Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Unao uthibitisho kwamba ulimwengu umetoa kibali cha kufanyika ubakaji?
Yap
Screenshot_20230304-110452.png
 
Katika uthibitisho wako, sijaona sehemu ambayo ulimwengu umetoa kibali cha ubakaji. Nahitimisha kuwa huna uthibitisho.
Hitimisho lako sio sahihi

Ubakaji ni sehemu ya uovu na ubakaji upo unatendeka kila siku, kitendo cha ubakaji kutendeka linawezekana kwenye ulimwengu ambao unaruhusu mabaya ikiwemo ubakaji

Kitendo cha ubakaji hakiwezi kutendeka kwenye ulimwengu ambao hauruhusu mabaya

Screenshot_20230304-133726.png

Lakini pia na wewe kupitia post zako umeonesha kukubali uwepo wa uovu

Sasa ulimwengu kama ungekuwa hauruhusu uovu kuwepo, hayo maswala ya ubakaji yasingewezekana na wala huo uovu ambao umekiri kuwa upo nao isingewezekana kuwepo....
 
Yani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.
Ni sawa na kusema ndege inapaa kwasababu muundo wake unaruhusu kupaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nichangie kidogo.., ndiyo ni kweli duniani kuna Uovu na wema

Lakini kufanya kati ya hayo yote mawili ni maamuzi ya mtu... Hakuna Mtu anaelazimishwa kufanya wema wala Uovu.

Dunia inaruhusu hivyo vyote kufanyika ni maamuzi yako ushike njia ipi...
 
Hivo tunasema wema na uovu vyote vina vibali vya kutendeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani, maovu yanatokea kwasababu ulimwengu huu unaruhusu maovu kutokea. Ndio kibali tunachoongelea hapa, ni mchezo wa lugha tu.
Ni sawa na kusema ndege inapaa kwasababu muundo wake unaruhusu kupaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.
 
Hata kama ndege zinamfumo wa kupaa, pia zina kibali cha kuruhusu kupaa.

Kama ulimwengu unaruhusu maovu, kiko wapi kibali cha kuruhusu kutenda maovu?
 
Hitimisho lako sio sahihi

Ubakaji ni sehemu ya uovu na ubakaji upo unatendeka kila siku, kitendo cha ubakaji kutendeka linawezekana kwenye ulimwengu ambao unaruhusu mabaya ikiwemo ubakaji

Kitendo cha ubakaji hakiwezi kutendeka kwenye ulimwengu ambao hauruhusu mabaya

View attachment 2536784

Lakini pia na wewe kupitia post zako umeonesha kukubali uwepo wa uovu

Sasa ulimwengu kama ungekuwa hauruhusu uovu kuwepo, hayo maswala ya ubakaji yasingewezekana na wala huo uovu ambao umekiri kuwa upo nao isingewezekana kuwepo....
Umesema ulimwengu unatoa kibali cha ubakaji/uovu. Nataka nione kibali hicho kinachoruhusu ubakaji.
 
Kibali ndio nini?

Why are you flipping my words?
Not at all. I'm not flipping your words. Rejea post yako # 1218 na 1223.

Unajua maana ya kibali. Nataka unioneshe kibali cha ulimwengu kuruhusu ubakaji/maovu.
 
The fact that hayo mambo yanaweza kutokea ndio 'kibali' kinachoongelewa hapa bruh. Sio makubaliano ya maandishi and shit

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimwengu hauna nafasi ya kuamua kuruhusu jambo au kukataa jambo lolote.

Maovu yote yanafanyika na binadamu kwa kutumia akili isivyo sahihi.

Hakuna ovu linalofanyika kwa akili ya ulimwengu. Ulimwengu hauna uwezo wa kuamua lipi lifanyike na lipi lisifanyike.

Nahitimisha kwamba, huna uthibitisho kuwa ulimwengu unaruhusu kufanyika kwa mabaya yanayotokea.
 
Not at all. I'm not flipping your words. Rejea post yako # 1218 na 1223.

Unajua maana ya kibali. Nataka unioneshe kibali cha ulimwengu kuruhusu ubakaji/maovu.
Sawa kwasababu umechagua njia hiyo ngoja twende unavyotaka

Post 1220 nimekupa mfano kwa njia ya swali kukuimesha jinsi ulimwengu unavyoruhusu mabaya
Lakini kabla hujajibu mfano huo naomba urejee kwenye hii post yako ambaya umekiri kutambua uwepo wa uovu kwenye ulimwengu huu

Screenshot_20230304-110452.png

Nataka uelezee huo uovu umewezekanaje kuwepo ndani ya ulimwengu ikiwa Mungu aliumba ulimwengu ambao hauruhusu uovu kuwepo kwa namna yeyote ile?
 
Ulimwengu hauna nafasi ya kuamua kuruhusu jambo au kukataa jambo lolote.

Maovu yote yanafanyika na binadamu kwa kutumia akili isivyo sahihi.

Hakuna ovu linalofanyika kwa akili ya ulimwengu. Ulimwengu hauna uwezo wa kuamua lipi lifanyike na lipi lisifanyike.

Nahitimisha kwamba, huna uthibitisho kuwa ulimwengu unaruhusu kufanyika kwa mabaya yanayotokea.
Unakaza fuvu. Hio ndio point yangu sasa. Ndio point ya atheists. Hakuna intelligent life yeyote inayoamua kitu kufanyika ktk ulimwengu huu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom