Nimekwambia kuwa, kuna maswali mengine majibu yake yapo, lakini hayajulikani. Hilo nawe unalifahamu.Ndio maana nimekuuliza, utajuaje kukosa kwako majibu kunatokana na wewe kukosa majibu na sio kwamba unakosa majibu kwasababu uhalisia wa hicho kitu haupo?
Kwani historia hutoka wapi?Historia yake kutoka wapi?
Kusema kwa niaba ya Mungu ni lazima utumwe na Mungu mwenyewe. Mimi sijatumwa na Mungu. Nayasema hayo yote kutokana na historia yake. Hivyo, mimi sio muongo, kwa kuwa historia haiongopi.Ni kwasababu hata wewe unamuelezea Mungu kwa niaba yake
Kwa niaba yake umeamua kumsemea kuwa yeye ni mjuzi wa uumbaji
Kama unakataa kujibu maswali ya msingi kwasababu ya kudai "ni kwa niaba ya Mungu" basi kanusha madai yako yote uliyoyasema mwanzo ukimuelezea Mungu, kubali kuwa ni ya UONGO ili kweli isionekane kuwa unaongea kwa niaba yake.
Vinginevyo.....
Nilikuambia kabla hujazaliwa, Mungu alijua kuwa utazaliwa?
Alijua ni lini, wapi, na mzazi gani ambaye atakuzaa?
Au hakujua?
Siku yako ya kufa anaijua?
2025 kuna uchaguzi je Mungu ashajua yatayojiri mwaka huo au naye anasubiria mpaka watu wapige kura, wahesabu na Nec watangaze ndio naye ajue?
Mimi sijibu kwa niaba ya Mungu, kwa sababu Mungu hajanituma.Okay kumbe saizi ni simple kutoa jibu kwa niaba ya Mungu?
Halafu sijajua kwanini unajitangulizia mpira kwa mbele kama Twisila
Kwasababu hakuna sehemu nimetaja mambo ya tabia wala uumbaji kwenye hoja yangu.
Kama Mungu ni mjuzi wa kila kitu, na aliona kila kitu kitachoenda kutokea kwenye ulimwengu atakaokwenda kuumba, ikiwemo mabaya, kwanini pamoja na kulijua hilo kuumba ulimwengu usioweza kuruhusu uovu?
Je mwakani utakuwa hai au utakuwa umekufa?Kama yapi hayo maswali yenye majibu ambayo hayajulikani
Unajitambua lakini?Itoshe kusema pumzika sasa, hoja zako zote tokea mwanzo umezizimia hapa. Kwisha habari yako
Nilikuambia ujuzi wote (omniscient), nikimaanisha ujuzi wa kila kitu bila kuwepo limitation ya aina yeyoteKutokumbuka ni jambo la kisayansi na lina umhimu wake pia.
Uliniuliza mipaka ya ujuzi wa Mungu. Hujawa specific ni ujuzi wa nini. Lakini nilikujibu specifically, Mungu ni mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote.
Unaongea kwa niaba yake? wewe umejuaje kama hilo swali anayejua ni Mungu?Pia nilikujibujibu swali hilo anayejua ni Mungu kwa sababu hukuridhika na specific answer. Ulitaka general answer ambalo mimi silijui.
Kama hujui majibu yake tutajuaje kuwa hicho kitu unachotaka kutuambia kuwa kipo (Mungu) ni kweli yupo au hakipo ila umetumia njama kuturubuni kudai kipo ila huna majibu?Kwa hiyo, kuna maswali najua majibu yake na mengine sijui, kwa kuwa ni ya nafsi ya Mungu.
Namimi nimekuambia, watu kulijua hilo huoni waongo wengi wakitumia nafasi hiyo kupenyeza madai ya uongo ambayo hata wakiulizwa watasema "hatuna majibu ila yapo lakini hayajulikani"Nimekwambia kuwa, kuna maswali mengine majibu yake yapo, lakini hayajulikani. Hilo nawe unalifahamu.
Sijui wewe uliyeleta habari za historia ulizipatia wapiKwani historia hutoka wapi?
Historia gani?Kusema kwa niaba ya Mungu ni lazima utumwe na Mungu mwenyewe. Mimi sijatumwa na Mungu. Nayasema hayo yote kutokana na historia yake. Hivyo, mimi sio muongo, kwa kuwa historia haiongopi.
Bado nasisitiza, Mungu ndiye mjuzi pekee wa kila kiumbe. Kwa mambo ya tabia, Mungu alitoa mwongozo jinsi ya kuishi kwa uwiano katika mazingira yetu.
Mimi najua ujuzi wa uumbaji. Kutojua ujuzi wote wa Mungu hakuhalalishi kuwa nam-limit Mungu. Ujuzi mwingine usiohusu uumbaji sina ufahamu nao.Nilikuambia ujuzi wote (omniscient), nikimaanisha ujuzi wa kila kitu bila kuwepo limitation ya aina yeyote
Nikakuwekea na mfano wa ujuzi wote usio weza kuathiriwa na muda yani kujua yale yaliyopita, yaliyopo na yatakayo jiri mbeleni
Ukiniambia Mungu ni mjuzi wa uumbaji wa viumbe vyote maana yake umem-limit, kabla ya uumbaji huyo Mungu hakuwa na ujuzi wote au kabla ya uumbaji huyo Mungu hakuwepo.
Mungu wako ni mjuzi wa yote asiye na mipaka au kuna vitu vinafanyika bila yeye kujua?
Hapana siongei kwa niaba ya Mungu. Nimeandika hivyo kwa sababu swali lako lilimlenga Mungu moja kwa moja.Unaongea kwa niaba yake? wewe umejuaje kama hilo swali anayejua ni Mungu?
Uwepo wa Mungu ni jambo la kihistoria, na historia daima haiongopi. Mungu yupo.Kama hujui majibu yake tutajuaje kuwa hicho kitu unachotaka kutuambia kuwa kipo (Mungu) ni kweli yupo au hakipo ila umetumia njama kuturubuni kudai kipo ila huna majibu?
Labda nitoea mfano:Namimi nimekuambia, watu kulijua hilo huoni waongo wengi wakitumia nafasi hiyo kupenyeza madai ya uongo ambayo hata wakiulizwa watasema "hatuna majibu ila yapo lakini hayajulikani"
Sasa leo hii mtu akakuambia madai ya uongo kuwa ni ya kweli ila hana majibu yake lakini akakuambia majibu yake yapo, utajuaje kuwa hicho kitu alichokuambia ni cha kweli au ni cha uongo ametumia njia ya kusema hana majibu kama upenyo wa kupitisha conspiracy yake ya uongo?
Uliniuliza Historia yake kutoka wapi, kwa maana ya kwamba unajua vianzo kadhaa vya historia. Hapo umeniaminisha kuwa unajua dhahiri historia ni nini.Sijui wewe uliyeleta habari za historia ulizipatia wapi
Kwani mi ndio niliyeleta habari za historia humu?
Historia kuhusu Mungu.Historia gani?
Inawezekana ni kweli. Lakini wao zaidi wanajianda kwa mabishano ya kutafuta ushindi.Nadhani huwa hatuwajibu ma atheist kwa hoja zilizo Shiba na zenye mantiki tumeishia ku crame our own dogmas ambazo na wao wanazijua
Kuna Muda huwa nahisi tatizo kubwa sana lipo kwetu na si kwao angalia hata Aina ya ujibuji wa sisi believers kwa atheists ni lugha za ku attack tu na si vinginevyo