Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.Wakishindwa waanzishe chama au wachague chama cha kuhamia tofauti na ccm, 90% ya wanachadema tunawafuata hukohuko
Hunaakili wewe yaani Mkt BAVICHA HECHE unamfananisha na nani?Hakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
Hao machawa ndo mhimili mzima wa Chadema, Mbowe amebaki mwenyewe na kina Yericko na MwijakuHakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
Kiishe mara ngapi mkuuMbowe hawez kumshinda LISSU Kwenye Sanduku la kura .
Na niweke sawa hili, MBOWE akitumia janja janja zake kushinda, Huo ndio mwisho wa CHADEMA.
Mkuu uchaguzi umeisha ,mbowe atapigwa vibaya mno==
Chonde chonde Waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema,
Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati kuu Kwakuwa mpaka Sasa hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu.
Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na Kamati kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani asiwepo, kwa muda mrefu.
Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya Tajiri Wenje.
Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU please msijaribu laana hii.
WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE.
Msisahau Mbowe akishindwa kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati kuu mpaka kifo chake.
FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
Mungu AWAONGOZE sanaWatavuna walichopanda
Mbowe alijisahau sanaChama kikubwa kuliko mtu
Simba kama Simba==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,
Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati Kuu Kwakuwa mpaka sasa Lemma hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu, Hivyo tukimtaka Lemma tena CHADEMA Lissu na Heche waongoze chama.
Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na kwenye Kamati Kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani Heche asiwepo, kwa muda mrefu Kwakuwa jamaa hahongeki.
Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya tajiri Wenje, haya ni maumivu makali kwa CHADEMA.
Waheshimiwa Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU tena msijaribu laana hii.
WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE, MSITULETEE VILIO TAREHE 21 TUNAWAOMBA.
Msisahau Mbowe akishindwa ni kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na kiongozi mkuu wa Chama mpaka kifo chake hata kama mtawachagua Lissu na Heche.
FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
Mbona mmeanza kubembeleza?==

SACCOS YA MTU MNAIGOMBANIA KAMA MWENYEWE HAYUPO?==

Wakina nani?Watavuna walichopanda
Huu ujumbe umenilizaVijana wameisha onesha njia, sasa wazee na kamati kuu yao watajua cha kufanya
Point za msingi Sana, chadema inahitaji kusafishwa, lissu ndo anafaa pale...==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,
Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati Kuu Kwakuwa mpaka sasa Lemma hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu, Hivyo tukimtaka Lemma tena CHADEMA Lissu na Heche waongoze chama.
Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na kwenye Kamati Kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani Heche asiwepo, kwa muda mrefu Kwakuwa jamaa hahongeki.
Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya tajiri Wenje, haya ni maumivu makali kwa CHADEMA.
Waheshimiwa Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU tena msijaribu laana hii.
WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE, MSITULETEE VILIO TAREHE 21 TUNAWAOMBA.
Msisahau Mbowe akishindwa ni kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na kiongozi mkuu wa Chama mpaka kifo chake hata kama mtawachagua Lissu na Heche.
FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
..Haahaa muda utasema, lissu asiposhinda uwenyekiti chadema itakuwa na wakati mgumu Sana kama taasisiHakuna mtu ataondoka CHADEMA eti kwa sababu ya Lissu kashindwa. Lissu ataondoka na machawa wake kina Heche.
Very trueMbowe hawez kumshinda LISSU Kwenye Sanduku la kura .