Atheists wana mtindio wa ubongo

Unalewa kua anaetembea 50kph yuko closer to speed of light kuliko alie 10kph, sindio?
Kingine jifunze kutumia msamiati kwa maana yake halisi. Tamko "Closer" maana yake ni karibu sana, kitu ambacho kwa hapo hakiakisi uhalisia. Huo mwendo hauko karibu kama unavyo dai.

Kingine Kuna suala la "Starting Point" tukirudi kujadili ukweli kuhusu mwendo wa light. Walivyo kuwa wanapima mwendo wa light reference Yao ilikuwa wapi ? Kwa maana Starting Point, sababu hakuna Velocity bila "Starting Point" na katika maelezo utakayo yatoa usilete habari za "Assumptions" sababu maana yake naijua vizuri mno. Yaani nataka uguse uhalisia.
 
Sasa kama mfano hai unakua mgum kuelewa itabid tutumie assumption.

Chukulia huu mfano wa uhalisia; ukijaribu kumsukuma mtu anaekuzidi uzito itakua ngumu kumdondosha. Ila ukitaka ufanikiwe itabid urud nyuma, uje na spidi umpush ndo utafanikiwa kumdondosha. Hii sini kweli na unaelewa hilo? Sasa kwann ukimpush kwa spidi unamdondosha? Kwasababu utakua umegain momentum, na momentum inapoongezeka inamaana na mass inaongezeka. Mm naona changamoto hapa hujaelewa mass ni nn. Mass sio uzito, uzito ni weight.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Starting point yani initial velocity? Inabid iwe 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo si sababu ushaiweka kwamba ni Mwendo kasi. Nataka uonyeshe wapi uzito unaongezeka.

Kingine hakuna haja ya kutumia Assumptions, matumizi ya Assumptions huonyesha uvivu wa kufikiri na uzembe. Kadhalika unaweza ukatumia Mwendo kazi mkubwa na usifue dafu kadhalika.

Kingine hujibu swali ninalo kuuliza.
 
Starting point yani initial velocity? Inabid iwe 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa swali nililo kuuliza. Kwenye kupata Mwendo kasi wa Mwanga, starting Point ilikuwa ni nini na wapi ?

Ushauri wangu msiwe mashabiki wa hivi vitu, sababu misingi yake ni akili tu za wanadamu na hakuna maajabu, na Kuna kukosea kwingi kuliko kupatia.
 
Hapo kwenye uzito ndio hatujaelewana. Yani sio kwamba ukiendesha gari lako la 1tone ukakimbiza to 250kph kwamba hilo gari litaongezeka kilo, hapana. Ila ile kiwango cha energy ilionayo ndio kitaongezeka kwa lugha nyingine hii energy tunaiita 'inertial mass'. Kwa hapa formula ni
momentum=mass×velocity
Sasa hapa siunaona kua ukiongeza force (momentum) na mass ya kitu inaongezeka pia?
Practically najua unaeza kurelate..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unapinga kauli yako tena mkuu.... Kumbuka "ulisema for some reasons haiwezi kuwa proved"

Sasa fact gani ambayo haiwezi kuwa proved?
Bro evolution is a fact inaweza kua proved. Ila hio ya kwamba kila kiumbe kimetokana na samaki haiwez kua proved, for obvious reasons.
Kama izo reasons hujaona kua ni obvious ngoja nikutqjie;
atukuepo day 1 kipind life ina form
sio kila kitu kimefossilize, kwhy kuna missing links kibao.

Kwhy kwa sasa tunatumua available data kupredict ni nn kilichotokea...

Unaelezeaje fact ya kwamba miaka 900,000 iliopita dunia ilikua imejaa viumbe wa tofaut kbs na tulionao sasa. Na kwann walitoweka? Kwann sisi tuliopo saiv tulikujaje na wale wakatowekaje? Na ilipita muda gan mpaka wakatoweka?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia mpangilio tu lazma kutakuwa na mbunifu fulani alipangilia, na ushahidi tunaupata kwenye maandiko matakatifu, kwa hiyo ww unaamini ulimwenguni umetoka wapi?
 
Bro evolution is a fact inaweza kua proved. Ila hio ya kwamba kila kiumbe kimetokana na samaki haiwez kua proved, for obvious reasons.
Kama izo reasons hujaona kua ni obvious ngoja nikutqjie;






Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema Evolution inaweza kuwa proved......

Lakini bado mpaka sasa hujaweka any evidence mezani
 
Mfumo wa maisha ukilinganisha na mfumo upi mwingine wa maisha?

Ulishawahi kuishi nje ya mfumo huu uka experience terrible life thats why ukifananisha na huu mfumo unaona huu mfumo ni bora?
Kwa hiyo ulimwengu umetoka wap?
 
Ukiangalia mpangilio tu lazma kutakuwa na mbunifu fulani alipangilia, na ushahidi tunaupata kwenye maandiko matakatifu, kwa hiyo ww unaamini ulimwenguni umetoka wapi?
Na tukimfikiria huyo mpangiliaji wa ulimwengu huoni kwamba ni lazima kutakuwa na kitu kingine kilichompa huo ubunifu?
 
Kijana umeona haya mambo ya kufikirika yalivyo magumu kuyaweka wazi ? Mass ni tungamo kwa maana ya uzito,ndiyo maana kizio chake ni aidha Gram au Kilogram. Unaposema ya kuwa Mass inaongezeka ujue kama ilikuwa ni kilo 20 basi inakuwa ni kilo 30. Ndiyo maana ukiangalia hitimisho la theory ya Relativity utaona ni hitimisho la kijinga sana, kwamba Mass ni mkusanyiko wa nishati na si chochote, nilikuuliza hili swali kwamba kwa akili yako hili ni kweli ? Hukujibu hili swali.

Kama hivyo ndivyo hakuna maana ya wao kutumia Tamko mass sababu halina maana katika uhalisia, ila kwenye makaratasi Lina maana ili kukidhi hitaji la kimahesabu. Wewe una akili kijana japo ndiyo shida hufiirii kulikuwa Kuna haja gani ya kusema Kuna mass wakati inaonekana nguvu imeletwa na ule mwendo kasi ?

Achana na mambo ya Momentum haya yako wazi sababu hakuna energy hapo inayoengelewa, ila katika hii formula ya Mass Energy Kuna sarakasi nyingi ambazo hazina uhalisia zaidi ya falsafa tu na michezo ya danganya toto.
 
Hio energy exerted by a body at motion (momentum). Iko directly proportional to mass. Ivo ukiwa una mass kubwa tunategemea kua na momentum yako itakua kubwa, and vice-versa is true. Formula inaprove hili na in practice pia inakua proved.

In practice ukitaka kuprove kiurahis fanya hivi.
Unajua acceleration na speed inaweza kua direction yyte? Unaweza hata kua acceleration due to gravity. Ukitoka juu ya ghorofa ukajitupa chini inamaana uta accelerate to a certain velocity... sasa demonstrate hivi. Simama juu ya muzani wa kupimia uzito then ruka uone kilo zako zinavoongezeka mpaka pale utapofikia terminal velocity kisha readings znarud katk kilo zako halisi.

Sasa ndivo hivohivo inavotekea ktk forward motion except hapa inakua sio acceleration due to gravity, kwahio hio value ya energy inayoongezeka hapo inakua sio weight bali mass.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza unaelewa hata evolution ni nn?
Evolution sio samak kubadilika kua mjusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna asiyeelewa evolution....

Nimesema hivi hakuna evidence yoyote umeweka kuhusu hizo theory.

Walioifanya utafiti wenyewe hawana Imani nayo.... Ila wew ndyo unajiona muumini mkubwa wa Evolution Theory kuliko wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…