Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Kama mdau alivosema hapo juu,mkishajua kukanyaga tu mafuta kisa ni automatic ndio mnakimbia,binafsi napenda manual cars kwa safari ndefu ili inikeep busy na napenda automatic kwa trip za mjini tu,
Binafsi nitakapokua na gari sidhanii kabisa kufika 100
 
ngoja nkupe mfano wa kawaida ..hivi mtt wa darasa la pili anaweza kukuacha na baskel akakupita kabisa kisa ana baskel yenye gia nyingi let say saba na ww una nne tu ?? ukipata jibu weka hapo ......hako ka korola cha cc hizo labda kama kana body ya kirikuu ila body yake yenye tani moja plus asee haiwezekan ...ingewa hivo gari zote zingekuwa na cc ndogo afu gia box ndo ifanye kazi ya kupaisha gari but kuna pulling powe inapatikana kwa 4GR ama 2GR where hako cha cc 1700 hakana
Mfano wako hakuna maana kabisa tafuta mwingine,
Huwezi kunidanganya eti gari inayomaliza speed 240 izidiwe na gari yenye top speed 180 how come?
 
Yani me napenda atokee humu mdau mmoja akamate mitsubishi pajero hizi new model kama za serikali manual,na me nikamate toyota hilux new model manual halafu ndio tushindane barabarani let say dar-mbeya,or dar-dodoma,sio mtu kujua kukanyaga mafuta tu na breki ndio anajiona dereva,njoo huku tugonge gia kuanzia ya kwanza hadi ya sita halafu tuone nani zaidi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mfano wako hakuna maana kabisa tafuta mwingine,
Huwezi kunidanganya eti gari inayomaliza speed 240 izidiwe na gari yenye top speed 180 how come?
ile ni dash inavosoma haimaanish pale ni mwisho
 
kwa kuanza hamna passo ya cc 880 hiyo ka unayo labda ww na si passo itaftie jina ....pili passo ya cc 1000 haifiki 180 hata siku moja ...mimi umenambia sina uelewa wa mechanics basi ww physics hujui ...

ki science zaid hiyo passo ya 1L inaweza fika 180 kama itakuwa nyuma ya gari kubwa lililofika 180 ...WHY then??

sababu air resistance ilioko wakati uko na spidi kubwa ni kubwa sana hivo engine ya passo yenye 64-69hp haiwez i overcome hiyo resistance afu ka passo kanaishia 165kph mkuu

afu kingne hujui why gari nyingi zilizonchini zina dash ya 180 hiyo katafute mwenyewe au pitia huu huu uzi utaona
Sorry ni 960cc sio 880cc.

Ooh, kumbe unajua kuwa inaweza fika speed 180 kama kukiwa hakuna air resistance.

Mkuu acha ubishi, zine digits kwenye kisahani huwa hawaweki kwa bahati mbaya.
Passo inatoboa 180 Sema ni risk kubwa sana lakini inatoboa kwa sababu imejaribiwa na imefika.

Gari kuwa na dash ya 180 au zaidi ni kutokana na regulation za nchi husika, mfano Japan Gari zote za soko Lao ni 180 iwe chini, juu au katikati.
Nacho Jua Gari ikiwa chini inakuwa na stability nzuri zaidi ingawa Kuna nyingine zipo juu na stability yake ni zaidi ya hizo za chini.
 
Gari zote speed iko ELECTRONICALLY LIMITED.....Ukiona imeandikwa 180 au 260 ndio limit yake hio. Kuna sababu za kuweka limit hizo. Inaweza kuwa uwezo wa gari kuhimili huo mwendo au taratibu za nchi husika.
Ukiiachia Passo iende 200km kuna hatari. Kama ni dereva ushaendesha magari tofauti utakuwa ushaona tofauti Prado ikiwa inatembea 160kph na BMW X3 ikiwa inakwenda 160kph.

Kwahio sio bahati mbaya kuona BMW ina 260 na Toyota ina 180. Kuna wajanja huwa wanacheza na controls wanatoa limiter gari inazidi kilichoandikwa kwenye speedometer. Kuhusu cc kubwa mara nyingi ni uharaka wa kufika speed fulani. Mfano Crown mwisho wake ni 180 na cc3000, BMW Mini mwisho wake ni 240 na cc1500. UKishindanisha hizi gari Crown itatangulia na kuiacha hii Mini mwanzo ila mbele ya safari hii Mini itaipita hio Crown kama imesimama. Ila kwa umbali mfupi stop start gari yenye engine kubwa inatamba.
 
well said....hakuna cha kupunguza
 
cc Eminentia
 
Wewe wajapani sio kama wabongo mnaodanganya bila kujua athari za mbeleni, 180 ni limited hiyo unayosema wewe inasomea wapi ikiongezeka?
Uzuri gari zote mbili nimeendesha nazijua hivyo huwezi nidanganya
ushamba nao unachangia tumia gps speedometer gari nyingi zinazo unakuta inaonesha mshale na kwa pemben inaonesha kama sckrini somea hapo
 
Sorry ni 960cc sio 880cc.

Ooh, kumbe unajua kuwa inaweza fika speed 180 kama kukiwa hakuna air resistance.

Mkuu acha ubishi, zine digits kwenye kisahani huwa hawaweki kwa bahati mbaya.
Passo inatoboa 180 Sema ni risk kubwa sana lakini inatoboa kwa sababu imejaribiwa na imefika.

Gari kuwa na dash ya 180 au zaidi ni kutokana na regulation za nchi husika, mfano Japan Gari zote za soko Lao ni 180 iwe chini, juu au katikati.
Nacho Jua Gari ikiwa chini inakuwa na stability nzuri zaidi ingawa Kuna nyingine zipo juu na stability yake ni zaidi ya hizo za chini.
ulichoandika nakijua nimeandika sana kwenye huu uzi passo hiyo spid nayokwmbia ni tested sio ya maneno na aliofika 180 na passo labda ile ya cc 1300 88hp ila sio ya 1000cc
 
Passo inaweza kufika 180kph ila itatumia muda mrefu,barabara inabidi iwe tambarare au mteremko.
Sasa kwa barabara zetu dakika tano tuta unaanza tena, dakika tano mlima,inaanza tena dakika tano kona....kupata sehemu imenyooka ili Passo ifike hata 140kph ni ngumu ila sababi kubwa ni kuwa inahitaji umbali mrefu na tambarare au mteremko...sasa hizi used utastuka temperature imepanda kanachemsha.
 
Back
Top Bottom