Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Mimi najua ujuzi wa uumbaji. Kutojua ujuzi wote wa Mungu hakuhalalishi kuwa nam-limit Mungu. Ujuzi mwingine usiohusu uumbaji sina ufahamu nao.
Kwa hiyo kabla ya uumbaji Mungu hakuwa na ujuzi?
 
Hapana siongei kwa niaba ya Mungu. Nimeandika hivyo kwa sababu swali lako lilimlenga Mungu moja kwa moja.
Kama swali lilimlenga Mungu kwanini wewe ulilijibu?

Na huko mwanzo kuna maswali umekimbia kujibu kwa madai kuwa maswali yamemlenga Mungu

Huoni kujibu kwako swali ambalo limemlenga Mungu kunaonesha jinsi gani unajibu kwa niaba yake?
 
Uwepo wa Mungu ni jambo la kihistoria, na historia daima haiongopi. Mungu yupo.
Kwako wewe

Jambo linakuwa ni kweli kwasababu limedaiwa kuwa ni historia...

Na sio kwamba jambo ni la kweli kwasababu uthibitisho umeonesha kuwa ni kweli sindio?

Kwa hiyo hakuna historia za uongo?
 
Labda nitoea mfano:
Mtu yeyote ukimwambia hakika ipo siku atakuja kufa, atakwabia ndio najua. Lakini ukimuuliza atakufa lini, atakwambia hajui. Kwa hiyo jibu lake lipo lakini halijulikani.
Kutojua siku ya kifo hakumaanishi kuwa hakuna kifo. Ndio maana nasema, kuna maswali mengine majibu yake yapo, lakini hayajulikani.
Sasa kwa mtu ambaye ametumia uongo, we utajuaje kuwa huu ni uongo na kwamba hana majibu na sio kaongopa tu?

Kwa scenario hiyo hiyo ya huyo mtu ambaye hajui siku atayokufa, je naye Mungu anakuwa hajui siku gani huyo mtu atakufa?
 
Uliniuliza Historia yake kutoka wapi, kwa maana ya kwamba unajua vianzo kadhaa vya historia. Hapo umeniaminisha kuwa unajua dhahiri historia ni nini.
Kwenye mjadala wetu hakukuwa na habari za historia, ulivyozileta ikawa ni kitu kipya ambacho mimi sikijui ulikokitolea

Kwa hiyo hujui wapi historia ulikoitolea?
 
Kama swali lilimlenga Mungu kwanini wewe ulilijibu?

Na huko mwanzo kuna maswali umekimbia kujibu kwa madai kuwa maswali yamemlenga Mungu

Huoni kujibu kwako swali ambalo limemlenga Mungu kunaonesha jinsi gani unajibu kwa niaba yake?
Ni jibu gani nimekujibu kwa niaba ya Mungu?
 
Kwako wewe

Jambo linakuwa ni kweli kwasababu limedaiwa kuwa ni historia...

Na sio kwamba jambo ni la kweli kwasababu uthibitisho umeonesha kuwa ni kweli sindio?

Kwa hiyo hakuna historia za uongo?
Hakuna historia ya uongo hata siku moja. Historia haiongopi. Umewahi sikia historia ya uongo?
 
Sasa kwa mtu ambaye ametumia uongo, we utajuaje kuwa huu ni uongo na kwamba hana majibu na sio kaongopa tu?

Kwa scenario hiyo hiyo ya huyo mtu ambaye hajui siku atayokufa, je naye Mungu anakuwa hajui siku gani huyo mtu atakufa?
Kwa nini umulilze mtu swali wakati unajua kuwa ni muongu?
 
Kwenye mjadala wetu hakukuwa na habari za historia, ulivyozileta ikawa ni kitu kipya ambacho mimi sikijui ulikokitolea

Kwa hiyo hujui wapi historia ulikoitolea?
Nilijenga hoja yangu kwa kutumia hilo neno historia. Hata wewe ulitumia neno Twisila katika kujenga hoja yako. Sioni umhimu wa kuhoji neno lililotumika kama haliathiri mjadala.

Je, ni kweli neno historia ni kitu kipya kwako na hujui inatokea vipi?
 
Kwa nini umulilze mtu swali wakati unajua kuwa ni muongu?
Mtu ambaye amekuambia habari za uongo kwa lengo la kupotosha halafu ukamuuliza maswali ili ku prove habari yake kuwa ni ya kweli au la

Yale maswali akashindwa kuyajibu, we utajuaje kuwa habari hiyo ni uongo au ni ya ukweli ila hana majibu?
 
Nilijenga hoja yangu kwa kutumia hilo neno historia. Hata wewe ulitumia neno Twisila katika kujenga hoja yako. Sioni umhimu wa kuhoji neno lililotumika kama haliathiri mjadala.

Je, ni kweli neno historia ni kitu kipya kwako na hujui inatokea vipi?
Kuna mahali uliniuliza kuhusu twisila? Wapi nimelitoa?

Hukuuliza kwasababu ulielewa

Kuhusu historia nimeshakuambia kuwa hicho ni kitu kipya, kwasababu awali nilikuuliza kuhusu dini ukasema hukubaliani.

Lengo lilikuwa nikujua wapi umepatia hiyo idea ya Mungu

Uliposema historia, lazima uniambie umeitolea wapi ili tuweze kuipima..

Niambie hiyo historia umeitolea wapi?
 
Historia nimeipata kwa wahenga na ipo kwa wahenga. Historia ni jambo la kweli na daima haiongopi.
Wahenga ukimaanisha wazee au una maana yako nyingine?

Wahenga ndio waliotengeneza hiyo historia? au ilikuwaje mpaka hiyo historia wakawa nayo?
 
Back
Top Bottom