Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Huyu anayejiita mtumishi wa Mungu si ndiye aliyezaa kwa kuzini na mke wa Mbasha aitwaye Flora. Ama kweli dunia imekwisha maana hata shetani amejigeuza mtukufu kwa mwanadamu. Gwajima utaenda motoni na kama moto uko kweli utakaokuchoma haujawahi tokea. Sina nguvu za kuhukumu, tusubiri tuone. Nyangau wa dini na shetani balaha wewe
 
Kwani Pengo aliunga mkono?.

Anayeiunga mkono katiba ya ccm lakini sisi tumeambiwa tupige kura ya HAPANA katiba ya ccm
attachment.php

​
 

Attachments

  • 10408656_791167674266173_4239474630871864397_n.jpg
    10408656_791167674266173_4239474630871864397_n.jpg
    54.4 KB · Views: 472
Kwani ni lazima uambiwe na Padri kama katiba haifai, wewe mwenyewe huna akili ya kuchambua baya na zuri, alichosema Pengo waumini wenyewe ndio watakao chaguo ndio au siyo, sasa kakosea nini. Halafu muambiwe mseme hapana mje kulilaumu Kanisa katoliki kwa kuwanyima uhuru wenu wa demokrasi.
Angalia usi copy na ku paste kama ulivyokuwa unatizamia kwa mwenzako kwenye mtihani use your own brain my dear.

Serikali inapowaambia watu wapigie kura ya Ndio katiba Mbona pengo hakusema watu waachwe waamue wenyewe?
 

Attachments

  • 10408656_791167674266173_4239474630871864397_n.jpg
    10408656_791167674266173_4239474630871864397_n.jpg
    54.4 KB · Views: 160
Kwa hiyo maaskofu woooteee hawana akili ila yeye peke yake? Maamuzi ya kikao na maamuzi ya mtu mmoja yepi yana weight?

Kwani unashangaa nini, hujaona darasani mtu anayepata maksi za juu na kuwa wa kwanza darasani kwa grade A na anayemfuatia na wenzake wote wakapata grade F! Sasa ndio Pengo na wenzake, Pendo A wenzake F.
 
hivi hajaona saizi Yake mpaka amtukane PENGO, mzeeupako mwingila hawapo !Dawa ya mjinga ni kumpuuza, Pengo wala hatomjbu

pengo hana akili,kwa chili LA katiba gwajima ana busara kuliko pengo. nimemdharau sana pengo. hongera gwajima kwa jumpa za uso pengo, zee Zuma halina akili
 
Mtumishi wa Mungu katoa maneno kama hayo sio vizuri, Gwajima hapo umekosea mkuu.
 
Kwanza mimi sio CCM, pili mimi sio Mkristu, ila kwa hili la kumtukana PENGO, nipo tayari kwenda mahakamani kumshitaki GWAJIMA...This is too much

unaweza kwenda tu..hivi wewe unayafahamu matusi au kwenye tamko la jukwaa la kikristo alikubali kwanini aondoke aende pembeni kulikataa kama siyo unafiki?
 
Hata mimi naona hivyo. Ni afadhali Pengo aliongea kwa upole tena akiwa neutral, wala hakusema muipigie katiba kura ya NDIYO, bali alisema watu waamue wenyewe (kupiga NDIYO au HAPANA). Huyu Gwajima nimemdharau zaidi kwani kuongea maneno hayo madhabahuni inatia shaka kama anamtumikia Kristu. Bado nasita kuamini kama ni Gwajima kaongea hayo

Hivi huyo ni Yesu gani aliye ndani ya gwajima wa kufokafoka ovyo, huyo ni shetani, na ukisikiliza anafoka tu bila kusema hilo alilotamka Pengo.

Watanzania wengi hatuna muda wa kusikiliza taarifa ya habari au kusoma magazeti tunakuwa hatujui kinachoendelea, sasa ukisikiliza hii Audio ya gwajima unaweza kumuona Pengo anamakosa kumbe ni yeye na biashara yake ya kujitafutia waumini kwa matusi.
 
Heshima sio uzee heshima haiuzwi hljiheshimu utaheshimiwa kama walikubaliana kwa nini kabadilika??? Amelambishwa ka escrow kidogo tu. Hawa watu ni wa kuzika wakiwa hai...

Pengo hakuwa na haki ya kutoa msimamo wenye nia njema? Je ilikuwa ni makosa Pengo kuwapa waumini uhuru wa aina ya kura? Ni kweli Pengo anastahili kuitwa Mpuuzi, Mjinga etc? No...Tutamshitako Gwajima kwa hili.
 
Back
Top Bottom