisho kuwa huo mmea upo.

So hapa ishu sio mimi kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu, ishu ni uwepo wa Mungu una uthibitisho???
Na kitu kikiwepo hakihitaji tena ‘imani’
 
Una uhakika huwa mnazungumza naye na sio mambo kama ya Zumaridi tu??
Mimi na Mungu iko hivi..
Huwa mimi na yeye Tunazungumza.
Namuuliza swali ananijibu, animbiaga hapendi nini na anapenda nini na kuna vitu kanipa na kuna vitu kaniahidi atamipa.

Sifa yake kubwa yeye ndie kaniumba. na Kaumbo dunia yote na ulimwengu.
 
Kwanza sharks hawana upeo wa kifikra wa kuweza kuongea nao na kuwaelezea chochote na hawana uwezo wa ‘kuamini’ chochote, so mfano sio hai.

Ni sawa na kusema ukiliambia jiwe kuwa wewe ni jiwe halitakuamini yes..kwasababu halina uwezo wa kuamini.

Tolea mfano kwa sisi binadamu tulioevolve complex neuro system inayotuwezesha kutafakari vitu, kuchambua, kuamini na kuwasiliana.

ndiyo, kutoamini kitu haimaanishi hakipo automatically, mtu asipoamini kuna mmea unakamata na kula wadudu haitamaanisha automatically huo mmea haupo.
Ni jukumu langu ninayeamini huo mmea upo kumuonesha uthibitisho kuwa huo mmea upo.

So hapa ishu sio mimi kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu, ishu ni uwepo wa Mungu una uthibitisho???
Na kitu kikiwepo hakihitaji tena ‘imani’
Yap, Hiyo context ya shark &Camel inamaanisha kwamba... Ni ngumu sana kumuonyesha Shark uthibitisho wa uwepo wa Ngamia ingawa ni kweli Ngamia yupo.

Tukirudi kwenye uthibitisho wa uwepo wa Mungu,.. ni kwamba tunahitaji Imani lakini sio kuamini blindly Bali inabidi tuhusishe akili zetu pia.

Mfano, tunaweza kuthibitisha Uwepo wa Mungu kwa kujiuliza:-
Je, inawezekana Systems na physical Laws zote zinazotawala Ulimwengu huu uliyodumu miaka na miaka,... Zimetokea tu from nowhere,bila kupangiliwa na Yeyote au Chochote?

1. Kama jibu ni Yes vimetokea tu bila kupangiliwa na Yeyote au Chochote...basi Mungu hayupo?

2. Lakini kama jibu ni NO,... Means kuna Creator aliye initiate kila kitu.


Mfano, tunaweza kujiuliza JICHO LA BINADAMU lilivyo na sehemu lilipo kwenye mwili wa binadamu na components zake zote na Uwezo wake wa kutambua rangi mbalimbali,... Je limetokea tu bila ujuzi wowote kutumika(Does a human eye with its features exist without any Knowledge to design it?)

so, hapo ni Imani na akili inabidi zitumike Ili kupima na kujua unasimamia wapi.


NOTE: IMANI&AKILI ZITUMIKE..... MIMI NAONA UWEPO WA MUNGU HAUHITAJI HATA KUSOMA SANA HATA LAYMAN AKIAMUA KUTUMIA AKILI YAKE ATAJUA TU KAMA KANGAROO 🦘 NA MFUKO WAKE ANAOTUMIA KUWEKEA WATOTO WAKE(OFFSPRINGS) HASA WAKATI WA BARIDI UMEKUA DESIGNED NA DESIGNER. ☠️
 
Hii sio hoja yangu, tafadhali rudia tena kusoma

Kazi ya kutoa ushahidi ipo kwa yule anayesema kitu fulani kipo sio yule anapinga uwepo wake (ingawa mimi sijasema Mungu hayupo)
Mtu akisema nyumbani kwake aliwahi kufuga paka wanaotaga, ukibisha akakuambia wewe uthibitishe kuwa hajawahi kufuga hao paka utaweza?
Burden of proof ipo kwa yule aliyeweka claim
And extraordinary claims require extraordinary proofs

Mimi sijui vimetokea wapi, hilo haimaanishi vimetokea kwa Mungu

Ukirudi nyuma unafikaje kwenye uwepo wa Mungu?? Unaweza kutuonesha hili?

Ukiona mji ulivyopangiliwa kama Dar unaweza kusema watu walikutana siku moja wakakubaliana kuijenga dar.
Lakini bahati nasibu tu kuna mtu wa kwanza aliyeona ajenge hapa karibu na bahari na sio Bagamoyo, kupitia bahati hizo watu wakaongezeka na kujenga barabara wakazidi kujikusanya mpaka mji ukawa hivi unavyouna leo, ila yule mtu wa kwanza kujenga dar hakujua patakuwa mji kama wa leo…ni mlolongo wa bahati umetufikisha hapa.
Evolution haina akili lakini inaonesha kushape mwonekano wa viumbe na kuleta aina mpya za viumbe duniani
Unapingana na ukweli kwani jiji la dar lina mpangilio gani? Wakati vurugu tupuu... Sasa wewe hueleweki Mara unasema hayupo Mara yupo Mara hujui ndo nn sasa
 
Mimi na Mungu iko hivi..
Huwa mimi na yeye Tunazungumza.
Namuuliza swali ananijibu, animbiaga hapendi nini na anapenda nini na kuna vitu kanipa na kuna vitu kaniahidi atamipa.

Sifa yake kubwa yeye ndie kaniumba. na Kaumbo dunia yote na ulimwengu.
Kwahiyo mzee huna shida kwenye hii dunia
 
Mtu umelaaniwa kwa kuwa choko alafu unataka uthibitiaho gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee uliye laaniwa kwa kukosa mbegu za kiume, hadi unalea mbegu za wenzio na kujifaragua kuwa zako, yupi afadhari??

Na mbeba mbegu ukaporwaa piaaa, poleeeeeeh
 
Bado Atheism sio Falsafa. Ni Wish, hiyo ni Tumaini tu kwamba Mungu asingekuwapo ili mapenzi na matendo ya Binadamu yawe Justified' yathibitike. Mungu ni kikwazo kwa maovu ya watu wengi sana, dhana kama hizo zinawekwa ili kushibisha nafsi na matakwa ya binadamu since Mungu ana exist kwenye Idea hivyo kutomuwaza kabisa ndio namna ya kumuondoa, its like making defeat.

Don't be fooled
 
That is the exact point over which I want you to ponder i.e you passed in a forest whereby you found a house which you believed it must be BUILT by a certain being whom you don't know, here rises another simple question; what made you to believe that the house Must have been built (by a certain aliens etc whom you don't know) ??--
Well, this is actually common sense. And You only need logic and probability..
Build /bɪld/ to construct (something) by putting parts or material together.

So by that definition, all built things are man made.
Using the knowledge My brain has acquired since childhood about my environment,I have learnt to distinguish between Natural and Man made objects in the environment. I know a tree is natural occuring and a house (even if it is a forest) is a manmade object..because I know that doors,windows,roofs,balconies are manmade concepts..Same way If I see a car, a pair of shoes, an iphone, A cigarette, a Yanga’s Jersey, etc. in the forest, I would know it is manmade and not natural.

If it was that of a mystery, (because theres nothing special about the location of the house in the forest and another house in the city, or the location of the pyramids in Egypt or the time it exists) then a house wouldn’t need to be in a forest for one to ask that stupid question of whether its built or natural or any other option you can think of (eg. It is Made by aliens, Angels, demons, made by God, it is a simulation, it is a dream etc.)
So I think a house in A forest is built due to the same reasons I think a house in the city,in the village, or in the saharas, is manmade and is different from natural things like lions and rivers and trees
Thats why you didnt think whether a tree in a forest was built or not., the question would make sense if the object we are seeing is neither natural nor manmade, say you found an object in your yard that defies physics and is not natural nor manmade., then that question of whether it wa built or not would make sense

So, we are not arguing about whether man made objects(guitars, houses, watches, etc.) are built or not.,,that is very misleading.
We are arguing whether All objects (natural & manmade) are built or not.
Now, I know manmade objects are built by man because I have a large database of other objects that man has made to infer and refer to.
And the built in this case does not refer to creating from nothing, but rather just adjusting, altering and transforming already existing natural objects into other forms like glass to mirror, trees to wood to houses, etc.

But as of all objects in the universe, we dont have other databases from other universes to infer whether this one we live in is built or natural existing.
to save time let me answer the question, the answer is; "Nothing disciplined can made or create itself"-- a disciplined body, matter, thing, entity etc is such a thing which functions or it is arranged in such a way that its arrangements make it functions a disciplinary work or saves a fruitful work.
This is not provable. Simple systems can interact purely by luck and evolve to create complex systems that may seem disciplined and serve a function. Individual water droplets from the rain may seem negligible but when they fall on land and flow to a lower surface due to gravity, they may unite to form a river which may serve a function of a home to a lot of animals.🐸🐺🐢🐙🦑🐠🐡🐋🐳🐊
The universe may seem disciplined but really it is an illusion because once you look really deep into it from its fundamental blocks (i.e atoms) at the quantum level you will see that it is all probabilistic, but all that random motion of subatomic particles obeying certain physical laws has a tendency of interacting to forms molecules compounds, solids,liquids,gases which also interact in unique ways to create rocks,rivers,mountains,planets,forests,trees,monkeys,bananas etc.

So discipline might actually not be the fundamental nature of the universe, but rather an emergent feature of complexity from very simple but very crucial systems.

Therefore, the question about the house in the forest should not brainstorm you because of the discipline at which a functioning house exists…
But rather it should brainstorm you why it exists there in the first place (regardless its disciplined or not)
Like Why atoms,molecules,compounds that are obeying laws of motion,gravity,energy conservation,etc. Exist???
Coming to the question in hand, as I said earlier, the issue here is not whether you know or don't know a builder of the house only what matters is; "the house was built", knowing the builder is none of our business or let make it be another issue to be discussed later.
Creation and building are two different things, building involves taking what already exists/ in your terms what’s already ‘created’ and assembling it into other forms.
So when we talk of built things, we talk of a who because we have enough data and evidence from other built things, existence of builders, and we can even learn how to build it our damn selves.
that verifies who builds.
(Building is just assembling natural objects)

But when we talk of creation, we really dont have any data or evidence of other created universes, existence of creator(s), and even the method in which a creator creates.
Here comes clue for the crux that even the world or to be precise the universe in which we live exhibits and executes disciplines,
TRUE
any thing which functions disciplines MUST have been created
False, generalization fallacy…you havent seen everything that exists and havent seen every disciplined thing in existence to conclude this.,(because theres nothing special about the location of the house in the forest or another house in the city, or the location of the pyramids in Egypt) and so there is nothing special about the location of the universe we observe.
It might be that, in other parts of the unobservable universe or in other universes the laws of physics are different and maybe laws of causation are not fundamental.

and plus I have shown disciplined things like rivers may exist due to pure luck of falling rain water droplets.
therefore a creator Must be some where despite not knowing "Him" or its whereabout however it exists the same as the builder of the forest house exists or existed.
We dont know if a creator exists because we dont know if everything was created or not…You are confusing building and creating…to know if something was built you must first know if such a thing is built (like we know a house is built because we know houses are built), secondly you must know who builds (i.e humans), third but leastly important you must also know how its built.(methods) like how you know a house is built because you have a gist concept of how houses are made.

If an object doesn’t fit those criteria, then we cant really know if it was built (by man) or not.

But on creation of all things, we dont really know if firstly such a thing is created (like we know a house is built because we know houses are built), secondly we dont know who creates (i.e we havent seen God creating in live action), third but leastly important we dont also know how its created.(methods in which God or whoever uses to create)
 
Bado Atheism sio Falsafa. Ni Wish, hiyo ni Tumaini tu kwamba Mungu asingekuwapo ili mapenzi na matendo ya Binadamu yawe Justified' yathibitike.
Hata Dini ndiyo wish kuwa Mungu yupo ili mama akifa na mimi nikifa tutakutana kwake.
Hapa ishu sio wishing kama Mungu awepo itakuaje au asipokuwepo itakuaje. Huyo ni sekondari ishu

Hapa tupo chini kabisa, tunawaza kama huyo Mungu yupo au hayupo?? Maana so far hatuna ushahidi wowote wa uwepo wale.
Mungu ni kikwazo kwa maovu ya watu wengi sana, dhana kama hizo zinawekwa ili kushibisha nafsi na matakwa ya binadamu since Mungu ana exist kwenye Idea hivyo kutomuwaza kabisa ndio namna ya kumuondoa, its like making defeat.
Kuna watu wanamuamini Mungu na wameua mamilioni ya watu baada ya kusali na kuamuru jeshi lao liue watu., Jihadist anaua watu huku akiamini Mungu yuko upande wake.
Sidhani kama Mungu anazuia binadamu kufanya mambo mabaya au hata sidhan kama anasaidia binadamu kufanya mambo mazuri.. kuna wapagani wengi tu ila wanafanya matendo mema kuliko watu wa dini.

Hata concept ya mungu na dini visingekuwepo duniani, binadamu tungeendelea kujenga miji,kupendana, kupigana,kuuana, kuzaliana.

Sema nadhani kuuana kungepungua kwasababu vita vingi huwa vya dini.
Don't be fooled
Dont be delusional
 
Back
Top Bottom