Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Mhh mkuu barabarani umeingia lini?dk 6 ndo gari inakupoyra machoni alafu unaisifu???
 
kuna new model yake inaitwa crown royal saloon aiseeee ni mwisho wa matatizo
 
mkuu polo 200 km/h haisumbui(iko stable)
Naikubali sana vw polo iko very stable.... Ukifungua mlango tu ule uzito unaona nipo kwenye gari ya maana tofauti na kina vits, IST na jamii za toyota zenye size hiyo...
 
140Km/hr ndo unajiona unakimbiza gari, ila kwa vile ni Prado ni haki yako kujiona unakimbia Ila angalia haichelewi kukutoa barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…