Sorry hiyo ni Google keyboard version ya kiswahili ilifanya auto correctNani kaandika nani ? Tuliza akili usome ninachokiandika, nimeandika "Swali, kaandika nini" siyo "nani ?".
Vigezo umetaja hiviSoma vigezo nilivyo viandika siyo kimoja kijana. Niko makini kuliko unavyofikiria.
Ukiulizwa kuwa kutokuona kwako ndio uthibitisho kuwa huyo mtu hayupo, we utajibu vipi?Sikubali kwa sababu nyingi. Ushawahi kukuona huyo mtu wa miguu sita naurefu wa futi 30 ?
Swali lako haliwezi kujibiwa kama halijawekwa vizuriJibu swali nililokuuliza.
Mpaka hapa kazi yangu nimemaliza. Ili tuendelee jibu maswali niliyo kuuliza.
Shukrani.
Mkuu unapambana sana ila mwisho wa siku hutaweza kushinda kwa hoja. Mijadala hii ipo mingi sana hapa JF huwa haina hitimisho la mshindi.Swali kaandika nini, elewa maneno kijana, usichoshe watu, mbona unakuwa mjinga kiasi hiki ? Hivi nikiandika Bakuli limezaa na Bakuli limevunjika kauli hizi ziko sawa ? Utajuaje kama haziko sawa ? Lazima unagalie "Content" acha kuchosha watu kwa vitu vyepesi na ambavyo viko wazi.
Wewe huwa unatofautisha vipi hoja zinapoandikwa ? Inaonekana huwa husomi ukaelewa.
Poa.Mkuu unapambana sana ila mwisho wa siku hutaweza kushinda kwa hoja. Mijadala hii ipo mingi sana hapa JF huwa haina hitimisho la mshindi.
Dini ni imani. Period.
Kuna wanaoamini Mungu mwenye muonekano wa aina fulani isiyojieleza kuendana na imani zao. Kuna wanaoamini Ng'ombe, nyoka nk.
Na kuna wasioamimi kabisa.
Wote hawa ni watu werevu sio wajinga. Hapa unabishana na asieamini. Bado ukienda India ubishane na wanaoamini ng'ombe wapo tayari kufa kutetea huyo ngo'mbe .....
We jikite kwenye imani yako. Ukimshawishi mwingine akipinga usiende kiwango na kukebehi, sababu mwenyewe hutaweza kuthibitisha imani yako kwa kiwango kinachoeleweka...
Na sidhani kama unapata baraka yoyote kwa kukebehi misimamo ya imani ya wengine wakati msimamo wa imani yako kuhusu Mungu unapata shida kuthitisha...ni kucheza na maneno tu ....
Kumbe unasema tu.Nikuoneshe wapi?
Na kama nikisema mtu huyo haonekani amechagua aina fulani ya watu wanaoweza kumuona, utasemaje?
Kijana una uelewa mdogo sana, naposema haihitaji kuthubitisha na kuthubitishani rahisi sana, kunatofauri gani ? Mfano nakupa ni ule ule,baba kuwa mkubwa kuliko ni uhalisia, uhalisia ambao hauhitaji kuthibitishwa na endapo ukihitaji uthubitisho mwenye kuomba uthibitishwa lazima atakuwa na ugonjwa wa akili, na mtu alitaka kuthibitisha hilo ni rahisi sana.Mi nakuona wewe ndio unaandika ujinga kwasababu huko mwanzo umesema uhalisia hauhitaji uthibitisho
Hapa unakomaa kuwa ni rahisi kuthibitisha
Nilifikia hatua ya kukulazimisha kuonesha acknowledge yako ya jua ilitokana na uthibitisho wa kutumia milango ya fahamu lakini ulikuwa unapinga kuwa sio uthibitisho
Ndio maana naku press kwasababu najua saizi utaongea hivi na baadaye utajipinga utasema hivi
Twende sawa sawa, kwahiyo tunaenda na hoja ya kwamba uhalisia unathibitishika sio?
Kijana soma Ninachokiandika na ukielewe.Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?
Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
Kwani wewe ulivyokuwa unasema huu ulimwengu umeumbwa na Mungu, hukujua hapo kuwa ulikuwa unasema tu?Kumbe unasema tu.
Kumbe mtu akisema huu ulimwengu umeumbwa na Mungu l, totally huyo mtu anakuwa amesema tuSasa kwanini unaandika vitu vya kufikirika na huna ushhaidi unavyo ?
Namna pekee ya wewe kuthibitishiwa ni mpaka umuoneNitakuuliza thibitisha ya kuwa amechaguwa watu wa kumuona.
Mimi ndio niliyekuwa nakusisitizia kuwa hakuna kitu ambacho kipo halisia kikashindikana kuthibitishaKijana una uelewa mdogo sana, naposema haihitaji kuthubitisha na kuthubitishani rahisi sana, kunatofauri gani ? Mfano nakupa ni ule ule,baba kuwa mkubwa kuliko ni uhalisia, uhalisia ambao hauhitaji kuthibitishwa na endapo ukihitaji uthubitisho mwenye kuomba uthibitishwa lazima atakuwa na ugonjwa wa akili, na mtu alitaka kuthibitisha hilo ni rahisi sana.
Shida najadiliana na mganjwa wa akili.
Kijana shida ni uelewa wako mdogo sana, tangu naanza mjadala maneno yangu ni haya haya na mifano nimekupa na hakuna nilipo jipinga kijana. Ufafanuzi nimeshakupa.Mimi ndio niliyekuwa nakusisitizia kuwa hakuna kitu ambacho kipo halisia kikashindikana kuthibitisha
View attachment 2523773
Wewe ndiye uliyekuwa ukipinga kuwa hauhitaji kuthibitisha wala kupewa ushahidi
View attachment 2523772
Saizi umeanza kujipinga eti "kuthibitisha ni rahisi sana"
Twende taratibu kuna uwezekano huko mbele ukaja ukajipinga hivi vyote ulivyovisema
Ukishafika hatua hii sasa hivi utaanza marathonKijana soma Ninachokiandika na ukielewe.
Maana yake hakuna mtu wa miguu sita mwenye urefu wa futi 30. Sasa unavyopotezea watu muda ili iweje ?Namna pekee ya wewe kuthibitishiwa ni mpaka umuone
Na ili umuone ni mpaka yeye apende
Asipopenda hakuna namna yeyote wewe unaweza ukamjua
Aisee ngoja nikimbie.Ukishafika hatua hii sasa hivi utaanza marathon
Haya ni mateke ya mwisho mwisho wakati punda anakata roho
Hujajibu swali tena hili nimekupa mchanganuo mara nyingi sana kujaribu kukurahisishia
Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?
Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
Twende taratibuKijana shida ni uelewa wako mdogo sana, tangu naanza mjadala maneno yangu ni haya haya na mifano nimekupa na hakuna nilipo jipinga kijana. Ufafanuzi nimeshakupa.
Umejuaje hayupo?Maana yake hakuna mtu wa miguu sita mwenye urefu wa futi 30. Sasa unavyopotezea watu muda ili iweje ?
Soma maelezo yangu nilikwambia nini kuhusu mtu anayetaka kupewa ushahidi wa jambo ambalo halihitaji ushahidi. Ndiyo maana nakwambia huna hoja ya kujadiliana na Mimi, kingine maswali yangu hujibu unaleta utoto. Sijawahi kukumbia sababu najua huna hoja ila huwa nakupuuza sababu nakuwa najadiliana na mtoto.Twende taratibu
Hiyo screenshot inaonesha ukipinga kuwa hauhitaji ushahidi kujua vitu ambavyo ni halisia
Kwahiyo, hiyo picha hapo juu nimeitengeneza mimi na kukuzushia kuwa umeandika maneno ambayo wewe hujayaandika?