Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Nani kaandika nani ? Tuliza akili usome ninachokiandika, nimeandika "Swali, kaandika nini" siyo "nani ?".
Sorry hiyo ni Google keyboard version ya kiswahili ilifanya auto correct

Hoja yangu ilikuwa kuhoji vile kwa namna ulivyoiandika so nairudia tena hapa chini

Kwani vinatakiwa viandikwe nini ili vionekane ni uhalisia?
 
Soma vigezo nilivyo viandika siyo kimoja kijana. Niko makini kuliko unavyofikiria.
Vigezo umetaja hivi

1. Lazima awe amemuona huyo mtu

2. Na asiwe yeye peke yake ndiyo amemuona huyo,

3. Kisha lazima tupime ukweli na uaminifu wa Mtu huyo.

Kigezo namba 1

Hapa kuna hoja mbili, moja anaweza kusema amemuona. Lakini hoja ya pili anaweza akasema ameweza kumuona kwasababu yeye ni miongoni mwa watu waliochaguliwa kuweza kumuona huyo mtu.

Kigezo namba 2.

Akikuletea watu ambao akasema hawa ni wale wenzangu ambao yule mtu alipenda kujionesha mbele yetu, utasemaje?

Kigezo namba 3.

Ukweli na uaminifu ukiupima utazingatia kwenye factor gani haswa ya kuona hiyo ndio sehemu yenye kukuwezesha kujua huyu mtu ni mkweli na muaminifu?

Mathalani ushaambiwa huyo mtu haonekani na kila mtu ni mpaka akuchague uweze kumuona, unafikiri kama hoja yako ya kupima ukweli imejikita kwenye swala la kuona huoni kwamba uutakuwa unafanya makosa kufikiria kuwa huyo mtu ni muongo?
 
Sikubali kwa sababu nyingi. Ushawahi kukuona huyo mtu wa miguu sita naurefu wa futi 30 ?
Ukiulizwa kuwa kutokuona kwako ndio uthibitisho kuwa huyo mtu hayupo, we utajibu vipi?

Akakuuliza tena kuwa ina maana mtu ambaye hajawahi kuona simu akisimuliwa kuwa kuna kifaa kinaweza kukufanya muongee na mtu ambaye yuko maili za mbali.

Tena mkiwa mna onana face to face, mtu huyo kwasababu hajawahi kuiona simu akisema hakubali kwasababu hajawahi kuona kitu kama hicho, je huo utakuwa ni ushahidi kuwa simu hazipo?
 
Jibu swali nililokuuliza.

Mpaka hapa kazi yangu nimemaliza. Ili tuendelee jibu maswali niliyo kuuliza.

Shukrani.
Swali lako haliwezi kujibiwa kama halijawekwa vizuri

Lazima utaulizwa swali ili uangalie msingi wake

Umeuliza swali "nyumba inaweza kujijenga pasi na kujengwa au kutokea pasi na chochote"

Mimi naliona swali lako lina majibu ya mifumo miwili

Mfumo wa kwanza unamuhusu mtu ambaye anautaalamu na kitu kinachoitwa nyumba, anajua nyumba zinavyojengwa na ushahidi anao

Mfumo wa pili wa swali lako unamhusu mtu ambaye hajui lolote kuhusu nyumba na hana ushahidi wa kitu kinachoitwa nyumba

So kabla sijaenda kujibu swali ambalo halinihusu naomba uniambie swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?
 
Swali kaandika nini, elewa maneno kijana, usichoshe watu, mbona unakuwa mjinga kiasi hiki ? Hivi nikiandika Bakuli limezaa na Bakuli limevunjika kauli hizi ziko sawa ? Utajuaje kama haziko sawa ? Lazima unagalie "Content" acha kuchosha watu kwa vitu vyepesi na ambavyo viko wazi.

Wewe huwa unatofautisha vipi hoja zinapoandikwa ? Inaonekana huwa husomi ukaelewa.
Mkuu unapambana sana ila mwisho wa siku hutaweza kushinda kwa hoja. Mijadala hii ipo mingi sana hapa JF huwa haina hitimisho la mshindi.
Dini ni imani. Period.

Kuna wanaoamini Mungu mwenye muonekano wa aina fulani isiyojieleza kuendana na imani zao. Kuna wanaoamini Ng'ombe, nyoka nk.
Na kuna wasioamimi kabisa.

Wote hawa ni watu werevu sio wajinga. Hapa unabishana na asieamini. Bado ukienda India ubishane na wanaoamini ng'ombe wapo tayari kufa kutetea huyo ngo'mbe .....

We jikite kwenye imani yako. Ukimshawishi mwingine akipinga usiende kiwango na kukebehi, sababu mwenyewe hutaweza kuthibitisha imani yako kwa kiwango kinachoeleweka...

Na sidhani kama unapata baraka yoyote kwa kukebehi misimamo ya imani ya wengine wakati msimamo wa imani yako kuhusu Mungu unapata shida kuthitisha...ni kucheza na maneno tu ....
 
Poa.
 
Nikuoneshe wapi?

Na kama nikisema mtu huyo haonekani amechagua aina fulani ya watu wanaoweza kumuona, utasemaje?
Kumbe unasema tu.

Sasa kwanini unaandika vitu vya kufikirika na huna ushhaidi unavyo ?

Nitakuuliza thibitisha ya kuwa amechaguwa watu wa kumuona.
 
Mi nakuona wewe ndio unaandika ujinga kwasababu huko mwanzo umesema uhalisia hauhitaji uthibitisho

Hapa unakomaa kuwa ni rahisi kuthibitisha

Nilifikia hatua ya kukulazimisha kuonesha acknowledge yako ya jua ilitokana na uthibitisho wa kutumia milango ya fahamu lakini ulikuwa unapinga kuwa sio uthibitisho

Ndio maana naku press kwasababu najua saizi utaongea hivi na baadaye utajipinga utasema hivi

Twende sawa sawa, kwahiyo tunaenda na hoja ya kwamba uhalisia unathibitishika sio?
Kijana una uelewa mdogo sana, naposema haihitaji kuthubitisha na kuthubitishani rahisi sana, kunatofauri gani ? Mfano nakupa ni ule ule,baba kuwa mkubwa kuliko ni uhalisia, uhalisia ambao hauhitaji kuthibitishwa na endapo ukihitaji uthubitisho mwenye kuomba uthibitishwa lazima atakuwa na ugonjwa wa akili, na mtu alitaka kuthibitisha hilo ni rahisi sana.

Shida najadiliana na mganjwa wa akili.
 
Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?

Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
Kijana soma Ninachokiandika na ukielewe.
 
Sasa kwanini unaandika vitu vya kufikirika na huna ushhaidi unavyo ?
Kumbe mtu akisema huu ulimwengu umeumbwa na Mungu l, totally huyo mtu anakuwa amesema tu

Na kwasababu amesema basi usemi huo unakuwa ni kitu cha kufikirika tu si ndio?
 
Kijana una uelewa mdogo sana, naposema haihitaji kuthubitisha na kuthubitishani rahisi sana, kunatofauri gani ? Mfano nakupa ni ule ule,baba kuwa mkubwa kuliko ni uhalisia, uhalisia ambao hauhitaji kuthibitishwa na endapo ukihitaji uthubitisho mwenye kuomba uthibitishwa lazima atakuwa na ugonjwa wa akili, na mtu alitaka kuthibitisha hilo ni rahisi sana.

Shida najadiliana na mganjwa wa akili.
Mimi ndio niliyekuwa nakusisitizia kuwa hakuna kitu ambacho kipo halisia kikashindikana kuthibitisha
Screenshot_20230220-091337.png

Wewe ndiye uliyekuwa ukipinga kuwa hauhitaji kuthibitisha wala kupewa ushahidi

Screenshot_20230220-090448.png

Saizi umeanza kujipinga eti "kuthibitisha ni rahisi sana"

Twende taratibu kuna uwezekano huko mbele ukaja ukajipinga hivi vyote ulivyovisema
 
Mimi ndio niliyekuwa nakusisitizia kuwa hakuna kitu ambacho kipo halisia kikashindikana kuthibitisha
View attachment 2523773
Wewe ndiye uliyekuwa ukipinga kuwa hauhitaji kuthibitisha wala kupewa ushahidi

View attachment 2523772
Saizi umeanza kujipinga eti "kuthibitisha ni rahisi sana"

Twende taratibu kuna uwezekano huko mbele ukaja ukajipinga hivi vyote ulivyovisema
Kijana shida ni uelewa wako mdogo sana, tangu naanza mjadala maneno yangu ni haya haya na mifano nimekupa na hakuna nilipo jipinga kijana. Ufafanuzi nimeshakupa.
 
Kijana soma Ninachokiandika na ukielewe.
Ukishafika hatua hii sasa hivi utaanza marathon

Haya ni mateke ya mwisho mwisho wakati punda anakata roho

Hujajibu swali tena hili nimekupa mchanganuo mara nyingi sana kujaribu kukurahisishia

Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?

Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
 
Namna pekee ya wewe kuthibitishiwa ni mpaka umuone

Na ili umuone ni mpaka yeye apende

Asipopenda hakuna namna yeyote wewe unaweza ukamjua
Maana yake hakuna mtu wa miguu sita mwenye urefu wa futi 30. Sasa unavyopotezea watu muda ili iweje ?
 
Ukishafika hatua hii sasa hivi utaanza marathon

Haya ni mateke ya mwisho mwisho wakati punda anakata roho

Hujajibu swali tena hili nimekupa mchanganuo mara nyingi sana kujaribu kukurahisishia

Swali hilo anakuwa anaulizwa mtu wa namna gani?

Mtu ambaye ana experience ya kujua nyumba zinajengwa au ni mtu ambaye ni totally clueless, hajui chochote wala hawajawahi kuona nyumba yeyote?
Aisee ngoja nikimbie.
 
Kijana shida ni uelewa wako mdogo sana, tangu naanza mjadala maneno yangu ni haya haya na mifano nimekupa na hakuna nilipo jipinga kijana. Ufafanuzi nimeshakupa.
Twende taratibu

Hiyo screenshot inaonesha ukipinga kuwa hauhitaji ushahidi kujua vitu ambavyo ni halisia

Kwahiyo, hiyo picha hapo juu nimeitengeneza mimi na kukuzushia kuwa umeandika maneno ambayo wewe hujayaandika?
 
Soma maelezo yangu nilikwambia nini kuhusu mtu anayetaka kupewa ushahidi wa jambo ambalo halihitaji ushahidi. Ndiyo maana nakwambia huna hoja ya kujadiliana na Mimi, kingine maswali yangu hujibu unaleta utoto. Sijawahi kukumbia sababu najua huna hoja ila huwa nakupuuza sababu nakuwa najadiliana na mtoto.
 
Back
Top Bottom