Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Hahahahaa
 
Huwa napenda kuangalia clip za madereva wakivunja record hivyo msinishangae nikisema sielewi mnachozungumzia hapa....gari gani hizo.
 
Kwani 130 ya carina ni tofauti na 130 ya crown?
Huwa tofauti ni kwenye take off speed!! Inachukua muda gani kuchanganya? Carina inachukua muda kidogo wakati Crown Kwasababu ni umeme ni pale pale tu ishachanganya......
 
Dereva wenu alikuwa mwoga sidhani kama voksiwagen anaweza kumuacha kabisa crown
ivi we unaijua voksiwagen

tuanze ligi kuanzia dsm - mwanza

nakuacha ufike morogoro,, alafu mi ndo naondoka hapa kibamba ccm, tna uhakika tutakula chakula pamoja pale singidani, baada ya hapo utanikuta nyegez lodge nimelala na shem wangu napga push up[emoji16]
 
Huwa tofauti ni kwenye take off speed!! Inachukua muda gani kuchanganya? Carina inachukua muda kidogo wakati Crown Kwasababu ni umeme ni pale pale tu ishachanganya......
Ahaaa..
 
Sasa mkuu ulikuwa unataka kufa au? Toka lini nisani na toyota vikafukuzana?
Hiyo Fuga habari yake sio nzuri kabisa, na usirudie tena kufukuzana na gari ya Nissan kama upo na Toyota labda uweumeizidi cc mf. ww uwe na gx100 ufukuzane na Nissan duet labda utashinda lakini sio una ki-vits chako upange ligi na duet lazima uambulie kusoma plate number tu.
 
Wenye CAMRY tunawacheki tunasema hiiiiii
 
Reactions: Cyb
Ila mimi huwa nacheck aina ya gari kama najua kabisa ina cc kubwa. Siangaiki na ligi ntapasua engine yangu bureee[emoji848]
 
na hako ni cc1600 tu.
 
unapaswa jua hiyo cc 1900 inatoa hp ngap kwa hiyo gari kuna maswala ya compresion ratio..one engine ikiwa na compresion ratio kubwa kuliko nyingne obvious itakuwa na pawa kubwa then cc sio kigezo sana kina audi A4 2.0 TDI zina 190hp ni kubwa kiliko most cruiser with 4.2L pamoja na kuwa imezidiwa 2200cc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…