Popacomputers
Member
- Jan 29, 2021
- 98
- 207
Pambaneni sasa ufikishage hata views zaidi ya 20mil kama za zuchu sio mnatafuta kiki hivi ukifika views 5mil mnaususa.Kondegang for everybody'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambaneni sasa ufikishage hata views zaidi ya 20mil kama za zuchu sio mnatafuta kiki hivi ukifika views 5mil mnaususa.Kondegang for everybody'
Apana bali grammy tutapatia kwenye ifinyie kwa ndani, nataka kwenda kwetu ila ananipitisha kunduchi babaOya pati tu de i wanti sho ma atitude..
Grammy tutapata kweli??
Nimecheka sanaApana bali grammy tutapatia kwenye ifinyie kwa ndani, nataka kwenda kwetu ila ananipitisha kunduchi baba
Walimfinya, ila dogo kavunja rekodi, imagine usingekua mwezi mtukufu.Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndo anachukua kijiti Cha king of bongofleva kwasasa. Tumsuport jeshi ili tupate kuongeza international artist from Tanzania.
Jamaa mshamba sana ndo maana nimempa jibu ilo alafu ni bonge la mnafiki kunya anye bata akinya kuku kaharisha, sipendagi watu wanafiki kwa kweliNimecheka sana
hatari na nusuDuh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochi[emoji13][emoji13]View attachment 1763180
Huo wimbo wa Ibrah huku nilipo ni kama wimbo wa taifa, kila kona HAYAKUHUSU kale katoto kana kupasha huku kanakubembeleza kwa sauti laini.Duh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochi[emoji13][emoji13]View attachment 1763180
We jamaa acha ushamba hakuna mtu yeyote anaeweza kuchokonoa youtube ya mtu mwingine isipokuwa youtube wenyeweUnashngaa nini aise na wakati hio ni kazi ya genge la uhalifu la wcb kuna kitu walienda kufanya au kuna watu wanawatumia kwenye hizi selfish jobs zao, kwanini wasikubali tu kua harmonze ni genious na anajtegemea kwa sasa na hana shobo na mtu, wao waendelee na kununua private jets wao si wana hela bwana
Ha ha ha ha[emoji56][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oya pati tu de i wanti sho ma atitude..
Grammy tutapata kweli??
Ha ha haApana bali grammy tutapatia kwenye ifinyie kwa ndani, nataka kwenda kwetu ila ananipitisha kunduchi baba
Sh ngapi hizo huko uliko!?Daaa kiukwel jamaa mbishi sana,imagine timu nzima wanaunganisha nguvu kumuangusha jamaa lkn wap[emoji23][emoji23],ila ngoma ina melody tamu [emoji12]...
Nasikiliza kwenye akg earphone.kila chombo kilivyopigwa nakisikia aki...eko kwa producer
Eeeh ndio hivyo chuki ambazo hazisaidii sijui zinatoka wapi. Kwenye haki sifia, kwenye kuhitaji kukosoa unakosoa. Lkn kila kitu ww uko kinegativity huwezi kuwa binadamu wa kawaida.[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah wee jamaa umenchekesha mno aseee