Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo kabla ya uumbaji Mungu hakuwa na ujuzi?Mimi najua ujuzi wa uumbaji. Kutojua ujuzi wote wa Mungu hakuhalalishi kuwa nam-limit Mungu. Ujuzi mwingine usiohusu uumbaji sina ufahamu nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kabla ya uumbaji Mungu hakuwa na ujuzi?Mimi najua ujuzi wa uumbaji. Kutojua ujuzi wote wa Mungu hakuhalalishi kuwa nam-limit Mungu. Ujuzi mwingine usiohusu uumbaji sina ufahamu nao.
Kama swali lilimlenga Mungu kwanini wewe ulilijibu?Hapana siongei kwa niaba ya Mungu. Nimeandika hivyo kwa sababu swali lako lilimlenga Mungu moja kwa moja.
Kwako weweUwepo wa Mungu ni jambo la kihistoria, na historia daima haiongopi. Mungu yupo.
Sasa kwa mtu ambaye ametumia uongo, we utajuaje kuwa huu ni uongo na kwamba hana majibu na sio kaongopa tu?Labda nitoea mfano:
Mtu yeyote ukimwambia hakika ipo siku atakuja kufa, atakwabia ndio najua. Lakini ukimuuliza atakufa lini, atakwambia hajui. Kwa hiyo jibu lake lipo lakini halijulikani.
Kutojua siku ya kifo hakumaanishi kuwa hakuna kifo. Ndio maana nasema, kuna maswali mengine majibu yake yapo, lakini hayajulikani.
Kwenye mjadala wetu hakukuwa na habari za historia, ulivyozileta ikawa ni kitu kipya ambacho mimi sikijui ulikokitoleaUliniuliza Historia yake kutoka wapi, kwa maana ya kwamba unajua vianzo kadhaa vya historia. Hapo umeniaminisha kuwa unajua dhahiri historia ni nini.
Umeipatia wapi?Historia kuhusu Mungu.
Sina ufahamu wa ujuzi wa Mungu kabla uumbaji. Ninachojua, ni uwepo wa Mungu hata kabla ya uumbaji.Kwa hiyo kabla ya uumbaji Mungu hakuwa na ujuzi?
Ni jibu gani nimekujibu kwa niaba ya Mungu?Kama swali lilimlenga Mungu kwanini wewe ulilijibu?
Na huko mwanzo kuna maswali umekimbia kujibu kwa madai kuwa maswali yamemlenga Mungu
Huoni kujibu kwako swali ambalo limemlenga Mungu kunaonesha jinsi gani unajibu kwa niaba yake?
Hakuna historia ya uongo hata siku moja. Historia haiongopi. Umewahi sikia historia ya uongo?Kwako wewe
Jambo linakuwa ni kweli kwasababu limedaiwa kuwa ni historia...
Na sio kwamba jambo ni la kweli kwasababu uthibitisho umeonesha kuwa ni kweli sindio?
Kwa hiyo hakuna historia za uongo?
Umejuaje kama alikuwepo kabla ya uumbaji?Sina ufahamu wa ujuzi wa Mungu kabla uumbaji. Ninachojua, ni uwepo wa Mungu hata kabla ya uumbaji.
Kwa nini umulilze mtu swali wakati unajua kuwa ni muongu?Sasa kwa mtu ambaye ametumia uongo, we utajuaje kuwa huu ni uongo na kwamba hana majibu na sio kaongopa tu?
Kwa scenario hiyo hiyo ya huyo mtu ambaye hajui siku atayokufa, je naye Mungu anakuwa hajui siku gani huyo mtu atakufa?
Umesema anayejua ni MunguNi jibu gani nimekujibu kwa niaba ya Mungu?
Ikiwemo yakoHakuna historia ya uongo hata siku moja. Historia haiongopi. Umewahi sikia historia ya uongo?
Nilijenga hoja yangu kwa kutumia hilo neno historia. Hata wewe ulitumia neno Twisila katika kujenga hoja yako. Sioni umhimu wa kuhoji neno lililotumika kama haliathiri mjadala.Kwenye mjadala wetu hakukuwa na habari za historia, ulivyozileta ikawa ni kitu kipya ambacho mimi sikijui ulikokitolea
Kwa hiyo hujui wapi historia ulikoitolea?
Mtu ambaye amekuambia habari za uongo kwa lengo la kupotosha halafu ukamuuliza maswali ili ku prove habari yake kuwa ni ya kweli au laKwa nini umulilze mtu swali wakati unajua kuwa ni muongu?
Historia nimeipata kwa wahenga na ipo kwa wahenga. Historia ni jambo la kweli na daima haiongopi.Umeipatia wapi?
Iko wapi?
Na unahakika gani kama ni ya kweli?
Ndiyo historia yake.Umejuaje kama alikuwepo kabla ya uumbaji?
Kuna mahali uliniuliza kuhusu twisila? Wapi nimelitoa?Nilijenga hoja yangu kwa kutumia hilo neno historia. Hata wewe ulitumia neno Twisila katika kujenga hoja yako. Sioni umhimu wa kuhoji neno lililotumika kama haliathiri mjadala.
Je, ni kweli neno historia ni kitu kipya kwako na hujui inatokea vipi?
Wahenga ukimaanisha wazee au una maana yako nyingine?Historia nimeipata kwa wahenga na ipo kwa wahenga. Historia ni jambo la kweli na daima haiongopi.
Mwingine akija akasema Mungu hayupo, na hiyo ni historia na kwakua historia haisemi uongo hivyo itathibitisha kuwa hayupo?Ndiyo historia yake.