Hakuna hiyo imani,, yani labda useme wana imani zingine na wapo organized katika hizo ila pia hawaamini uwepo wa mungu.
Lakini huwezi kusema wako organized katika kutoamini Mungu..haya hauamini mungu then what??
Kwanza Humanism haihusiani na kutoamini mungu, ni mtazamo wa kifikra na kimaadili unaoweka kipaumbele kwa utu, heshima, na ustawi wa binadamu. Ni falsafa inayojikita katika uzoefu wa binadamu, maadili yanayotokana na ubinadamu, na nafasi ya binadamu katika ulimwengu. Humanism inalenga katika maendeleo, maendeleo ya mtu binafsi, na kujitolea katika kuimarisha ubora wa maisha ya binadamu kwa njia zote.