Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

na tamko lenyewe analitolea uchochoroni pia kwanini alisaini waraka?
kwann yy tu ndio awe tofauti na maaskofu wote?ina maana yy anaakili kuwazidi maaskofu wote?

Kimsingi vigogo watakuwa wamempooza ili yy kama kiongozi wa Roman awashawishi watu wote wa roma ili katiba ipite......kwa hilo amekula wa chuya....>>> by the way who is Pengo?
 
Shardcole, Tunza heshimayako mkuu, angeweza kutumia maneno mengine lakini sio kumuita Kardinal maneno ya karaha kama yale. Nikuhakikishie tu kwamba Gwajima atasota sana Lumnde kama hatoomba radhi.

Mkuu Tume ya Katiba huyu pengo kweli ni mnafiki sana, kashapata mgawo wa Escrow, hakuna jina jingine la kuitwa zaidi ya mpuuzi, kwanza Pengo hamuwezi Gwajima kwa lolote lile hata kifedha.

CCM yenyewe inakodi vyombo vya kupigia kampeni kwa Gwajma alafu ndo watamuweza?

Alichosema Gwajma ndiyo ukristo huo unavyofundisha, hata yesu aliwaita wafalme wa roma na mafarsayo kuwa ni mbweha na wapumbavu.
 
Mmeambiwa ukweli umewauma umepaniki sana

Imemuuma nani? Na ukweli uko wapi? huwezi kuja nyumbani kwangu ukanipangia maisha, alichofanya gwajima ni kuwapangia maisha nyie ambao mnaakili za kushikiwa, lakini Pengo amemwacha kila mmoja ajipangie maisha.
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza kwa nini kuwaambia wanainchi cha kufanya Waacheni waamue wenyewe!

Hakuna mtu mwenye haki ya kutupandikizia maamuzi Mbona ham isemi serikali isiwalazimishe wanaichi kupigia kura ya ndio katiba pendekezwa???

Lazima tuwe na double standard
 
Imemuuma nani? Na ukweli uko wapi? huwezi kuja nyumbani kwangu ukanipangia maisha, alichofanya gwajima ni kuwapangia maisha nyie ambao mnaakili za kushikiwa, lakini Pengo amemwacha kila mmoja ajipangie maisha.

Na anacho fanya Rais na mkewe ni sahihi??!!!!!!
 
SIKILIZA Audio ndefu tangu alipoanza kuizungumzia mahakama ya kadhi mpaka kumtolea uvivu Pengo.
 

Attachments

Gwajima ni jembe sana, hakika Huyu ndiye nabii wa kizazi hiki, enyi watanzania tumsikilize na kumuheshimu mpakwa mafuta wa Bwana, safari hii nikienda dar lazima nipite kusali kanisani kwake sabau naona ndipo kuna maneno matukufu yenye uzima.

Nenda kasali kwa gwajima ugeuzwe msukule
 
Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania ni nani?

Ukardinali siyo daraja katika kanisa katoliki. Daraja ni upadre, ushemasi, uaskofu. Kardinali aweza kuwa mlei, padri au askofu. Nchi kama Brazili kuna kardinali ambao ni mapadre.

sheria za kanisa katoliki kila askofu mkuu wa jimbo ndo mkuu katika jimbo lake. Baba mtakatifu naye ni askofu mkuu wa jimbo la Roma. Pengo anajua kuwa yeye siyo mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Lakini kwakuwa wengi hawajui sheria za kanisa basi anakaa kimya kwakuwa anapenda makuu.

Rais wa Baraza la Maaskofu akisema jambo kwa niaba ya kanisa, basi huo ndo msimamo wa kanisa. Pengo alituvuruga sana siku kanisa liliporushiwa bomu Arusha. Kwa kupenda makuu alitoa kauli anbayo alielekezwa na ccm kwamba lile bomu karusha mkatoliki mwenzetu. CCM wakamkamata kijana maskini wa bodaboda na kumweka ndani.

i kuweka record sawa ilibidi rais wa TEC atoe tamko rasmi la kanisa ambalo lilipingana na tamko la Pengo.

Pengo ana matatizo na huku kutukanwa anajitakia.
 
kwa style hii naanza kumkubali gwajima,hawa viongozi wajingajinga waliolewa madaraka na ufisadi hii ndio saizi yao,hivyohivyo gwajima wako wengi wiki ijayo mpake mwingine

Gwajima haogopi mtu! na hamsingizii mtu! Ndiye mtumishi pekee wa Mungu mwenye audacity ya kuikemea serikali, viongozi, wachawi na wasoma nyota na hawamgusi!
 
Mimi ni Mkatoliki unaweza kunipa sababu ni kwa nini bank yetu Mkombozi imetumika kwenye ujambazi wa Escrow? Je una uhakika gani kwa kadhia hiyo Pengo sasa ni mateka wa Serikali?

Tumieni akili kuchanganua mambo yuko wapi Askofu Kilaini?

Ahsante Matola! Sailing the same boat!
 
Last edited by a moderator:

Ukiona hayaisemi serikali jua ni mashetani ya CCM yanayonyonya damu za watanzania! Ndo sababu povuuuu yanajua viongozi wa dini wanaamsha waliolazwa usingizi na ccm miaka 50 toka Uhuru!
 
Samahani mkuu hivi wale Wabunge wa Bunge la Katiba hasa wa CCM walilazimishwa kupiga kura ya Ndiyo au walitumia

matakwa yao?,Tunakumbuka hadi utaratibu wa kupiga kura ulibadirishwa ili ajulikane msaliti nani zikapigwa kura za

wazi,wengine walihojiwa kwanini wamepiga kura za hapana na mambo meengi..

Au kunya anakunya kuku tu ndy ile akinya bata uharo?...

Walichofanya Serikali kwa wabunge wao ndiyo walichofanya Maaskofu kwa waumini wao tatizo liko wapi?...

 

Ahsante sana Mkuu, kuna vibaraka wa pengo hawatakuja kusoma huu ujumbe wako hapa.
 
Shardcole, Tunza heshimayako mkuu, angeweza kutumia maneno mengine lakini sio kumuita Kardinal maneno ya karaha kama yale. Nikuhakikishie tu kwamba Gwajima atasota sana Lumnde kama hatoomba radhi.

nani ampeleke Lumande, na mimi nakuhakikishia hatoenda Lumande. Haki itasimama na Uongo utajitenga.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama sikubaliani na msimamo wa Kardinari Pengo, Sidhani kama hayo anayosema Gwajima ni YA mtumishi wa Mungu bali mmoja wa wajanja fulani wanaojipatia ulaji kwa kujifanya watumishi wa Mungu.

Ni mwehu na asiye na busara sio tu kama hata angekuwa mtumishi wa Mungu bali hata binadamu wa kawaida! Ni mwehu ila binadamu ni kawaida kudanganywa na malaghai kama huyu.

Huwezi ukapatumia mahali patakatifu kufulumisha matusi YA kiasi hicho na kisha uombe kwa jina la yes uni kumdharirisha Bwana Yesu pia. Sio picha nzuri kwa ukristo na mshikamano wa maaskofu!

Makavu yapi? Yeye gwajima ndio kajidharirisha
 
Asante sana askofu Gwajima kwa maelezo haya.
Kimsingi umeongea ukweli mtupu ingawa wapo WAPUUZI watakuja hapa kusema Gwajima katukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…