Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

This is too much..

ni kweli kuwa Pengo ameonyesha udhaifu mkubwa wa kiuongozi - kutokuheshimu collective respondibility ya maamuzi ambayo alishiriki katika vikao vilivyofanya maamuzi hayo.

ni kweli kuwa Pengo ana-deserve reaction inayosikika kwenye hii audio clip. he asked for it!

but....si sahihi kabisa kwa reaction ya aina hii kutolewa na kiongozi mkubwa wa kanisa kama Gwajima. 2 wrongs don't make it right. he should have sent his message across differently...

kama Pengo ali.....jamba, basi Gwajima kaji.....harishia!
 
vijana wa chadema kwa double standard ,wanamkosoa pengo sababu tu kapingana na maaskofu wenzie,ila wanampongeza sheikh wa wilaya bagamoyo,kwa kukanusha kauli ya masheikh wengi

Chadema imeingiaje tena hapa mkuu?? Au umedandia treni kwa mbele?
 
Kama kweli hiyo audio ni ya huyo mtu anayeitwa Gwajima, namshauri Mwadhama Kadinali Pengo asijibizane naye.

Ni kichaa aliyevuka wendawaximu wa kawaida. Na kwa hakika huyu, hana hata chembe ya ulinganifu na Kadinali Pengo, iwe kwa heshima mbele ya jamii, uchaMungu na hata akili au hekima ya kawaida ya mwanadamu.

Na hata kama tuchukulie Kadinali Pengo alifanya kosa kubwa saana, hayo majibu ya gwajima hata mvuta bangi na mpumbavu was kawaida tu asingezungumza hivo. Nakusii Kadinali Pengo usijibizane nae..

Kichaa ni yupi kati ya hawa? anayeongoza kondoo wake shimoni au anayetaka wavuke salama?
 
Kanisa halina mamlaka hayo kamwe. Msidanganye vitu kwa maslahi ya siasa zenu. Kanisa linaendeshwa na Biblia, na kwa upande wa Kanisa Katoliki linaendeshwa na Canon laws (Code of Canon Law). Niambie ni wapi kanisa limepewa hayo mamlaka ya kupoka uhuru wa waumini wake?

Huyo Pengo yeye kapata wapi hayo mamlaka ya kutetea hiyo katiba ya Sita na Chenge? Wacha porojo!
 
Duh, anachamba nakurudia rudia kama yuko Kwenye Kigodoro, angemueleza kwa hekma sio Kwa vijembe, sasa kuna tofauti gani naona Ya yeye na huyo Pengo?
 
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.

Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.

Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.

"Mbona serikali inatuambia tukapige kura ya ndio"Hapa ndipo tulopofika na bado tupo njian nyie subrikini!!
 
Kwanza mkuu naomba nikusahihishe, Pengo sio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania na wala cheo hicho hakipo.

Pengo ni askofu mkuu wa jimbo la Dsm na mamlaka yake yanaishia Dae es salaam, Pengo ni sawa tu na askofu mkuu wa Dodoma, Mtwara au Shinyanga, Kadinali maana yake, ni mkatoliki ambaye ana fursa ya kwenda Vatican kushiriki uchaguzi wa Papa, si zaidi ya hapo, Kadinali anaweza hata akawa hajaufikia uaskofu, Historia inaonyesha watu makadinali ambao walikuwa hata hawajafikia hata hatua ya upadri.

Tukirudi kwenye hoja ya msingi, Pengo amejishushia sana heshima kwa sababu ya undumilakuwili na kuonekana ni kama anayejipinga mwenyewe. Yeye ni sehemu ya baraza la maaskofu katoliki(TEC)amesaini waraka huo wa jukwaa la wakristo na ameruhusu usomwe makanisani katika jimbo lake, je, anapokuja leo kuponda waraka huo jamii imweleweje?

Yeye anasema kuwa haipaswi kuwaamlia wananchi wapige kura ya hapana, yeye anavyotaka wapige kura ya ndiyo sio kuwaamria wananchi?
Kanisa limetimiza wajibu wake wa kutoa wosia wa kinabii juu ya nini jamii inachotakiwa kufanya, je Pengo si sehemu ya kanisa?

Mkuu umemaliza kila kitu. Ndo maana amefananishwa na ZZK.
 
Pengo hastahili kutukanwa kama gwajima alivyofanya!! Kama MUNGU angekuw anatuadhibu pale tunapokoseq sidhani kama duniani pangekalika ila yeye gwajima anaeneza neno la Mungu kakosea sana!!!

Mkuu kuna matendo ambayo malipo yake ni hapa hapa duniani. Haya ni mbali na adhabu au malipo ya mungu.
 
Mkuu nafahamu vinzuri sana majukumu ya ukardinali, na ninajua wale makardinali wasio maaskofu eneo lao la kazi linakuwa ni Vatican.

Lakini pia unapaswa kufahamu uwepo wa Kardinali unamaanisha nini. Majukumu ya Pengo yanaisha Dar es salaam katika muonekano wa uaskofu mkuu wa jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam, ila katika muonekano wa ukardinali majukumu yake ni Tanzania nzima.

Pia ni kweli Pengo si mwamuzi wa mwisho wala hayupo juu ya TEC, ila nafasi yake ya ukardinali inampa heshima katika maamuzi yoyote yanayopaswa kutolewa na TEC.


Tukija kwenye ishu ya kupiga kura, sidhani kama upo sahihi kusema Kardinali Pengo alishiriki mazungumzo hayo yaliyofanyika Arusha, mwadhama alikuwa India kwenye matibabu na alivyorudi alikuta tayari wameshaandika tamko lao na magazeti yameshaanza kuandika sasa yeye kama yeye hakuweza kuzuia usisomwe kwa sababu hayupo juu ya mamlaka ya TEC.

Lakini kusomwa huko hakumzuii yeye kutoa maoni yake, ufafanuzi na msingi wa Kanisa Katoliki. Nikujulishe tu kuwa, katika mahubiri yake hakuna sehemu hata moja aliyowaambia waumini wakapige kura ya NDIYO, hakuna. Kama hukusikiliza mahubiri yake, nimeattach audio hapa chini uisikilize maana usije ukawa unamtuhumu kitu ambacho hakukisema.

Kwa hiyo kama mjumbe mmoja hakuwepo lakini korumu ya wenzake imetimia na kuweka maazimio ya kikao rasmi na msemaji akatangazia uma maamuzi ya kikao huyo Pengo anaweza kubadilisha? Nini sasa maana ya kuwa na kikao na kufanya maamuzi?
 
Ahsante sanaaaa GWAJIMAAAAAAAA, mpe vyake huyo kibaraka wa Kikwete, ameshashiba pesa za ESCROW anaropoka tuu. Mpe vyakeeeeeee, shenzi kabisa huyo Pengo.
C sahihi sana kutoa matusi kwenye jukwaa la mawazo huru. Pia moderator ni utamaduni mpya wa kutoa matusi kwa mawazo pingana?
 
Kanisa Katoliki si chama cha siasa kwamba linafuata misingi ya wengi wape. Kanisa Katoliki ni biblia na canon laws full stop.

Nani kazungumzia siasa hapa? Issue ni kikao walichokaa wenzake na kufanya maamuzi, yeye si ni mjumbe tuu kama wenzake? Kama angekuwa na maamuzi pekee kuna haja gani ya kuwa na hilo baraza?
 
Asisitiza hakuna MAHAKAMA, POLISI WALA BUNGE lenye mamlaka ya kumfanya chochote.

Nimeaattach clip yote.

Mytake: Pengo anastahili heshima zote, si sahihi kutukanwa kwa kutoa mawazo yake hata kama huyapendi. Nawaomba vyombo va sheria vimchukulie hatua kali
 

Attachments

Pengo baada ya kujipendekeza CCM hata mimi nimemdharau sana
 
Umekuwa mkiwa kaka pole!? kusema anachokiamini sawa lakini alitakiwa azisome alama za nyakati, unaposema fikira zako ambazo haziendani na

"General mood ya Waumini/wananchi, utapewa kavukavu za uso Kama hizi za Gwajima, Pengo kajimaliza, nadhani anataka kuhamia ACT kwa Mayuda Iskariot wenzie, kwa kuwa alijua hawezi kuzuia waraka usomwe maparokiani,

basi busara alitakiwa kunyamaza kimya bila kwenda public, kufanya kazi Kama Kova kumemponza, imagine Cardinal mzima anakashfiwa hadharani kiasi hiki!? pole kaka

Very well said!!
 
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.

Kwa hiyo ulitaka Pengo atulazimishe anachotaka yeye au kanisa ndio liamue kwamba sema ndio au hapana, kila mtu ana haki yake anachotaka na ukizingatia Tanzania ni nchi ya demakrasia utachagua unachotaka na sio kusurutishwa na mtu kama anavyotaka gwajima.

Sema jingine kama una chuki na Pengo, lakini hapo Pengo yupo sawa. Pengo ni kichwa anajua nini anachofanya sio gwajima kutaka umaarufu wa kujitafutia wateja kanisani pake.

GWAJIMA HAMNA KICHWANI
 
Back
Top Bottom