Mimi nimekuuliza kukuonyesha ya kuwa sharti lako la kuwa na backup ni dhaifu, ndiyo maana swali Hilo umeshindwa kulijibu mpaka muda huu.Mimi ndio nilikuuliza hilo swali
Sijui kama hata unaelewa nachokiandika
Mimi niliuliza hilo swali nikilinganisha na mfano wako wa nyumba ambao nimeukubali.
Hoja yangu kuu ya kuukubali mfano wako wa nyumba kuwa imejengwa ulitokana na backup ya kimazingira niliyoshuhudia nyumba zikijengwa.
Sasa kwenye ishu ya ulimwengu unao uthibitisho wowote unaoonesha records za limwengu zikumbwa ili tufikirie kuwa huu ulimwengu wetu utakuwa umeumbwa?
Mkuu kubisha kote huko kumbe mambo yote unayatolea google?
Nami siko hapa kutoa ushauri kwa Mungu, nafanya reasoning kulingana na nyinyi jinsi mnavyomueoezea Mungu kwa sifa zake za ukuu.Hahitaji ushauri wako wala wangu kuamua mambo yake, hahitaji ridhaa ya yoyote kupanga mambo yake, hahitaji kumridhisha yoyote yule hata wewe😂
Google inampoteza kijana.Kila kinachoandikwa kiingereza unaona Cha maana!?
Sijakujibu wapi ? Ulizia swali lako.Hii story nimejikuta niko very interested nayo yani sijui kwanini hujanijibu
Kuhoji sifa ya kitu wala haikuhitaji ukubaliane na uwepo wa hicho kituSafi, kwahiyo unakubali uwepo wake? Maana tayari unahoji sifa zake tayari upo halfway kukiri uwepo wake
Kama una akili utajua cha kuchambuaMkuu kubisha kote huko kumbe mambo yote unayatolea google?
Na ulivyo ulivyo mjinga kwahiyo bush wanaishi kwenye nini ? Nyumba mpaka iwe imejengwa Mjini nini tena kwa matofali nini ? Muda huo huo unaniambia nina reasoning ya kitoto huku hujui maana ya nyumba. Wewe wa kupigwa makofi.Una reasoning ya kitoto sana
Nakuuliza umejuaje hii ni nyumba unasema ni kwasababu ya uhalisia
Mtu ambaye amekaa bush miaka yote hajawahi kuona nyumba, ukimuonesha nyumba atakuwa na ufahamu wa kujua hii ni nyumba?
Swali sio nani kasemaNani kasema? Nani wa kumpangia eti “hakupaswa” nani ameset hiyo standard kuwa ni lazima Mungu abehave hivi na vile?
Elimu. Tu yani elimu.Google inampoteza kijana.
Kwani we unajenga vipi hoja mbona hueleweki?Na nitafurahi ukinambia kuna binaadamu wamekumbwa na tetemeko huko mbinguni
Nimeitolea kwenye kitabu kinachodaiwa ni cha MunguWell, inategemea hiyo story umeitoa wapi?
Source ni kitabu kinachodaiwa kuwa ni cha MunguHiyo vita inategemea na source yako😂
Ishara ni kitu kingine hicho kinachojitegemeaElewa nilichokiandika, napinga sharti unalo liweka. Sasa kama hata unachokiandika hukielewi hili ni tatizo lako.
Hata tunaposema Allah yupo ujue Kuna ishara za kuonyesha uwepo wake, kuanzia katika fitra (Innate disposition) na vingine. Nacho kataa hapa ni kile unacho DAI lazima uwe ume experience hicho kitu kwanza wakati siyo sahihi, kama nilivyokurudishia swali hilo juu ya jeep ushawahi ku experience kutokuwepo kwa ulimwengu mwingine mpaka ulimwengu huu uwe haujaumbwa ? Hujajibu swali hili.
Then ukichambua unatuthibitishia vipi sisi ili tuamini kuwa ni cha kweli?Kama una akili utajua cha kuchambua.
Sa mbona unajipinga mwenyewe?Ndiyo nakwambia kwakuwa the universe keeps expanding chances are there’s plenty of spaces probably we’ll never be able to fill
Sio suala la km ngap za mraba, look at the sky huwezi hata pata picha?
Nataka kujua chanzo chake kibinadam ndio, ulitaka nijue kinamna gani sasa wakat mi ni binadam!? Wewe umetumia nini kujua, kimalaika?Unataka kujua chanzo chake kibinadamu zaidi kitu ambacho hakiwezekani, jifunze pia kufikiri kiutu-uzima.
Unataka nikuthibitishie nn? Kuna mtu hapo nilimwambia kua tz walingundua fossils za dinosaurs, akabisha. Mtu kama huyo unamwaminishaje kama anabisha kitu ambacho kimetokea, kimekua documented. Ukitaka kwenda kushuhudia unaenda, ila yy bado anabisha! Mada ya huu uzi ni vice-versa kabisa, lol. Na tunazid kuona kila response inaotolewa na theistsThen ukichambua unatuthibitishia vipi sisi ili tuamini kuwa ni cha kweli?
Nimekuuliza swali utajuaje unachokiona wewe ni uhalisia na sio umepotoka tu?Uhalisia upo hauhitaji ushahidi kama uwepo wa Dunia, uwepo wako na mfano wa hivi.