Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Sasa hiyo adhabu alifanya nini? Hebu tuambie..........
 
Unapayuka kama umekunywa maji ya mfereji mchafu hebu angalia series ya jamaa niliyekuwa na ongea nae anzia mwanzo.
Apana mkuu nina MUHAHO wa ATTITUDE oya pati tu dei i want to dem attitude[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndo hivo sasa imekuwa wenye fanbase kubwa ndo wanafaidika kina mond,kiba ,harmonize,WcB ,,

Apo kina ruge na cloud hawana makosa kwa upande huu,

So hao wasanii wengine watafute njia ya kuwa watoa au watengeneze fanbase kubwa kwa kuwa na Constance nzuri kweny music ,
Bila hivo mtalaumu kila siku
 
Pia tafuta uzi huu
"YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize"
 
Diamond ni Msanii bora bado, ila ujio wa harmonize ni wazi unautesa sana himaya ya wasafi, huyu jamaa soon tutaona anampiku domo, he is making such a smart move, im proud of him
 
Walikuwa wameichokonoa siyo bure ndiyo maana imeichukua muda kufika 1 milioni views ndani ya masaa 24, haiwezekani masaa 3 baadaye iende mpaka 3 milioni. Kuna namna wasafi Wana hila sana ipo siku itajulikana.
Jifunze zaidi kuhusu Youtube views. Hakuna ng'ombe yoyote anaweza kuchokonoa hao views. Youtube wanautaratibu wao wa ku monitor views from different IP address. Kumbuka huu sio mfumo wa tume ya taifa ya uchguzi Tanzania.
 
Walikuwa wameichokonoa siyo bure ndiyo maana imeichukua muda kufika 1 milioni views ndani ya masaa 24, haiwezekani masaa 3 baadaye iende mpaka 3 milioni. Kuna namna wasafi Wana hila sana ipo siku itajulikana.
Ndio wanai-control YOUTUBE?
 
Harmonize kuna kipindi alikuwa msanii mzuri sana ila kwa sasa sion kama anastahili kuwepo kwenye top 5 ya wasanii wakali bongo! Kinachombeba sahv ni jina,kiki na beef tu! Ila ndo hvyo wabongo tunaendekeza wapumbavu sana na matimu ya kikijinga, Yani harmonize kwa sasa haingii hata kwa marioo kwa kutoa ngoma kali!! Wanaoua mziki wa bongo sio wasanii, serekali wala mapromota ila ni sisi mashabiki! Wasanii wakali wanatoa ngoma kali hatuskilizi tunakimbilia ngoma za wapenda kiki😢😢
 
Namkubali dogo,ana make efforts kwenye kutafuta matokeo, business is all about smartness as long as huvunji sheria.
Tumia kiki au whatever ili mradi ku push kazi zako.Kuna umuhimu wa kua na team pia na wasanii wengine wajue hilo! Nampa hongera dogo kwa kuanza kufanya mapinduzi ya muziki,alafu afanye kila analoweza asipatane na WCB,coz wengine tunampenda just because tunaamini anaonewa.Diamond akitaka ampoteze huyu dogo vizuri ni aachane nae wala asionyeshe dalili ya kushindana nae au atengenenze mtu mwingine nje ya WCB ili ashindane nae,lakini hii mara leo Baba levo anatukana mara Rayvann ana attack hii unafanya Harmonize apate mashabiki tunaomhurumia coz tunaona WCB pamoja na kua ni Brand kubwa ila bado inamfanyia fitina.
 
Mimi siongei mahaba, Diamond atashuka mda wake ukifika ,kachemka Ali kiba sembuse Harmonize? Alafu jiulize mwenyewe kati ya Ali kiba na Harmonize nani kafanyiwa figisu zaidi?.

NOTE: Copy haiwezi zidi ubora original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…