Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Kwani wewe ulivyokuwa unasema huu ulimwengu umeumbwa na Mungu, hukujua hapo kuwa ulikuwa unasema tu?
Mimi nina ushahidi na hoja za kielimu wewe huna zaidi ya kuleta utoto. Huna uaminifu katika mambo ya kielimu.

Sasa nakuuliza umlete mtu wa miguu sita au uthibitishe unasema mpaka atake au umuoe au aamue. Maana yake wewe umemuona au umejuaje haya ? Sasa kujadiliana na mtu kama wewe unaye andika haya naona haupo kimjadala bali unapotezea watu muda tu. Unatakiwa ukuwe kielimu na hoja, usiandike andike tu ilimradi.

Nakomea hapa. Kazi yangu nimemaliza.
 
Soma maelezo yangu nilikwambia nini kuhusu mtu anayetaka kupewa ushahidi wa jambo ambalo halihitaji ushahidi. Ndiyo maana nakwambia huna hoja ya kujadiliana na Mimi, kingine maswali yangu hujibu unaleta utoto. Sijawahi kukumbia sababu najua huna hoja ila huwa nakupuuza sababu nakuwa najadiliana na mtoto.
Screenshots hizi hapa zinakuvua nguo
Screenshot_20230220-141325.png

Screenshot_20230220-135616.png

Kuonesha upo serious na hoja yako ya kutohitaji uthibitisho na mimi nikaonekana mbishi, hapa ukaamua kunitusi kabisa

Screenshot_20230220-135830.png

Nyingine hii
Screenshot_20230220-091337.png

Hapa ndio ulipinga kabisa kutozitambua sense organ kama ni part zinazohusika kwenye ushahidi

Screenshot_20230220-140304.png

Nacho shangaa zaidi kwenye analogy ya mtu mwenye miguu 6 na urefu wa futi 30 umehoji ushahidi kwa kutaka kumuona ili kuonesha huyo mtu yupo

Round hii macho yamekuwa ithibati?
 
Sasa nakuuliza umlete mtu wa miguu sita au uthibitishe unasema mpaka atake au umuoe au aamue.
Kwa hiyo wewe ukiambiwa umlete Mungu ili umthibitishie mtu kuwa huyo Mungu yupo utaweza?

Ukishindwa utakubali kuwa huyo Mungu hayupo kwasababu umeshindwa kutimiza matakwa ya mtu aliyekuwa anakuhoji?
 
Maana yake wewe umemuona au umejuaje haya ? Sasa kujadiliana na mtu kama wewe unaye andika haya naona haupo kimjadala bali unapotezea watu muda tu. Unatakiwa ukuwe kielimu na hoja, usiandike andike tu ilimradi.

Nakomea hapa. Kazi yangu nimemaliza.
Kama nimemuona kwasababu yeye kataka nimuone, utalazimisha nawe umuone kama ushahidi hata kama hajataka umuone?
 
Oh... na tusisahau.

Alie propose "big bang theory" alikua ni muamini, tena padre kabisa. Na aliepropose evolution theory (kabla ya C.Darwin kuleta theory yake ya natural selection) alikua ni theist pia. Hii ndo product ya kuthink out of the box, kinyume kabisa na mada ya uzi huu... [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, unaamini Evolution Theory ni valid?
 
Mkuu, unaamini Evolution Theory ni valid?
Mzee wakatae wakubali evolution theory ni imani tu hamna cha sayansi wala nini maana wanaenda kwa kuamini kitu ambcho hawajawahi kukishuhudia masna tungekuwa tuli evolve kutoka kwa nyani leo hii tungekuwa na species nyingi katikayi yaani mfano tungekuwa na nyani/watu wenye mikia midogo na nyayo zinazoendelea kubadilika kutoka kwenye kiganja au watu wenye mikia mifupi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hahhh haswaa, evolution Theory ni Imani tena Imani potofu Maana ukisoma Concepts za Natural Selection; kuhusu Twiga kuwa na shingo ndefu evolution Theory inasema "Twiga alikua na shingo fupi
Ila Kwasababu alikua anatamani sana kula majani kutoka kwenye miti hivyo ikapelekea shingo yake kuwa ndefu. "

Yani ni Uongo wa wazi kabisa.

Mimi leo nataka waseme Kinyonga kabla ya kuwa Kinyonga alikua kiumbe gani kwa mujibu wa Evolution Theory.?

Na Konokono nae alikua kiumbe gani kabla ya kuwa Konokono..?
 
Mzee wakatae wakubali evolution theory ni imani tu hamna cha sayansi wala nini maana wanaenda kwa kuamini kitu ambcho hawajawahi kukishuhudia masna tungekuwa tuli evolve kutoka kwa nyani leo hii tungekuwa na species nyingi katikayi yaani mfano tungekuwa na nyani/watu wenye mikia midogo na nyayo zinazoendelea kubadilika kutoka kwenye kiganja au watu wenye mikia mifupi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
"...hamna cha sayansi wala nini maana wanaenda kwa kuamini kitu ambcho hawajawahi kukishuhudia..."

Uchunguzi wa panya ulifanywa ( ni marekan nafkir). Wamegundua kua panya wanaoishi karibu na binadamu,in a span of 200 walidevelop ubongo mkubwa zaid. Hii ni kutokana na fact kua binadamu wanajaribu kuwaua panya kwa mitego, so wale waliokua smarter kutegua mitego ndio walisurvive na kuzaliana. Kwa sasa panya wanaoishi na binadamu wana ubongo mkubwa zaid on average, kulinganisha na wale wa pori. Proof of evolution.

Baadhi ya species za ndege zimeonekana kupungua wing span tokea magari yalivoanza kutumika kwa wingi. Kama unajua ndege znavofanya kaz utaelewa kua mabawa marefu inamaanisha less maneuverability. Kwhy wenye mabawa marefu wakawa wana collide na magari wanakufa so default ikawa short wingspan. Evolution!

Na ulishawahi kujiuliza how comes kuna breed tofauti za mbwa, kuku, bata etc...? Na unajua kua mbwa na wolf ni species moja ie. Canis lupus? (Mbwa ni subspecies ya wolf ie canis lupus familiaris).
Hizi breeds za mbwa mfn. GSD, pitbull, chihuahua etc. Zimetengenezwa kwa "selective breeding". Same goes kwa breeds za kuku mfn, kuku wa nyama, kuku wa mayai etc... "SELECTIVE BREEDING" ni binadamu wanatengeneza ila ikitokea kwenye nature inaitwa "NATURAL SELECTION", ambayo ndio Charles Darwin aliitumia kuelezea..... EVOLUTION!!

SURPRISE!! SURPRISE!! We have proof of evolution hizi ni kdg tu, lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom