Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Na wewe umeadithiwa hujaona chochote.So usilaumu hao wasioamini mpaka waone.Ndio pointi yangu mkuuUnataka nizitoe wapi ili uniamini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umeadithiwa hujaona chochote.So usilaumu hao wasioamini mpaka waone.Ndio pointi yangu mkuuUnataka nizitoe wapi ili uniamini??
Uwepo wa Oxygen, maji, ardhi inayomea, bahari yenye kila rasilimali, hali ya hewa tulivu (ukitaka joto njoo Afrika ukitaka baridi nenda scandinavia),Huu ulimwengu una uzuri gani sasa? Hauko perfect hata kwanzia kwenye maisha ya hapa duniani nk... kama kila kitu kiliumbwa, sayari nyingine ziliumbwa kwa sababu ipi haswa? Mass extinctions zinavotokea kila baada ya muda fulani, hio ni perfection?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo natural calamities huoni zinaondoa maana halisi ya uzuri wa dunia?
Au huo uzuri unaouzungumzia ni pamoja na majanga kama hayo?
Tatizo hiko kichochoro unachojifichia hukijui vyemaUshahidi wa Mungu kuumba dunia na vingine uko wapi kama yeye alitoka from nothing kwanini sisi isiwe ivo?
Unataka kujua chanzo chake kibinadamu zaidi kitu ambacho hakiwezekani, jifunze pia kufikiri kiutu-uzima.Jifunze kujibu hoja/swali kwanza halafu ndipo uulize swali lako.
Uzuri ni yale yote ambayo hayana athari mbaya kwa namna yeyote ileKwanza uzuri kwako una maana gani??
Tazama mfumo mzima wa uhai hapa duniani, nenda hata mbugani ujifunze namna wanyama wanaishi au tazama food chain uone system iliyokamilika ya maisha, tazama bahari ilivyo na rasilimali nyingi na uhai huko
Checks kwa maana ipi?Mbona ni rahisi sana kuona uzuri wa dunia
kwangu hizi calamities ni checks and balance ya uhai
Kipi kitadhibitisha kwamba upepo upo au aupo?Unaniuliza kama ninaamini upepo upo au?????Nikikujibuu siamini kama upepo upo utanikatalia au utaniletea kuuona???
Well, kama unaodefine hivyo ulimwengu huo upo huko tunaita peponiUzuri ni yale yote ambayo hayana athari mbaya kwa namna yeyote ile
Mkuu unanipangia na hoja kuendana na matakwa yako?Food chain haikuwa hoja sahihi kuitumia kwa upande wako kama sababu ya msingi kuonesha ukuu wa Mungu
Wrong QuestionKwanini Mungu aumbe ulimwengu ambao ili kiumbe kingine ki-survive basi kingine lazima kife?
Hakushindwa ndiyo maana kaumba pepoMungu alishindwa kumfanya Simba aishi bila kumtegemea swala?
Hakushindwa… Nimekwambia kuna pepo ambapo huko hakuna tabu ila ili uingie sharti umuamini na ufanye memaChecks kwa maana ipi?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu wenye kufanya balance ya uhai bila kuathiri maisha ya watu wasio na hatia wakiwemo watoto wachanga?
Umeona Dinosaur ndio kiumbe wa hatariWewe ungeweza kuishi na Dinasors?
Achilia mbali makundi ya virusi yaliyoganda huko arctic,
Huyu mbu anaua mamilioni ya watu sasa pata picha combination ya mbu, simba, Dinasour na viumbe wengine hatariUmeona Dinosaur ndio kiumbe wa hatari
Mbona Dinosaur hawapo na bado watu wanauliwa na Simba, mamba, nyoka nk.
Mbu tu peke yake ameua mamilioni ya watu, kwa hatari hiyo kwanini Mungu aliumba ulimwengu ambao haumzuii mbu kuishi?
,
Binaadamu angeishi milele kwa idadi toka uhai kuanza unadhanj tungeweza wote kuishi kwa pamoja?
Sio tunasemaMungu si ni muweza wa yote? ina maana alishindwa namna ya kufanya watu waishi milele bila tatizo?
Huko mbinguni mnakosema kuna maisha ya milele mnawezaje kuishi kwa pamoja?
Mbinguni kuna kilomita ngapi za mraba kutosha watu bilion zaidi ya 7?Kwa rasilimali gani? Hapa kwenyww tuko bilioni saba tu hofu imetanda kila kona maji yanakwenda kuwa bidhaa adimu
😂😂😂Mbinguni kuna kilomita ngapi za mraba kutosha watu bilion zaidi ya 7?
Kwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.Well, kama unaodefine hivyo ulimwengu huo upo huko tunaita peponi
sikiliza mkuu Mungu ni mkuu sana kiasi hawajibiki kwako wala kwa yoyoteKwani huu umeumbwa na Mungu mwenye hana sifa za upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote?.
Mpaka uwe hivi ulivyo?
Yeye yupi?Kama unamwamini yeye na ukatenda mema ametuahidi tutakaa humo milele na kama humuamini na ukatenda mabaya kuna ulimwengu huo mbaya kabisa na utakaa humo
Milele