Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Matokeo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yake
Binafsi nitakapokua na gari sidhanii kabisa kufika 100Kama mdau alivosema hapo juu,mkishajua kukanyaga tu mafuta kisa ni automatic ndio mnakimbia,binafsi napenda manual cars kwa safari ndefu ili inikeep busy na napenda automatic kwa trip za mjini tu,
Mfano wako hakuna maana kabisa tafuta mwingine,ngoja nkupe mfano wa kawaida ..hivi mtt wa darasa la pili anaweza kukuacha na baskel akakupita kabisa kisa ana baskel yenye gia nyingi let say saba na ww una nne tu ?? ukipata jibu weka hapo ......hako ka korola cha cc hizo labda kama kana body ya kirikuu ila body yake yenye tani moja plus asee haiwezekan ...ingewa hivo gari zote zingekuwa na cc ndogo afu gia box ndo ifanye kazi ya kupaisha gari but kuna pulling powe inapatikana kwa 4GR ama 2GR where hako cha cc 1700 hakana
100 utafika tu ni kawaida isikutishe hyo namba,still unaweza kulicontrol,mbaya ni zaidi ya 120Binafsi nitakapokua na gari sidhanii kabisa kufika 100
ile ni dash inavosoma haimaanish pale ni mwishoMfano wako hakuna maana kabisa tafuta mwingine,
Huwezi kunidanganya eti gari inayomaliza speed 240 izidiwe na gari yenye top speed 180 how come?
Wewe wajapani sio kama wabongo mnaodanganya bila kujua athari za mbeleni, 180 ni limited hiyo unayosema wewe inasomea wapi ikiongezeka?ile ni dash inavosoma haimaanish pale ni mwisho
Sorry ni 960cc sio 880cc.kwa kuanza hamna passo ya cc 880 hiyo ka unayo labda ww na si passo itaftie jina ....pili passo ya cc 1000 haifiki 180 hata siku moja ...mimi umenambia sina uelewa wa mechanics basi ww physics hujui ...
ki science zaid hiyo passo ya 1L inaweza fika 180 kama itakuwa nyuma ya gari kubwa lililofika 180 ...WHY then??
sababu air resistance ilioko wakati uko na spidi kubwa ni kubwa sana hivo engine ya passo yenye 64-69hp haiwez i overcome hiyo resistance afu ka passo kanaishia 165kph mkuu
afu kingne hujui why gari nyingi zilizonchini zina dash ya 180 hiyo katafute mwenyewe au pitia huu huu uzi utaona
Binafsi nitakapokua na gari sidhanii kabisa kufika 100
well said....hakuna cha kupunguzaGari zote speed iko ELECTRONICALLY LIMITED.....Ukiona imeandikwa 180 au 260 ndio limit yake hio. Kuna sababu za kuweka limit hizo. Inaweza kuwa uwezo wa gari kuhimili huo mwendo au taratibu za nchi husika.
Ukiiachia Passo iende 200km kuna hatari. Kama ni dereva ushaendesha magari tofauti utakuwa ushaona tofauti Prado ikiwa inatembea 160kph na BMW X3 ikiwa inakwenda 160kph.
Kwahio sio bahati mbaya kuona BMW ina 260 na Toyota ina 180. Kuna wajanja huwa wanacheza na controls wanatoa limiter gari inazidi kilichoandikwa kwenye speedometer. Kuhusu cc kubwa mara nyingi ni uharaka wa kufika speed fulani. Mfano Crown mwisho wake ni 180 na cc3000, BMW Mini mwisho wake ni 240 na cc1500. UKishindanisha hizi gari Crown itatangulia na kuiacha hii Mini mwanzo ila mbele ya safari hii Mini itaipita hio Crown kama imesimama. Ila kwa umbali mfupi stop start gari yenye engine kubwa inatamba.
cc EminentiaGari zote speed iko ELECTRONICALLY LIMITED.....Ukiona imeandikwa 180 au 260 ndio limit yake hio. Kuna sababu za kuweka limit hizo. Inaweza kuwa uwezo wa gari kuhimili huo mwendo au taratibu za nchi husika.
Ukiiachia Passo iende 200km kuna hatari. Kama ni dereva ushaendesha magari tofauti utakuwa ushaona tofauti Prado ikiwa inatembea 160kph na BMW X3 ikiwa inakwenda 160kph.
Kwahio sio bahati mbaya kuona BMW ina 260 na Toyota ina 180. Kuna wajanja huwa wanacheza na controls wanatoa limiter gari inazidi kilichoandikwa kwenye speedometer. Kuhusu cc kubwa mara nyingi ni uharaka wa kufika speed fulani. Mfano Crown mwisho wake ni 180 na cc3000, BMW Mini mwisho wake ni 240 na cc1500. UKishindanisha hizi gari Crown itatangulia na kuiacha hii Mini mwanzo ila mbele ya safari hii Mini itaipita hio Crown kama imesimama. Ila kwa umbali mfupi stop start gari yenye engine kubwa inatamba.
ushamba nao unachangia tumia gps speedometer gari nyingi zinazo unakuta inaonesha mshale na kwa pemben inaonesha kama sckrini somea hapoWewe wajapani sio kama wabongo mnaodanganya bila kujua athari za mbeleni, 180 ni limited hiyo unayosema wewe inasomea wapi ikiongezeka?
Uzuri gari zote mbili nimeendesha nazijua hivyo huwezi nidanganya
ulichoandika nakijua nimeandika sana kwenye huu uzi passo hiyo spid nayokwmbia ni tested sio ya maneno na aliofika 180 na passo labda ile ya cc 1300 88hp ila sio ya 1000ccSorry ni 960cc sio 880cc.
Ooh, kumbe unajua kuwa inaweza fika speed 180 kama kukiwa hakuna air resistance.
Mkuu acha ubishi, zine digits kwenye kisahani huwa hawaweki kwa bahati mbaya.
Passo inatoboa 180 Sema ni risk kubwa sana lakini inatoboa kwa sababu imejaribiwa na imefika.
Gari kuwa na dash ya 180 au zaidi ni kutokana na regulation za nchi husika, mfano Japan Gari zote za soko Lao ni 180 iwe chini, juu au katikati.
Nacho Jua Gari ikiwa chini inakuwa na stability nzuri zaidi ingawa Kuna nyingine zipo juu na stability yake ni zaidi ya hizo za chini.
Bila kusahau upepoSame to Moshi siendeshi zaidi ya 90kph....kale kalami kamekaa hovyo halafu kembamba....nadhani kale kalami pale ni tangu enzi za uhuru
Passo inaweza kufika 180kph ila itatumia muda mrefu,barabara inabidi iwe tambarare au mteremko.ulichoandika nakijua nimeandika sana kwenye huu uzi passo hiyo spid nayokwmbia ni tested sio ya maneno na aliofika 180 na passo labda ile ya cc 1300 88hp ila sio ya 1000cc