Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024.
1733217658989.png
Wachezaji wengine watakaosafiri leo ni Djingui Diarra, Khomeiny na Mshery, walinzi ni Mwamnyeto, Bacca Yao, Kibabage na Kibwana kwa upande wa viungo Mudathir, Mkude, Abuya, Maxi Nzengeli, Nkane, Farid, Sheikhan, Pacome, Chama na Aziz Ki na washambuliaji ni Baleke, Musonda na Dube.

Nyotta hao watatu walikosana katika mchezo wao wa kwanza hapa Dar es Salaam chini ya kocha wao mpya Saed Ramovic wananchi walipoteza 2-0 dhidi ya Al Hilal na sasa wanakwenda kusaka alama ugenini dhidi ya MC Alger.
 
Back
Top Bottom