ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

Hapa labda unazungumzia wasichana na si wanawake, mwanaume anayejitambua anatoa wapi muda wa kufanya upuuzi wote huo.
21yrs ndani ya ndoa na sijawahi kuukaribisha upuuzi wa aina hiyo, center of scenario my foot.
 
Kumbe kuna kuoneana wivu id kwa id tena ๐Ÿ˜†
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aisee, naambiwa natafuta attention, sijui ku-reply comment ya mtu ndio kutafuta attention kwenyewe.

Seran hawa vijana, inaonekana mnawakaushia sana mpaka wanapata desperation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ