Yes...wewe mkuu umenielewaNadhani kuna tofauti ya kutoamini kitu na kukataa uwepo wa hicho kinachoaminiwa. Kitu ambacho najua na nina uhakika kuwa hakipo basi siwezi kusema siamini uwepo wake bali nitasema hicho kitu hakipo maana hakina nafasi ya imani kwangu.
Yupiiii???Sasa subiri atakuleta yeye.
Both Creation and Evolution Are theoriesYap sahihi Mkuu.., Most of Scientific Theories hasa zinazohusu origin ya Ulimwengu na viumbe zime base kwenye Imani zaidi.
Mfano utasikia statement kwamba "It's believed that Billions of years ago Mitochondria was not part of a Cell"..... ukiangalia utaona kabisa hiyo ni Imani maana hakuna Scientific evidence yoyote inayothibitisha kwamba Mitochondria haikua sehemu ya seli miaka Billions iliyopita.
Shida sio kuamini au kutoamini.Belief ni sehemu ya muundo wa ubinadamu wetu, watu wanapuuza tu. Lakini, suala la Kuamini evidence. Ni imani pia.
Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Sijui hii definition umetunga au umetoa wapi ila kwenye dictionary ya Mirriam Webster anasema Reality are the things in life that are commonly observed and verified to exist, things that are consistent and not random or influenced by conformity or mass hysteria. Something that is perceived as real and is physically experienced by the senses.NINGEPENDA WATU WAJUE HILI.
God is rather TRUTH than REALITY. Kuna tofauti kubwa sana kati ya hiyo misamiati, na maelezo/uthibitisho wake unatolewa na FACTS na LOGICS.
Twende Pamoja...
REALITY inatangulia; je ni kitu gani?
Reality ni uhalisia unaothibitishwa na macho.
Actually reality needs to be explained thats why we have science and scientific theories.Reality doesn't need explanations at all since its empirical and everybody can talk about it. Therefore, the talk about reality is called FACT.
Nimekupata sasa, kumbe fact ni maelezo tu. Inamaanisha tukienda ndani zaidi kumbe Fact ni branch tu kwenye maelezo. Inamaana maelezo yapo ya aina nyingi.FACTS- ni maelezo kuhusu reality. Aidha ufafanuzi ama maelezo tuu. Mfano; wewe ndiye unatumia simu yako, unaiona kwa rangi, jina, pamoja na ukubwa. Hiyo ni reality, huhitaji maelezo kujua ulichoshika ni kitu gani, na kama ukianza kutoa maelezo hayo yanaitwa FACTS.
Umenipata sio?
Again reality sio lazima ionekane kwa macho. Tunajua upepo upo ni reality ingawa hatuuoni kwa macho.TRUTH- Truth ni Kipande cha REALITY ambacho hakionekani kwa macho. Truth is likely to be told, but reality has to be seen.
Kumbe unajua hilo, sasa kwanini maelezo yako ya juu yalikuwa yameegemea tu kwenye kuona?Wanadamu wanafahamu nguvu ya macho yao, lakini hawawezi ku 'deny' hadhi, kazi na nguvu ya viungo vingine kama Masikio katika kujenga na Kulinda Ufahamu. Hapa ndipo inapatikana TRUTH. Hatuwezi kusema jambo, ama kitu fulani hakipo ati kwa sababu hatujawahi kukuiona. NO!
The true you is the real you. Kama watu wanajua wewe sio mzinzi kumbe wewe ni mzizi basi watu wanajua the False you, lakini the true you ni ile real you ambayo ni mzinzi.Mfano; most people know the TRUE you, not the REAL you. Hatusemi kwamba, the real you doesn't exist ati kwa sababu hatujawahi kukuona. Mfano, wewe ni Mzinzi, na ndiye wewe unafahamu,'real you' sio kwa sababu hatujakuona basi wewe sio mzinzi, NO! logics zitathibitisha, kwa sababu tabia ni ngozi. Ngozi huonekana na haibadiliki.
hizi definition unazitoa wapi? Logic ni kitu kingine kabisa, ni utaratibu kwenye reasoning. Unahusisha statement zaidi ya 1.Sasa, maelezo kuhusu TRUTH yanaitwa Logics.
Sijawahi kuona kunguru asiye mweusi
Nimeona kunguru wote duniani
Hivyo hakuna kunguru asiye Mweusi duniani.
Kwanini hatuwezi?Hatuwezi kusema God is not real, ati kwa sababu hukuwahi kumuona. No!! Don't be Clunk.
Haya yote yameonekana kwa msaada wa vifaa kwenye Microscope wewe uko nchi gani?Sayansi imezungumza mambo mengi ambayo hatuwezi kuyaona, mathalani Hormones, nerve pulses, n.k.
Yani ni sawa na mtu kuuliza unaamini kuna Maumivu? Usiniambie kuona mtu analia baada ya kupigwa ngumi ni ushahidi wa maumivu kwasababu hata Wale waigizaji wa azam Tv wanaigiza kwa kulia na kupigana kumbe hawaumii.Labda nikuulize, UNAAMINI KUNA UMEME? Umewahi kuuona? Usiniambie umeme ni huo Mwanga wa taa ya hapo chumbani kwako, huo mwanga. Upo hata kwenye nyota.
Mkuu mbona unakomaa na macho tu?? Wapi nimelimit macho tu?Watu wanaotaka ushahidi kuhusu Mungu (Muumba) wataka kufahamu kuhusu nini kitaridhisha macho yao, na usipowapa hawaamini, wakati huo wanadai HAWAAMINI.
kuamini ni ile kuwa uhakika kichwani mwako kuwa jambo flani ni la kweli.Hivi unaelewa maana ya kuamini na kutoamini? Unasema huamini halafu unataka evidences. Maana yake wewe ni Muumini wa EVIDENCE.
Mimi sijasema Atheist hawaamini chochote. Imani sio jambo baya na ni la lazima. Shida ni je unachoamini ni cha kweli?Mark Manson kwenye kitabu chake cha Everything is Fucked anasema, 'Hakuna asiye amini' Yes, ni kweli. Atheists ni waumini wazuri wa Sayansi, hivyo WANAAMINI katika Evidence. Nigger! Believing is human tenet. Very natural from the deep self.
Sasa unasema Yupo kwa uthibitisho upo? Namimi nasema Vampires wapo msitoke usiku. Keep the focus.Narudia tena WATU. Don't be fooled. Mungu yupo na anatupenda. Usiwe mtumwa wa uhuru wako. Keep the focus.
Atheism sio tamanio.Hiyo Atheism ni Tamanio la Kutowapo Mwenyezi Mungu ili binadamu alishe bila kikwazo matamanio ya nafsi yake.
Sasa unavyoona atheists hawaamini tu kuwa kuna Mungu au wanajua kuwa hakuna Mungu ndio maana hawaamini Mungu?Yes...wewe mkuu umenielewa
Atheists by definition hawaamini kuna Mungu.Sasa unavyoona atheists hawaamini tu kuwa kuna Mungu au wanajua kuwa hakuna Mungu ndio maana hawaamini Mungu?
Kwa kutumia definition hiyo hiyo ndio nimetaka kujua kuwa hawaamini kuwa kuna Mungu kwa hoja ya kwamba wanajua hayupo huyo Mungu au hawajaona tu sababu za msingi za kuamini kuwepo Mungu?Atheists by definition hawaamini kuna Mungu.
Hao ambao wanajua hakuna Mungu ni antitheists.
Na nadhani hawana uthibitisho wowote wa hizo claims.
Kati ya dini na Sayansi kuna moja ni absolute truth na nyingine ni Thoughts.Both Creation and Evolution Are theories
Tofauti ni kuwa In creation evidence is "Trust Moses Bro?" Na hakuna room ya kuquestion alichosema Paulo/Muhamad bali ni kukariri na kuamini hiko kitu bila evidence yoyote.
Lakini scientific theories zinabadilika pale new evidence inapopatikana na kuonekana kuiponga old theory.
Bigbang theory imebadilishwa mara nyingi sana kutokea ilipokuwa first proposed.
Hata evolution theory kila siku evidence mpya zinapatikana na kupinga old undestandings.
Mfano watu zamani waliamini kuwa Binadamu wa kwanza aliishi miaka laki2 iliyopita lakini new evidence imeonesha kuwa alikuwepo hata kabla ya hapo na imesogezwa saivi inaaminika ni miaka laki3 huko.
Kwahyo science and religion are both tools looking for ultimate truth but I would choose science because sayansi inatafuta evidence na kuthibitisha na kubadilika ikiona new evidence while religion ni mambo yasiyothibitika na hayabadiliki yani tunakaririshwa.
Okay, samahani lakini kwenye hili jukwaa la intelligence nitakuoamba kidogo uwe careful na maneno unayochagua kutumia. Maana unaweza kushindwa kufikisha unachomaanisha kwa kutumia maneno yasiyostahili.Kati ya dini na Sayansi kuna moja ni absolute truth na nyingine ni Thoughts.
Bado sijaelewa by thoughts unamaanisha nini? Mawazo? Maana mawazo anayo kila mtu kichwani na kuhusu kuyabadilisha ni uamuzi wa kila mtu kwa free will yake. Mwingine anaweza akabadili na mwingine akang'ang'ania ya zamani..kama wazee wanaokomaa kukeketa mpaka leo.Absolute truth, haina haja ya kubadilika.
Thoughts, huwa zinabadilika pale ambapo thoughts mpya zinapoibuka.
Kabla ya kurukia kuanza kunitajia sifa za huyu creator kuwa anajua hiki au anajua kile, anapenda hiki anachukia kile, anavaa nguo hizi havai zile, mguu wake uko hivi au mikono yake iko vile.Kwa mantiki hiyo, Aliyeumba Dunia ndiyo ana Absolute Truth kuhusu existence ya kila kitu tunachokijua na vile vyote ambavyo hatuvijui... (Nje ya yule Aliyeumba hatuwezi kuja na Absolute Truth kuhusu existence ya Ulimwengu na vitu ambavyo vipo kwenye Ulimwengu kwa ujumla wake)
Ngoja niassume by thoughts unamaanisha theories. Maana kama nikisema unamaanisha scientific facts nitapotea. Maana hizi facts huwa hazibadiliki daima. Ni absolutely true.Thoughts, Sayansi ni thoughts kuhusu source ya vitu ambavyo vilishakuepo kwenye Dunia hii(hivyo Sayansi haina Absolute Truth kuhusu hivyo vitu) na ndiyo maana kwenye Sayansi zinapopatikana Thoughts mpya kuhusu jambo fulani ile thought ya zamani inawekwa pembeni.
Huko kwenye meli ni mbali kwasababu hapo wewe tayari umeshahitimisha kuwa hiyo meli lazima kuna aliyeiunda.Hata kwa akili ya kawaida tu, kati ya Aliyeunda Meli na Abiria nani anajua(Absolute Truth) ya Material na kila kitu kilichohitajika ili Meli iweze kuwepo na kufanya safari zake majini?!... Bila shaka anaejua ukweli halisi ni Muundaji wa Meli... Abiria yeye atatumia thoughts kufikiria kuhusu Asili na materials zote ambazo zilihitajika Ili Kuunda meli., Ambapo kwenye hizo thoughts anaweza akapatia au akakosea.
Yes nipo makini na Maneno niliyochagua kuyatumia kwenye kuelezea hoja yangu.Okay, samahani lakini kwenye hili jukwaa la intelligence nitakuoamba kidogo uwe careful na maneno unayochagua kutumia. Maana unaweza kushindwa kufikisha unachomaanisha kwa kutumia maneno yasiyostahili.
Unaposema hii ni absolute truth na ile ni thought ni kama umetenganisha kuwa thought ni kinyume cha absolute truth.
Lakini ni vitu viwili visivyolinganishwa. Ni sawa na Kusema Kuna aina mbili ya wanawake, wanawake wazuri na wanawake wafupi.
Umesahau kwamba kuna wanawake warefu na wabaya pia.
thought ni mawazo tu ya kichwani, Mawazo haya yanaweza kuwa absolutely true au absolutely false.
Unaweza ukawaza kuwa 1+1=2 hiyo ni thought lakini pia ni true.
Kwahyo thought sio kinyume cha absolute truth.
Bado sijaelewa by thoughts unamaanisha nini? Mawazo? Maana mawazo anayo kila mtu kichwani na kuhusu kuyabadilisha ni uamuzi wa kila mtu kwa free will yake. Mwingine anaweza akabadili na mwingine akang'ang'ania ya zamani..kama wazee wanaokomaa kukeketa mpaka leo.
Kabla ya kurukia kuanza kunitajia sifa za huyu creator kuwa anajua hiki au anajua kile, anapenda hiki anachukia kile, anavaa nguo hizi havai zile, mguu wake uko hivi au mikono yake iko vile.
Kwanza tuanze mwanzo..Huyo creator umemuona? Umemthibitisha yupo?
Una ushahidi wa hilo?
Ngoja niassume by thoughts unamaanisha theories. Maana kama nikisema unamaanisha scientific facts nitapotea. Maana hizi facts huwa hazibadiliki daima. Ni absolutely true.
Fact ni observation ya uhalisia, yaani ni nini kinachotokea kwe ye ulimwengu.
mfano wa scientific fact ni kuwa ukirusha chungwa juu lazima litadondoka chini kwasababu ya gravity.
ila theory sasa ni maelezo ya kwanini hiyo fact inakuwa hivyo
Kwa mfano wa hilo chungwa, ni theory ya kwanini Chungwa linadondoka Chini?
Newton alisema theory yake kuwa kila kitu chenye mass kina sumaku (gravitation force) ya kuvuta kitu kingine chenye mass. ila Einstein akaja kuonesha kuwa kinachotokea pale ni kuwa Mass inakunja space, na space iliyojikunja ndiyo huleta hiyo effect tunayoita gravity.
Kwahyo mkuu jibu ni Ndiyo, scientific theories zinabadilika, lengo ni binadamu kuukaribia ukweli zaidi. Tunaweza tusiifikie hiyo absolute truth (Na inaweza hata isiwepo) lakini atleast kupitia sayansi tunajitahidi kuikaribia kwa kupuuzia theories zinazofeli na kushika zile zinazokaribiana na uhalisia tunaouobserve.
Theory ya sayansi ikiwekwa mezani, wanasayansi dunia nzima huwa wanajifungia chumbani kujaribu kuidisprove na kuonesha uongo ndani yake.
Theory itakayoshindwa kuwa disproven yani itakayokwepa mishale mingi, ndiyo inasimama kama theory inayokubalika kwa wakati huo...Mpaka pale siku atakapojitokeza mtu wa kuidisprove au kuleta theory nyingine bora zaidi.
ila kwenye dini wanakalia na theory moja tu ya creation (uumbaji) lakini hawana hata chembe ya ushahidi wowote wa hiyo theory. And yes hata creation ni theory maana na yenyewe ni maelezo ya kwanini ulimwengu upo hivi tunavyouona leo.
Huko kwenye meli ni mbali kwasababu hapo wewe tayari umeshahitimisha kuwa hiyo meli lazima kuna aliyeiunda.
Kabla ya kusema huu ulimwengu aliyeuunda ndo anaujua Tuanze kwanza kujiuliza, je huu ulimwengu umeundwa?
Mkuu fikra ni wazo tu kichwani. Hata ukifikiria kuwa Mungu yupo hiyo ni fikra , na hata ukifikiria Mungu hayupo hiyo nayo ni fikra. Fikra inabaki kichwani tu.Yes nipo makini na Maneno niliyochagua kuyatumia kwenye kuelezea hoja yangu.
Ipo hivi, Absolute Truth maana yake hakuna namna unaweza kuja na hoja ya kupinga ukweli ambao hauna shaka kabisa 100%.
Lakini kwa upande wa fikra(Thoughts),.. unaweza ukaja na hoja ya kupinga maana fikra sio lazima iwe kweli so kunakua na room ya kukosoa fikra fulani endapo utahisi una strong arguments dhidi ya hiyo fikra... Kwa mantiki hii ni kwamba Hizo Scientific Theories &facts zinaanzia kwenye Thoughts(fikra) na ndiyo maana kuna kua na room ya kukosoa.
Ipo wazi kabisa kwamba inawezekana Theories za kina Newton & Einstein miaka inayokuja zikakosolewa na watu wa vizazi vijavyo endapo watafanya research na kugundua vitu tofauti na watangulizi wao kina Einstein.
Tuachane kwanza na mjadala wa systematic au random maana ni mpana pia.Okay, Tuanze kwa kujiuliza Je,... Ulimwengu umeundwa?
Mimi kwa upande wangu naona Ulimwengu umeundwa,... Nasema hivi kwasababu Ulimwengu upo Systematic ¬ random..... Jinsi vitu vinavyo operate kuanzia Angani mpaka ardhini na viumbe mbalimbali nikiwaangalia jinsi walivyo, binafsi hainiingii akilini kwamba Ulimwengu umetokea bila ujuzi wowote kuhusika kwenye kuweka mpangilio huu.
Mimi sijui kama ulimwengu umeundwa au haujaundwa. Mimi sipo kuamini, bali nipo hapa kujua.Wewe kwanini unaamini Ulimwengu haujaundwa?
Yes inawezekana kupitia evolution.Swali la nyongeza.., Hivi mfano kwa mtazamo wako JICHO la binadamu lilivyo linaweza kuwa kwenye muundo huu bila ujuzi (knowledge)wowote kutumika?
Nadhani hujaelewa namaanisha Nini nilivyosema Sayansi Ilianza kwa fikra.Mkuu fikra ni wazo tu kichwani. Hata ukifikiria kuwa Mungu yupo hiyo ni fikra , na hata ukifikiria Mungu hayupo hiyo nayo ni fikra. Fikra inabaki kichwani tu.
Fikra ni chombo tu ambacho ubongo hutumia kuwasilisha ujumbe.
Ujumbe unaweza kuwa wa kweli au sio wa kweli.
Fikra ni kama kioo tu kunachojaribu kuuigiliza uhalisia na kuuwasilisha kwenye consciousness yetu.
Kwahyo hamna maana katika kujadili kuwa fikra zinabadilika au hazibadiliki.
Fikra sio kitu wananayansi wanakaa kupinga au kutoipinga Maana fikra zinatengenezwa na kubakia kichwani tu.
Kwamfano ukifikiria kichwani ''The sky is blue" Hiyo fikra itabaki tu kichwani lakini uhalisia wa Sky kuwa Blue utabaki pale pale hata kama wewe ukifikiria kichwani "The sky is red"
Fikra haitengenezi uhalisia ila inauakisi.
kila kitu tunachofanya voluntarily kinaanzia kwenye fikra. Hata wewe kusoma haya maandishi lazima umefikiri.
Sasa ishu ni je, yale mawazo kwenye kioo(ubongo) yanaakisi vitu vilivyopo kwenye uhalisia au la?
Hapo kwenye uhalisia ndiyo tunaongelea theories, facts...Kinyume chake ni false theories and false facts(lies)
Na hizi facts nimekuambia ni absolute truth yani ni observation ya kisayansi tunayoiona kwenye ulimwengu.
Moto unaunguza-Hii ni fact na tumeiobserve kwenye nature time and time again. Kwahyo hata ukifa ukafufuka miaka milioni 7 ijayo bado moto utakuunguza.
Theories ndio maelezo ya kuielezea kwanini hiyo fact inatokea. Kwanini moto huunguza na sio kuleta baridi.
Sasa hayo maelezo(Theory) Ndiyo huweza kubadilika kulingana na gunduzi mpya.
Tuachane kwanza na mjadala wa systematic au random maana ni mpana pia.
Haya tuassume ni systematic...Hiyo inaprove vipi uumbaji?
Maana hapo tayari umeassume kuwa kila system lazima imeundwa. Una uthibitisho wa hilo?
Umeona system zote ulimwemguni?
Hata mawimbi ya bahari yako systematic kupanda na kushuka lakini molecules za H20 kwenye bahari zinamove very randomly na hazijui chochote kuhusu mawimbi ya bahari.
Kwahyo system au order inaweza kuevolve kutokea kwenye randomness.
Mimi sijui kama ulimwengu umeundwa au haujaundwa. Mimi sipo kuamini, bali nipo hapa kujua.
Yes inawezekana kupitia evolution.
(Hii ni option nyingine nimekupa, simaanishi kuwa huo ndio ukweli ninaouamini)
Sasa mbona wanaongea kwa kujiamini kuwa hakuna Mungu? Uhakika huo wanautoa wapi?Jibu ni B
Hao wanaoongea hivyo ni antitheists.Sasa mbona wanaongea kwa kujiamini kuwa hakuna Mungu? Uhakika huo wanautoa wapi?
.Kwa maana Hiyo fikra au mawazo ya Binadamu hayawezi kuelezea ukweli halisi(Absolute Truth) wa mambo yalivyo kwenye Ulimwengu huu kwa asilimia 100% kutakua na some errors.,...
Hata hizo postulates zako kuwaKwa mantiki hiyo kwa kuwa Mimi naamini kuna Muundaji wa Ulimwengu,.. basi Yeye Muundaji ndiyo anajua 100% facts kuhusu Ulimwengu
Yes ni thoughts zangu, na ni maamuzi yako either kuyaweka kwenye Absolute Truth au Absolute Lies , Na inahitaji kuamini (Imani) kwamba kuna Muundaji wa Ulimwengu aliyeleta everything into Existence.....kama hauamini basi endelea na msimamo unaouona ni sahihi kwa upande wako.Hata hizo postulates zako kuwa
1)kuna muundaji wa ulimwengu
2) Huyo muundaji anazijua facts za ulimwengu
Hizi nazo ni thoughts zako.
Na kama tukifuata logic yako kuwa mawazo ya mwanadamu hayawezi kuelezea absolute truth, Basi hata hayo mawazo yako kuhusu uwepo wa Mungu hayawezi kuwa absolute truth.
Or atleast hatutakiwi kuyachukulia kama absolute truth
Mkuu hiyo maana ya Atheism huwa ni tofauti na atheists kwenye uhalisia wao au labda tuseme kwa humu JF sijaona atheists asiyedai hakuna Mungu.Hao wanaoongea hivyo ni antitheists.
Atheism inaishia kutokuwa na imani ya Uwepo wa Mungu
Imani ya nyongeza ya kuwa mungu hayupo, ni nyongeza ambayo haitakiwi kunasibiwa na atheism
Kumekucha kumekucha...Sijasema ninavithibitisho vyovyote kuhusu uwepo wa Mungu wangu.
Sinaaaa
Kwasababu nikiwa naongea nae wewe huwezi kusikia.
Wewe huyo rafiki yako uliyekua unaongea nae kakupa nini ?? Maana mimi wakwangu kuna vitu vingi sana kanipa.