ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

Wakishindwa waanzishe chama au wachague chama cha kuhamia tofauti na ccm, 90% ya wanachadema tunawafuata hukohuko
Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
 
Mbowe hawez kumshinda LISSU Kwenye Sanduku la kura .

Na niweke sawa hili, MBOWE akitumia janja janja zake kushinda, Huo ndio mwisho wa CHADEMA.
Kiishe mara ngapi mkuu
Chama kimeshakuwa familia ya kambale, kila mtu anapayuka tu.
Vijana+wazee hawana discipline
Kwa trend hii,hapa Tz naiona tu CCM na ACT Wazalendo.
 
==
Chonde chonde Waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati kuu Kwakuwa mpaka Sasa hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na Kamati kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani asiwepo, kwa muda mrefu.

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya Tajiri Wenje.

Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU please msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE.

Msisahau Mbowe akishindwa kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati kuu mpaka kifo chake.

FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
Mkuu uchaguzi umeisha ,mbowe atapigwa vibaya mno
 
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati Kuu Kwakuwa mpaka sasa Lemma hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu, Hivyo tukimtaka Lemma tena CHADEMA Lissu na Heche waongoze chama.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na kwenye Kamati Kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani Heche asiwepo, kwa muda mrefu Kwakuwa jamaa hahongeki.

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya tajiri Wenje, haya ni maumivu makali kwa CHADEMA.

Waheshimiwa Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU tena msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE, MSITULETEE VILIO TAREHE 21 TUNAWAOMBA.

Msisahau Mbowe akishindwa ni kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na kiongozi mkuu wa Chama mpaka kifo chake hata kama mtawachagua Lissu na Heche.

FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
Simba kama Simba
 
Mbona mmeanza kubembeleza?
 
Logic inajielekeza kwenye alichosema mtoa mada. Lakini kuna wakati nguvu ya njaa na ufukara unaweza kuishinda nguvu ya ubongo
 
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati Kuu Kwakuwa mpaka sasa Lemma hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu, Hivyo tukimtaka Lemma tena CHADEMA Lissu na Heche waongoze chama.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na kwenye Kamati Kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani Heche asiwepo, kwa muda mrefu Kwakuwa jamaa hahongeki.

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya tajiri Wenje, haya ni maumivu makali kwa CHADEMA.

Waheshimiwa Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU tena msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE, MSITULETEE VILIO TAREHE 21 TUNAWAOMBA.

Msisahau Mbowe akishindwa ni kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na kiongozi mkuu wa Chama mpaka kifo chake hata kama mtawachagua Lissu na Heche.

FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
SACCOS YA MTU MNAIGOMBANIA KAMA MWENYEWE HAYUPO?
 
Point za msingi Sana, chadema inahitaji kusafishwa, lissu ndo anafaa pale...
 
Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
..Haahaa muda utasema, lissu asiposhinda uwenyekiti chadema itakuwa na wakati mgumu Sana kama taasisi
 
Back
Top Bottom