Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Kama haujatoa kibali kwann hayo mambo yanafanyikaUnao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haujatoa kibali kwann hayo mambo yanafanyikaUnao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?
YapUnao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?
Huo si uthibitisho, ni imani.
Katika uthibitisho wako, sijaona sehemu ambayo ulimwengu umetoa kibali cha ubakaji. Nahitimisha kuwa huna uthibitisho.
Hitimisho lako sio sahihiKatika uthibitisho wako, sijaona sehemu ambayo ulimwengu umetoa kibali cha ubakaji. Nahitimisha kuwa huna uthibitisho.
Yani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.Huo si uthibitisho, ni imani.
Naomba nichangie kidogo.., ndiyo ni kweli duniani kuna Uovu na wemaYani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.
Ni sawa na kusema ndege inapaa kwasababu muundo wake unaruhusu kupaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo tunasema wema na uovu vyote vina vibali vya kutendeka.Naomba nichangie kidogo.., ndiyo ni kweli duniani kuna Uovu na wema
Lakini kufanya kati ya hayo yote mawili ni maamuzi ya mtu... Hakuna Mtu anaelazimishwa kufanya wema wala Uovu.
Dunia inaruhusu hivyo vyote kufanyika ni maamuzi yako ushike njia ipi...
Yes, vyote unaweza kufanya
Umesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.Yani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.
Ni sawa na kusema ndege inapaa kwasababu muundo wake unaruhusu kupaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ndege zinamfumo wa kupaa, pia zina kibali cha kuruhusu kupaa.Yani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.
Ni sawa na kusema ndege inapaa kwasababu muundo wake unaruhusu kupaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.Hitimisho lako sio sahihi
Ubakaji ni sehemu ya uovu na ubakaji upo unatendeka kila siku, kitendo cha ubakaji kutendeka linawezekana kwenye ulimwengu ambao unaruhusu mabaya ikiwemo ubakaji
Kitendo cha ubakaji hakiwezi kutendeka kwenye ulimwengu ambao hauruhusu mabaya
View attachment 2536784
Lakini pia na wewe kupitia post zako umeonesha kukubali uwepo wa uovu
Sasa ulimwengu kama ungekuwa hauruhusu uovu kuwepo, hayo maswala ya ubakaji yasingewezekana na wala huo uovu ambao umekiri kuwa upo nao isingewezekana kuwepo....
Kibali ndio nini?Umesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.
The fact that hayo mambo yanaweza kutokea ndio 'kibali' kinachoongelewa hapa bruh. Sio makubaliano ya maandishi and shitUmesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.
Not at all. I'm not flipping your words. Rejea post yako # 1218 na 1223.Kibali ndio nini?
Why are you flipping my words?
Ulimwengu hauna nafasi ya kuamua kuruhusu jambo au kukataa jambo lolote.The fact that hayo mambo yanaweza kutokea ndio 'kibali' kinachoongelewa hapa bruh. Sio makubaliano ya maandishi and shit
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kwasababu umechagua njia hiyo ngoja twende unavyotakaNot at all. I'm not flipping your words. Rejea post yako # 1218 na 1223.
Unajua maana ya kibali. Nataka unioneshe kibali cha ulimwengu kuruhusu ubakaji/maovu.
Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?Two people to populate the entire world through incest. Then a family to repopulate again the world after a global flood.
Hivi unajua out come ya inbreeding?
View attachment 2536202
...sishangai mtu akiona historia zilizo ktk vitab vya dini ni za kutunga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaza fuvu. Hio ndio point yangu sasa. Ndio point ya atheists. Hakuna intelligent life yeyote inayoamua kitu kufanyika ktk ulimwengu huu...Ulimwengu hauna nafasi ya kuamua kuruhusu jambo au kukataa jambo lolote.
Maovu yote yanafanyika na binadamu kwa kutumia akili isivyo sahihi.
Hakuna ovu linalofanyika kwa akili ya ulimwengu. Ulimwengu hauna uwezo wa kuamua lipi lifanyike na lipi lisifanyike.
Nahitimisha kwamba, huna uthibitisho kuwa ulimwengu unaruhusu kufanyika kwa mabaya yanayotokea.
Swali lako nimelijibu hapo. Nimekuonesha kua ni changamoto kupopulate dunia kutumia watu wawili au watu wa famalia moja. Hivo story za uumbaji tunaweza fananisha na za alfu-lela-ulela. ie fictionKwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?