ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

Wakishindwa waanzishe chama au wachague chama cha kuhamia tofauti na ccm, 90% ya wanachadema tunawafuata hukohuko
Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
 
Mbowe hawez kumshinda LISSU Kwenye Sanduku la kura .


Na niweke sawa hili, MBOWE akitumia janja janja zake kushinda, Huo ndio mwisho wa CHADEMA.
Kiishe mara ngapi mkuu
Chama kimeshakuwa familia ya kambale, kila mtu anapayuka tu.
Vijana+wazee hawana discipline
Kwa trend hii,hapa Tz naiona tu CCM na ACT Wazalendo.
 
Mkuu uchaguzi umeisha ,mbowe atapigwa vibaya mno
 
Simba kama Simba
 
Mbona mmeanza kubembeleza?
 
Logic inajielekeza kwenye alichosema mtoa mada. Lakini kuna wakati nguvu ya njaa na ufukara unaweza kuishinda nguvu ya ubongo
 
SACCOS YA MTU MNAIGOMBANIA KAMA MWENYEWE HAYUPO?
 
Point za msingi Sana, chadema inahitaji kusafishwa, lissu ndo anafaa pale...
 
Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
..Haahaa muda utasema, lissu asiposhinda uwenyekiti chadema itakuwa na wakati mgumu Sana kama taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…