Sayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?Sayansi sio nadharia bro. Sayansi ndio imetengeneza kila kitu, afu we unasema ni nadharia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa nini kuhusu nadharia ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?Sayansi sio nadharia bro. Sayansi ndio imetengeneza kila kitu, afu we unasema ni nadharia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc KirangaSayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?
Unaelewa nini kuhusu nadharia ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui ?
Sayansi ni nini?Sayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?
Unaelewa nini kuhusu nadharia ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui ?
Hivi wewe hapo unawezaje kuthibitisha umetokana na babu wa babu yako ambaye hujawahi kumuona au kumsikia..?Mkuu mi kama atheist nashukuru kwa busara yako kwa namna ulivyoamua kutuita
Ila ulichosahau ni kitu kimoja
Watu wanasifia magari, Pc nk kutokana na comparison walizofanya za kuangalia ufanisi wa bidhaa moja dhidi ya bidhaa nyingine.
Hao atheist wanaosifia magari, computer nk, wanafanya hivyo kwa references.
Kwamba watu wanasema hii bidhaa ni bora kwasababu kuna specs hii ambayo kwenye bidhaa hii nyingine haipo
Viwanda vinavyotengeneza hizo bidhaa vinathibitishika kuwa vipo bila kuhitaji kitu kingine cha ziada kama ishara ya kuonesha ndio source ya hizo bidhaa
Huyo mtu hawezi kushindwa kukuthibitishia kampuni la Dell au Hp kuwa lipo.
Ni maswala ya taaluma ambayo kila mtu anaweza akafanya endapo akifundishwa.
Sasa
Unaposema huu ulimwengu umesababishwa na Mungu, references yako inakuwa nini?
Tunaweza tukathibitisha hicho chanzo bila kutumia kitu kingine kinachopimika kuwa ndio uthibitisho wa Mungu asiyepimika?
Lakini pia
Unaposema huu ulimwengu ni bora au umekamilika unakuwa umeupima na kuufananisha na ulimwengu gani mwingine mpaka ukafikia hitimisho kuwa ulimwengu huu ni mzuri?
Aliyesema laptop Hp omen ya gaming ni bora aliangalia toleo la chini yake au alifananiaha na brand nyingine kwenye maswala ya kiuwezo akaona Hp Omen ni laptop bora
Sasa ulimwengu huu mnaosema ni mzuri au ni bora, ni bora ukiufananisha na ulimwengu upi?
Mungu na miungu ni vitu viwili tofauti. Hilo nasisitiza, lakini sio mjadala wetu kwa sasa.Miungu ni wingi. Mungu ni umoja... hakuna dini ilietuthibitishia uwepo wa mungu wao.
Na sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa mungu ndiomaana tunasema mungu hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisheni kati ya kanuni za maandishiMungu na miungu ni vitu viwili tofauti. Hilo nasisitiza, lakini sio mjadala wetu kwa sasa.
*****************************
Unasema sayansi haiwezi thibitisha kuwa Mungu hayupo. Je, una maana sayansi inaamini kuwa Mungu hayupo?
Mimi ni muumini wa Mungu.
Sijasoma kifungu cha biblia ulichoniwekea kwa sababu nimeshindwa kukiona. Kwa hiyo sina maelezo ya kifungu hicho.
Sasa hio ni kulingana na dini yako. Ila kwa lugha ya kawaida ya kiswahili. Mungu ni umoja, muingu ni wingi... na kwa kiingereza 'God' ni umoja na 'Gods' ni wingi...Kwa kuzingatia elimu ya dini, Mungu ni mmoja, hana uwingi wake. Tunazungumzia juu ya Mungu aliyeumba binadamu na vitu vyote.
Sio sahihi kusema hakuna jibu unaposhindwa kupata jibu. Unafanya utafiti wa nini juu ya Mungu kama Mungu hayupo?
Kushindwa kupata jibu kusihalalishe kuwa Mungu hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadharia ni kiswahili cha neno 'theory', sindio?Sayansi imetengeneza Jua ? Mwezi ? Hewa ? Uhai ?
Unaelewa nini kuhusu nadharia ? Isiwe unapinga jambo ambalo hulijui ?
God who doesn't exist... ukizingatia story za kitabu chake, uumbaji jinsi unavoelezewa ukilinganisha na reality ni vitu viwil tofaut...Hivi wewe hapo unawezaje kuthibitisha umetokana na babu wa babu yako ambaye hujawahi kumuona au kumsikia..?
Ukikutana na tuseme mimi sehemu tukiwa wawili tu na hakuna aliyetuona yeyote na ukawa haukuchukua ushahidi wowote baada ya hapo nikawa labda nimefariki, na badae ukaenda kumwambia rafiki yako kuwa tumekutana sehemu fulani, akabisha na kukudai utoe uthibitisho utafanyaje aamini tulikutana..?
Mnaobisha hakuna Mungu hoja zenu ni kuwa sisi tunao amini tuthibitishe uwepo wa Mungu, labda kuwaonesha huyo Mungu au yeye ajioneshe kuwa yupo..! Mnasahau wanaodai Mungu yupo madai yao yanaeleza Mungu kama Roho (kitu kisicho umbo). Mnasahau Mungu wa waaminio haonekani, hagushiki, na wala havhunguziki kwa science ambayo nyie mnataka sie waaminio tuitumie kuwaaminisha nyie msioamini.
Kiufupi sisi Mungu tunaye mwongelea ni
God who's beyond our mind, beyond our reasoning, beyond the human sciences, beyond your thinking capacity and that's why you fail even to understand Him. Wanao mwelewa/kumjua si kwa uwezo wao bali kwa utashi wake amewapa neema kumjua na kumfahamu. Kwa namna unavyosupaza shingo neema yake akiona inafaa anaweza jithihirisha kwako kabla ya kukukata kichwa/kufa)kukata shauri.
Sayansi haina uwezo wa kuthibitisha uwepo wa miungu/mungu. Kwahiyo nikiquote "Science studies and attempts to explain only the natural world while God, IN MOST RELIGIONS, is supernatural".Mungu na miungu ni vitu viwili tofauti. Hilo nasisitiza, lakini sio mjadala wetu kwa sasa.
*****************************
Unasema sayansi haiwezi thibitisha kuwa Mungu hayupo. Je, una maana sayansi inaamini kuwa Mungu hayupo?
Mimi ni muumini wa Mungu.
Sijasoma kifungu cha biblia ulichoniwekea kwa sababu nimeshindwa kukiona. Kwa hiyo sina maelezo ya kifungu hicho.
POINTAtheists hawapotezi muda kwa kuabudu, ni kujikita katika kufikiri na kuvumbua vitu. Wewe umefunga macho unasali utavumbua lini? Hebu fanya utafiti kwa wanasayansi wakubwa duniani. Archimedes aliyevumbua "the law of floatation" alitumia mda mwingi kufikiri na sio kusali. Leo unawaita mataahira???
Sijui.
Tuambie Sayasi ni nini ? Kingine mwenzako amedai Sayansi imetengeneza kila kitu. Sasa nimeuliza mnipe majibu ya maswali niliyo uliza.Sayansi ni nini?
Maana mnapohoji jambo ni lazima tufahamu kile mnachohoji.
Tuseme Sayansi haijatengeneza jua, Mwezi, Hewa na Uhai,
Je ndio inafanya Mungu, Mungu, Mlungu, miungu ndio katengeneza?
Ukamilifu unaupimaje kijana ?Huu ulimwengu una uzuri gani sasa? Hauko perfect hata kwanzia kwenye maisha ya hapa duniani nk... kama kila kitu kiliumbwa, sayari nyingine ziliumbwa kwa sababu ipi haswa? Mass extinctions zinavotokea kila baada ya muda fulani, hio ni perfection?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni nini?Tuambie Sayasi ni nini ? Kingine mwenzako amedai Sayansi imetengeneza kila kitu. Sasa nimeuliza mnipe majibu ya maswali niliyo uliza.
Siyo tuseme tu ilimradi unatakiwa ukiri kwanza Kisha uulize kingine. Sayansi imetengeneza Jua, Uhai, Hewa ?
Unatakiwa uulize kwa kitu unachokijua. Miungu haitengezi, Mungu wa kweli ni mmoja ambaye ameumba hao wengine wanajiita tu au kuitwa. Sasa ulitakiwa udurusu tamko Mungu, Kisha uhoji kuhusu Mungu. Wengi hamumjui Mungu ila mnampinga hii ni ishara ya kuonyesha mna matatizo ya ajili.
Kingine, kama unaona Mungu hajaumna unatakiwa utupe jibu sahihi juu ya ulimwengu na mengine imekuwaje yametokea na yakawa hivi yalivyo ?
Kila kitu ktk dunia hakijatengenezwa kwa uwezo wa sayansi?Tuambie Sayasi ni nini ? Kingine mwenzako amedai Sayansi imetengeneza kila kitu. Sasa nimeuliza mnipe majibu ya maswali niliyo uliza.
Siyo tuseme tu ilimradi unatakiwa ukiri kwanza Kisha uulize kingine. Sayansi imetengeneza Jua, Uhai, Hewa ?
Unatakiwa uulize kwa kitu unachokijua. Miungu haitengezi, Mungu wa kweli ni mmoja ambaye ameumba hao wengine wanajiita tu au kuitwa. Sasa ulitakiwa udurusu tamko Mungu, Kisha uhoji kuhusu Mungu. Wengi hamumjui Mungu ila mnampinga hii ni ishara ya kuonyesha mna matatizo ya ajili.
Kingine, kama unaona Mungu hajaumna unatakiwa utupe jibu sahihi juu ya ulimwengu na mengine imekuwaje yametokea na yakawa hivi yalivyo ?
Safi kabisa, dosari ya Dunia ipo wapi ? Je kila kilicho pinda mathalani kina dosari au ukamilifu ?
Nikikuuliza swali, onyesha Jua limetengenezwa vipi na Sayansi au Sayandi Ina nafasi gani katika Sayansi ?
Sasa unaharibu utaratibu hii tabia iacheni. Unapooulozwa swali au maswali jibu kwanza, Kisha uulize maswali yako. Sasa jibu maswali yangu kwanza Kisha nakujibu maswali yako.Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Umejuaje kama Mungu ni mmoja?
Sababu zipi zilizokufanya husadiki ndiye yeye aliyeumba kila kitu?
Sababu zipi zilizokufanya kuwakataa hao wengine?
Umetambuaje kama huyo mmoja yupo au wapo?
Narudia tena Sayansi ni nini?
Maana bila uelewa wa pamoja inawezekana usielewe walichojaribu kukueleza waliopita.