Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Vya uongo ndio sitakiHutaki kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vya uongo ndio sitakiHutaki kuelewa
Hujanielewa kabisa sipo huko ndiyo maana hoja zangu zimemili katika uhalisia. Hili unalo wewe kijana.Tatizo umekeremisha uthibitisho ni mpaka mtu uingine lab, logical Fact nayo inasimama kama uthibitisho
Ni maswala tu ya namba, kilicho kikubwa ndio kinauwezo wa kumzaa mdogo. Huo tayari ni uthibitisho
Ishu ni kwamba unataka majibu mepesi ya kimazoea
Lakini yupo...hapo kwenye kuwepo mjenzi ndiyo kwenye shida na si yupi!?..tukubalia e kwanza yupo au laaKutokumjua mjenzi wa hiyo barabara haimaanishi kuwa mjenzi lazima atakuwa huyo uliyemkusudia wewe
Aliyejenga dunia nani!?..maana ile nyumba ya porini tumekubalia a sharti palikua na mjenziVya uongo ndio sitaki
Soma Second Law of Thermodynamics na mambo ya Entropy hakuna Infinity Series katika uhalisia kijana. Achana na ngano za Wanasayansi na makubaliano ya kimahesabu.Huo mfano wako ni potofu kwasababu haiwezi kukufikisha kwenye jibu sahihi
Nikisema nitumie principle hiyo bila kuvunja premises zake basi hata tukifika kwenye hicho chanzo ambacho wewe unakipendekeza bado tutahitaji kujua nacho hicho chanzo kimefikaje hapo (jambo ambalo huwezi kulikubali)
Sasa kwanini uone swala la chanzo ni muhimu kiasi utumie principle hiyo kama njia ya kutafuta majibu wakati kuna vitu unakubali vipo bila chanzo?
Vya uongo kama vipi ? Akili huna kijana, jambo dogo kama hili linakushinda Sasa mambo makubwa itakuwaje ?Vya uongo ndio sitaki
Mfano potofu kwa mujibu wa nani!?..Jambo la awali ni kutafuta je Kuna muhandishi wa universe au imetokea tu!?...tukikubaliana ndiyo tunasonga,so mfano wa nyumba siyo potofu na ulikiri nyumba haiwezi kuwepo tu Bali Kuna fundi/mafundi walijengaHuo mfano wako ni potofu kwasababu haiwezi kukufikisha kwenye jibu sahihi
Nikisema nitumie principle hiyo bila kuvunja premises zake basi hata tukifika kwenye hicho chanzo ambacho wewe unakipendekeza bado tutahitaji kujua nacho hicho chanzo kimefikaje hapo (jambo ambalo huwezi kulikubali)
Sasa kwanini uone swala la chanzo ni muhimu kiasi utumie principle hiyo kama njia ya kutafuta majibu wakati kuna vitu unakubali vipo bila chanzo?
Mtu anaepinga kua jua halizami matopeni usiku ndio hana akili? Em kueni serious basi [emoji38][emoji38][emoji38]Vya uongo kama vipi ? Akili huna kijana, jambo dogo kama hili linakushinda Sasa mambo makubwa itakuwaje ?
Onyesha mazoea yako wapi. Nikikuuliza swali rahisi sana Unapoona nyumba au ukiona nyumba unahitaji ushahidi kuonyesha ya kuwa nyumba imejengwa haijajinga ? Au ukiiona nyumba utauliza hii nyumba imekujaje au utauliza hii nyumba ameijenga nani ?Linapokuja swala la uthibitisho huwa haupaswi kutumia mazoea
Poa.Mtu anaepinga kua jua halizami matopeni usiku ndio hana akili? Em kueni serious basi [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua huzama wapi?Mtu anaepinga kua jua halizami matopeni usiku ndio hana akili? Em kueni serious basi [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Really? Kati ya yai na kuku nani mkubwa scientifically speakingKujua hili hakuhitaji Bailojia kijana, hii ni Self Evident Truth ndiyo maana watu hawashughuliki kujua kati ya baba na mtoto nani mkubwa. Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza.
Sasa kama unajua hilo unabisha nini ? Nukta ni kuwa hakuna kinachojijenga. Uwepo wa kitu Fulani huonyesha uwepo wa vingine. Hii ndiyo Self Evident Truth.We na mtoa mada wote mnatatizo moja
Kabla ya kuiona hiyo nyumba si tayari ushawahi ziona nyumba, wajenzi, maduka wanayouza vifaa vya ujezi?
Sasa ukikuta nyumba imejengwa unafikiri itakuwa big issue kuwaza kuwa imejengwa?
Sasa akijitokeza mtu kukuambia mjenzi wa hiyo nyumba ni jamaa mwenye miguu 6, mwenye utefu wa futi 30 ambaye haonekani.
Utakubali kuwa huyo mtu mwenye sifa hizo ndio mjenzi wa hiyo nyumba eti tu kwasababu haiwezekani hiyo nyumba ikawa imejijenga?
Yao ili litoe kuku sharti litagwe Kisha lilaliwe siku 21,so yai haliwezi kuanzaReally? Kati ya yai na kuku nani mkubwa scientifically speaking
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Sijui.Really? Kati ya yai na kuku nani mkubwa scientifically speaking
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app