Unaweza kuthibitisha hili, au umeandika hisia zako tuuMwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Una ushahidi?Ni kweli!
Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Ndiyo. Juzi ulipita mbele yangu huku ukilitingisa, nilipoanza tu kuimba, "Singida Dodoma πΆπ΅", nikaona umeridhika na kufurahi.Una ushahidi?
π π π π Kichwa chakoNdiyo. Juzi ulipita mbele yangu huku ukilitingisa, nilipoanza tu kuimba, "Singida Dodoma πΆπ΅", nikaona umeridhika na kufurahi.
Umeiomba kimkakati sana, akichomoa hapa lazima namim nimpige voko za papii kocha mtoto wa mfalmeNdiyo. Juzi ulipita mbele yangu huku ukilitingisa, nilipoanza tu kuimba, "Singida Dodoma πΆπ΅", nikaona umeridhika na kufurahi.
Kila siku nitakuwa nakusifia tu. Nimeshaijua Kodi...π π π π Kichwa chako
Huyu ni mpenzi wangu mkuu, hivyo kama unammezea mate yakupasa uache.Umeiomba kimakakati sana, akichomoa hapa lazima namim nimpige voko za papii kocha mtoto wa mfalme
π πKila siku nitakuwa nakusifia tu. Nimeshaijua Kodi...
πHuyu ni mpenzi wangu mkuu, hivyo kama unammezea mate yakupasa uache.
I love you π₯°.π π
πΉπΉπ°πΈπ΅π΄πΆπ·
Unapinga nini la mamaπNakupinga
Mpenzi mtazamaji πHuyu ni mpenzi wangu mkuu, hivyo kama unammezea mate yakupasa uache.
napinga icho kichwa cha madaπUnapinga nini la mamaπ