Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Tatizo umekeremisha uthibitisho ni mpaka mtu uingine lab, logical Fact nayo inasimama kama uthibitisho

Ni maswala tu ya namba, kilicho kikubwa ndio kinauwezo wa kumzaa mdogo. Huo tayari ni uthibitisho

Ishu ni kwamba unataka majibu mepesi ya kimazoea
Hujanielewa kabisa sipo huko ndiyo maana hoja zangu zimemili katika uhalisia. Hili unalo wewe kijana.

Kujua umri wa baba kuwa mkubwa kuliko mtoto kunataka Takeimu gani au kipimo gani ? Maana ulisema huko nyuma Kuna vipimo. Sasa tuambie ukitaka kujua umri wa baba kuwa mkubwa kuliko mtoto unatumia Carbon 14 ?

Sasa hilo jibu gumu mbona hujalitoa zaidi ya kuonyesha huna akili, na kuleta mambo yasiyo husika.

Huo siyo uthibitisho siyo kila chenye namba kubwa kinaweza kumzaa mtoto, wengine ni tasa. Jikite kwenye hoja ya msingi, naongelea baba na mtoto ambaye tayari ashazaliwa.

Kijana ngoja nikusaidie naona unaruka ruka, hakuna uthibitisho wowote unao hitajika kutaka kujua ya kuwa baba mzazi ni mkubwa kiumri kuliko mtoto. Sababu jambo hili ni Self Evident Truth.
 
Kutokumjua mjenzi wa hiyo barabara haimaanishi kuwa mjenzi lazima atakuwa huyo uliyemkusudia wewe
Lakini yupo...hapo kwenye kuwepo mjenzi ndiyo kwenye shida na si yupi!?..tukubalia e kwanza yupo au laa
 
Huo mfano wako ni potofu kwasababu haiwezi kukufikisha kwenye jibu sahihi

Nikisema nitumie principle hiyo bila kuvunja premises zake basi hata tukifika kwenye hicho chanzo ambacho wewe unakipendekeza bado tutahitaji kujua nacho hicho chanzo kimefikaje hapo (jambo ambalo huwezi kulikubali)

Sasa kwanini uone swala la chanzo ni muhimu kiasi utumie principle hiyo kama njia ya kutafuta majibu wakati kuna vitu unakubali vipo bila chanzo?
Soma Second Law of Thermodynamics na mambo ya Entropy hakuna Infinity Series katika uhalisia kijana. Achana na ngano za Wanasayansi na makubaliano ya kimahesabu.

Maumbile yalihitaji chanzi kisichokuwa na chanzo.
 
Huo mfano wako ni potofu kwasababu haiwezi kukufikisha kwenye jibu sahihi

Nikisema nitumie principle hiyo bila kuvunja premises zake basi hata tukifika kwenye hicho chanzo ambacho wewe unakipendekeza bado tutahitaji kujua nacho hicho chanzo kimefikaje hapo (jambo ambalo huwezi kulikubali)

Sasa kwanini uone swala la chanzo ni muhimu kiasi utumie principle hiyo kama njia ya kutafuta majibu wakati kuna vitu unakubali vipo bila chanzo?
Mfano potofu kwa mujibu wa nani!?..Jambo la awali ni kutafuta je Kuna muhandishi wa universe au imetokea tu!?...tukikubaliana ndiyo tunasonga,so mfano wa nyumba siyo potofu na ulikiri nyumba haiwezi kuwepo tu Bali Kuna fundi/mafundi walijenga
 
Linapokuja swala la uthibitisho huwa haupaswi kutumia mazoea
Onyesha mazoea yako wapi. Nikikuuliza swali rahisi sana Unapoona nyumba au ukiona nyumba unahitaji ushahidi kuonyesha ya kuwa nyumba imejengwa haijajinga ? Au ukiiona nyumba utauliza hii nyumba imekujaje au utauliza hii nyumba ameijenga nani ?

Akili huna kijana.
 
Biblia inasema wazi wapumbavu hawaamini juu ya uwepo wa Mungu Kwa hiyo jambo la kwanza atheist ni wapumbavu,hata uwatwange kwenye kinu upumbavu wao haukomi
 
Hii ni historia namna injini ya hino ilivopatikana ulimwenguni

Miaka yapata bilioni 5 ulitokea mlipuko ws volcano katika milima ya osaka japan, lava yenye nyuzi joto zaidi ya 4500c ilimiminika kwenye ardhi yenye udongo wenye madini ya asili ya chuma na kutokana na mgandamizo mkubwa ukaunda kitu kinachojulikana kama engine block baada ya hapo ikapita yapata miaka bilioni 2 mlipuko mwingine wa volcano maeneo ya fukushima ulisababisha joto ardhi lenye madini ya alluminium ngumu uliyeyuka na kutiririkia kwenye vishimo vilivyotokana na mmomonyoko wa udongo na hivyo kuunda piston mnayoifaham hii leo.

Hata hivyo kutokana na kuwa na matukio mengi ya ki volcano yaliyoendelea kuikumba japan vitu vingine kama main shaft na vitu vingine muhimu kwenye injini viliweza kujitengeneza. Kwa mujibu wa wanasayansi kama akina nagamula hakashi wanadai miaka bilioni 1 baadaye lilitokea tetemeko kubwa sana kiasi kwamba hivi vitu yaan engine block, piston, shafts, flywheel n.k viliweza kujikusanya pamoja na nati zake na kujifunga kabisa na ndipo dunia ikapata injini yake ya kwanza ya gari aina ya hino

Source: kweli sidanganyi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kujua hili hakuhitaji Bailojia kijana, hii ni Self Evident Truth ndiyo maana watu hawashughuliki kujua kati ya baba na mtoto nani mkubwa. Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Really? Kati ya yai na kuku nani mkubwa scientifically speaking

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Huna hoja za kuwajibu Atheist unatumia lugha ya kejeli kukwepa kujibu hoja zao ...

Hata nyie Theist mna utindio wa ubongo.[emoji1]
 
We na mtoa mada wote mnatatizo moja

Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?

Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?

Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye utefu wa futi 30 ambaye haonekani.

Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
Sasa kama unajua hilo unabisha nini ? Nukta ni kuwa hakuna kinachojijenga. Uwepo wa kitu Fulani huonyesha uwepo wa vingine. Hii ndiyo Self Evident Truth.
 
Back
Top Bottom