Wachagga mna nini lakini?
kwanini mnapenda kutusi watu wengine?
mnaudhi sanaa..
Wakati sisi huku Usukumani tunakusanyika " gambosh" mia saba [700] kumloga mtu yeyote atakayempinga Magufuli nyie mnazindua ATM ya MAZIWA.
Ninyi si Watanzania, ni wa ISRAEL , huku mpo kwa bahati mbaya tu.
Tabia yenu ya kusomesha watoto kwenye shule za ghali nchi nzima na kuwapeleka ulaya na marekani inadidimiza kanda nyingine za nchi kwakuwa huku kwetu ushetu ni shuleza kata tu.
Tabia yenu si nzuri, karibu kila ukoo lazma utakuta ina mtoto yupo ulaya na marekani, anasoma nje ya nchi ama ana kampuni fulani huko.
Wakati viongozi washamba wakiwanyima maendeleo na kuwaonea ninyi mnazidi ku-shiaini tu, siwapendi mnavyotutesa sisi "chasaka"
shikamooni wachagga wote.